Boflo binadama akifa anasafirishwa kama mzigo na sio hivyo kuna special procedure na uhifadhi wake unakuwa ni tofauti na mizigo ya kawaida ili mwili usiharibike. Nyengine labda ni charges za documentation.
Kama kweli gharama ni elfu $20K jamani bora tu muzikiwe huko huko ughaibuni hasa ikiwa at someone else expense. Kama ni ugonjwa haidhuru nitachanga na lakini kwa ajili ya kupeleka nyumbani kwa gharama hizo ni nyingi aise. Ndo maana maiti zetu zinakaa muda mrefu mortuary zikisubiri michango.
Kuzikwa huko ni gharama kubwa zaidi, na makaburiBoflo binadama akifa anasafirishwa kama mzigo na sio hivyo kuna special procedure na uhifadhi wake unakuwa ni tofauti na mizigo ya kawaida ili mwili usiharibike. Nyengine labda ni charges za documentation.