Kifo cha MZUNGU

Kifo cha MZUNGU

Mkuu hizo taratibu zote za uislamu nazijua,nilichotaka uisikilize youtube ili ujionee shehe alivyojisahau na kuanza kuongea hovyo hovyo bila kujua anatoka wapi na anakwenda wapi!

.........comment yako hukusema hayo ya you tube !.......ulichosema ni hichi "yeye anapendaga wanene wanene tu" rejea post yako no. 21.
otherwise Sheikh ni binaadamu yakhee, vinginevyo unaweza kuanzisha uzi hapa kisa "Sheikh kajamba !"
:becky:
 
Haki ya nani Bujibuji huyo mzungu anatamani hilo jimama limdondokee kabisa!! Sasa ukikuta ni la kiyao au kimanyema!! Mirindimo yake mzungu atazimia!!! Ila uikute anawaza kule kunako 0713 maana ndiyo mapenzi yao!!! Ila jimama si mchezo hili, ukikutana nalo mitaa ya kati yaani unaweza pagaika kabisa!!
 
.........comment yako hukusema hayo ya you tube !.......ulichosema ni hichi "yeye anapendaga wanene wanene tu" rejea post yako no. 21.
otherwise Sheikh ni binaadamu yakhee, vinginevyo unaweza kuanzisha uzi hapa kisa "Sheikh kajamba !"
:becky:
Mkuu Ally Kombo ungesikiliza hiyo you tube ndiyo ungesikia "mimi napendaga wanene wanene tu,wembamba itokee tu" ni burudani tu,wala haina hoja ya kidini na kwa kuwa wewe ni rafiki yangu nilipenda usikie hicho kituko!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo Mudhungu ipo hoi hata kazi yenyewe hajaianza!!! Dalili inaonesha hiyo mudhungu hafiki mbali. hahaha
 
Mkuu Ally Kombo ungesikiliza hiyo you tube ndiyo ungesikia "mimi napendaga wanene wanene tu,wembamba itokee tu" ni burudani tu,wala haina hoja ya kidini na kwa kuwa wewe ni rafiki yangu nilipenda usikie hicho kituko!

.............nimekubali, na nakuunga mkono, wako masheikh wa aina hiyo, haswa wale wa pwani na awe amepitia "Bandarini au ni mtoto wa Mjini" wana masikhara sana !..................uliwahi kumjua Sheikh Kassim bin Jumaah !? .....ukiwa mbara huwezi kukaa nae karibu ! :becky:
 
........kuna Kassim bin Jumaah (huyu kutoka Kigoma) na Hemed Bin Jumaa bi Hemed (huyu kutoka Tanga)

Yule aliekuwa Sheikh Mkuu alikuwa anaitwa nani..? Yule aliekuwa anatoa mawaidha kwenye kipindi cha radio Tanzania cha Ijumaa..?
 
Hemed bin Jumaa bin Hemed ! alikuwa mpole sana, na kati ya Masheikh waliokuwa na Elimu kubwa sana ya Dini !..........yaani ilikuwa "Encyclopedia ya dini iko kichwani kwake"
Aliogopa sana alipoona sherehe ile ya kifo cha Nyerere na kisha Dr. Omar Ali Juma, aliacha wosia kuwa, akifa zisipite saa nne awe amezikwa. Alifariki Alfajir, akazikwa saa nne Asubuhi. Viongozi wakisiasa walipata shida sana, akina Mkapa ilibidi wakodi Ndege ya kuwahi kuzika.
 
Sheikh alikuwa anatoa mawaidha mazuri sana yule.. Nakumbuka wakati huo nikitoka shule lazima nimcikilize maana mawaidha yake yaliegemea kwenye jamii sana.. Halafu alikuwa na sauti fulani hivi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom