Kifo cha Richard Tambwe Hizza: Was it a coincidence?

Kifo cha Richard Tambwe Hizza: Was it a coincidence?

Mkuu sijakuelewa ina maana ya kwamba ndiyo unanisakizia ' Kijanja ' na ' Kimafumbo ' kwa kunirushia Jumba Bovu wakati wa Kipindi hiki Kigumu cha Majonzi au?
Alitaka kusema kua Lusinde ni mtu mbaya sana yule jamaa,
Ye kwake Siasa ni uadui mpaka kupelekea kufanya aliyoyafanya
 
Marehemu. Swala la hayati lazima liendane na muda. Haiwezekani mtu safarini leo baada ya wiki mbili umuite hayati. Hata kwenye lisala lake hawawezi sema hayati Tambwe ameacha mke na watoto kadhaa. So hayati lazima liendane na muda( muhimu). Mbili umaalufu (Mbaraka Mwinshee, Nyerere, Mandela. All in all lazima muda uzingstiwe. Lazima awe amekaa muda mrefu kaburini baada ya kufanya mfano miaka 4
 
Umekazana sana na neno hayati.Marehemu Tambwe hawezi kuitwa hayati kwa sasa. Rudi darasani. Unaharibu kiswahili ndugu.
Si ungesahihisha ndugu yangu!
Unanikumbusha kule Kenya ilidhaniwa hayati ni cheo cha juu kisiasa.
Basi jamaa kaanza kuwaita waheshimiwa jukwaani,
"Hayati " Odhiambo nakusalimia
"Hayati " Okong'o nakusalimia
"Hayati" Mary Odero.......
Hapo kuna mswahili akaanguka kwa kicheko!
 
Ni hiyo ya wafananao hao kukutana kwenye kampeni siku moja kabla ya kifo cha mmoja wao
Mkuu petro humu kuna wengine hawaelewi kwa urahisi utatumia muda mwingi kufafanua.japo ushaeleweka kwamba wakifanana kwa mambo mengi na wakifanya kampeni wote hapo juzi
 
Back
Top Bottom