Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,774
- 14,640
Ukiona kiongozi wa ccm kaandika kitabu ujue ndio kaacha makosa yake bila kusema akisubiri kufa
Tuewekee nyama kidogo. Nakumbuka hii issue nilikuwa naisoma gazeti la Mfanyakazi kwenye vibanda vya magazeti na baadae Motomoto kama sikoseiEnzi hizo hakukuwa na njugu, booster na minjingu? Ila mkono wa nyani ngwengwe imeondoa na itaondoa wengi. Tulimuonya sana dogo janja achana na aiiriniii wapiii
King Kong III
Hapo atakayenielewa ni Mrangi tu wa Kinondoni Manyanya nyie Washamba Washamba piteni mbali 😂😂Sasa hasipomjua atakufa na njaa?
Hapo kwenye bold tutake radhi mkuu.Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.
Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa
Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.
Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Mabinti wa siku hizi waulize habari za Zuchu tu,big up binti wa zamaniDah umenikumbusha enzi nanunua magazeti kusoma.
Nikiwa binti kabisa nilikuwa so interested kusoma habari za kichunguzi, zilikuwa makala ndefu ndefu zinasisimua kweli kweli
Unajaribu kuchafua legacy ya mzee wa miaka 98Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.
Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa
Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.
Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
JoooooohhhnnnnnHapo atakayenielewa ni Mrangi tu wa Kinondoni Manyanya nyie Washamba Washamba piteni mbali 😂😂
Shamba la bibi hiyo 😀😀😀
Nakumbuka mkuuHapo kwenye bold tutake radhi mkuu.
Mwinyi hakuwahi kufanya hivyo nakumbuka serikali ilipiga kimya sana kutoa maelezo. Unakumbuka baada ya kauli ya Mgumia kuwa anapokea maelezo haukupita muda akaondolewa Uwaziri na kupelekwa Mkuu wa Mkoa?
😂😂😂😂Joooooohhhnnnnn
Kingine unachokumbuka wakati huo ukiwa binti kabisa.Nikiwa binti kabisa nilikuwa so interested kusoma habari za kichunguzi, zilikuwa makala ndefu ndefu zinasisimua kweli kweli
Nimecheka kwenye uzi wa majonzi.Kingine unachokumbuka wakati huo ukiwa binti kabisa.
Lete aya kwenye Quran inayoeleza kaburi linabanaAshafika na tunategemea yupo ktk nyumba nzuri na kaburi lake ni miongoni mwa mabustani ya peponi.
Bado wewe ukifa kama ni kafiri ujue ukifa tu kaburi linakubana
Kwanini waislamu mnajistukia sana? Kwasababu hiyo hali nishaiona kwa wapuuzi wengi wakiislamu ukimkosoa samia tu utasikia kisa ni muislamu aisee hakuna watu wapumbavu kama waislamuMkapa aliuza Nbc,TCC na TBL kwa bei ya kutupa huku mashirika hayo yakiwa yanatengeneza faida,ni yeye pia aliyeiingiza nchi katika mikataba mibovu ya uchimbaji wa madini,ni yeye pia ndiye aliyeleta kampuni kutoka Afrika Kusini(Net Group Solutions) kuja kuendesha shirika la umeme ambapo matatizo ya shirika la umeme tuliyonayo hivi sasa yalichangiwa pia na uamuzi huo maana jamaa wakati wakisimamia menejimenti ya shirika hawakuwahi kufanya uwekezaji wowote wa kuimarisha miundombinu ya uzalishaji umeme.
Lakini pia wakati wa mkapa ndiyo ililetwa kampuni ya wahindi kuja kusimamia menejimenti ya shirika la reli ambapo katika jitihada za kulinusuru shirika ilibidi itumike gharama kubwa ili kuvunja nao mkataba.
Je tuseme naye alikuwa Mzanzibari? Hata hivyo lengo lako kubwa lilikuwa ni Uislamu ila hiyo Wazanzibar umelitumia kama geresha tu.
Hili ndio doa kubwa aliloenda nalo kuzimu muda sasa kakutana na Katabalo.Gazeti la Mfanyakazi enzi hizo tunalipigania kama Peremende.Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.
Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa
Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.
Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Wewe kafiri jibu na hayo mengine utuambie Mkapa naye ni Mzanzibar au Muislam?Kwanini waislamu mnajistukia sana? Kwasababu hiyo hali nishaiona kwa wapuuzi wengi wakiislamu ukimkosoa samia tu utasikia kisa ni muislamu aisee hakuna watu wapumbavu kama waislamu
Kwa hiyo kama ni muislam asiandikwe kwa mabaya yake acha fikra potofu,dini zimekuja tu na majahaziMkapa aliuza Nbc,TCC na TBL kwa bei ya kutupa huku mashirika hayo yakiwa yanatengeneza faida,ni yeye pia aliyeiingiza nchi katika mikataba mibovu ya uchimbaji wa madini,ni yeye pia ndiye aliyeleta kampuni kutoka Afrika Kusini(Net Group Solutions) kuja kuendesha shirika la umeme ambapo matatizo ya shirika la umeme tuliyonayo hivi sasa yalichangiwa pia na uamuzi huo maana jamaa wakati wakisimamia menejimenti ya shirika hawakuwahi kufanya uwekezaji wowote wa kuimarisha miundombinu ya uzalishaji umeme.