Grealish10
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 104
- 294
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani