Kaka hii kitu wewe acha. Inaonekana Mke wake hakuwa Hospitali wakati mzee anaangaika na uhai wake cisije ikawa alikuwa nyumbani anafuatilia tamthilia wakati mzee anaangaikia ihai wake.. mie nilipomuona Mke wake analia saana jana baada ya kutembelewa na JPM nyumbani nikajiuliza maswali hivi huu uchungu wa gafla wa akina mama unatokaga wapi? Nyie acheni tu hizi ndoa zinakuwaga na mambo mengi...kwa maelezo ya Msemaji wa Familia inawezakana bbau alikuwa peke yake akakosa msaada