Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
chacha wangwe alipigwa risasi kichwani na abiria aliyekuwa amekaa kiti cha nyuma baada ya hapo dereva akiogongesha gari kwenye mti. wala ile gari hai ja roll! insingweza ku roll wind screen ikabaki, iligongeshwa kwenye miti tena kwa upande wa chacha aliyekuwa kakaa kiti cha mbele cha abiria ili kumuongezea michubuko kadhaa! Ila still wakitafuta daktari huru wa kufanya postmorterm watakuta risasi kichwani!
Ndugu zangu wakurya naomba kwa hili msione aibu hata mkiitwa wakorofi bora kujitenga na hii serikali JK na tulianzishe balaa kwa kudai nchi yetu isiyo ya kifisadi, sababu huu ni unafiki tena wa kudharau raia kama vile wote ni wajinga, haya mambo yana mwisho, na hapa hili kundi linalojiita mafia limegonga pabaya saaana, wamekosea saaaana! na mnajua kabisa kuwa FBI yote TZ asilimia kubwa inatokea Mara, sasa kwa nini mnajaribu kucheza mchezo usiochezeka!!!
Hapa piga uwa lazima kieleweke haraka sana, JK kama unataka tittle yako ya kuitwa mkuu wa kaya weka haya mambo wazi kwa haraka sana, otherwise soon utakuwa raia tu na tutangaza raia wetu!
 
huyu jamaa alipigwa risas kichwani kisha dereva akaigongesha gari kwenye mti. na sijui watasema nini baada ya majibu ya kukuta risas kichwani kupatikana, sijui kama polis watakanusha taarifa ya awali ya jeraha tupu kichwani?? hapa cha msingi alie andaa haya mauaji ajisalimishe mapema mwenyewe, sababu huku alikogusa sio kwa mcheso!
asari amangána mona bhoke!
 
Acha uwongo. Ulikuwepo Tarime? Na wale waliomwita, rais, rais nao walikuwa wanataka kumdhuru? Uongo hapa si pahala pake.
Unaweza kupitia tena na tena gazeti la majira la leo www.majira.co.tz kujua kuwa kwako uongo ni jadi yako, nusura wamuue Mwenyekiti wa Chadema na wametoa tamko ni marufuku kwake kuhudhuria mazishi ya Wangwe.

ana mtihani mkubwa kwani yeye anataka kuhudhuria mazishi ili kuondoa tetesi kwa vyombo vya sheria pindi vikianza kutafuta chanzo na kifo cha Wangwe,itakuwa kichekesho kama hatahudhuria mazishi ya mwenyekiti wa mkoa wa mara na Mbunge aliyekuwa masaidizi wake kama makamu mwenyekiti huo upande mmoja, lakini upande wa pili wana Tarime wameapa asihudhurie mazishi.
 
huyu jamaa alipigwa risas kichwani kisha dereva akaigongesha gari kwenye mti. na sijui watasema nini baada ya majibu ya kukuta risas kichwani kupatikana, sijui kama polis watakanusha taarifa ya awali ya jeraha tupu kichwani?? hapa cha msingi alie andaa haya mauaji ajisalimishe mapema mwenyewe, sababu huku alikogusa sio kwa mcheso!
asari amangána mona bhoke!

Jmushi mara zote alikuwa akisisitiza kuwa nawashauri Chadema juu ya Wangwe hawanisikilizi shauri yao, hadi wiki iliyopita alipokuja na solution ya kutwangwa risasi, jamani tujiepushe na kauli za kijinga kwani kauli kama hii inatosha kuifungia JF na kumtia hatiani MUSHI.
 
mbowe Umelikoroga Linywe Sasa....

Halinyweki, Warijaribu Kutunga Habari Ya Uongo Mara Ccm Mara Roastam Lakini Watu Wa Tarime Ni Watu Wa Kukumbuka Historia Ni Juzi Wamesema Kuwa Ni Mzigo Mzito Ndani Ya Chama Chao.

Leo Wanajifanya Kulia Machozi Ya Damu Ya Kinafiki,matokeo Yake Wamemtoa Baruti Jamaa Kakimbia Utafiri Filbert Bayi.
 
Swali la kujiuliza ni vipi kama ripoti ya uchunguzi wa Daktari huko Tarime itatofautiana na ile ya Dodoma ?
 
Naona uchunguzi wa pili utafanywa na Wakenya kama inavyoonyesha hapa chini:

Uchunguzi mpya unataraijiwa kufanywa na timu ya madaktari kutoka hopitali ya Dk. Wilfred Kisuka Machage wa jimbo la Kurya, Kenya.

Kwani report ya uchunguzi wa kwanza inasemaje? Death Certificate inasemaje?

Nani aliagiza uchunguzi wa kwanza ufanyike? Je, wakati wa uchunguzi huo waliwashirikisha ndugu wa marehemu? Kama ndugu wa marehemu wanataka kufanyika uchunguzi mwingine, ina maana hawakubaliani na matokeo ya uchunguzi wa awali?

Mh. Mbatia (RIP) alipofariki kwa ajali sikusikia kama mwili wake ulifanyiwa uchunguzi. Iweje kwenye ajali ya juzi mwili wa marehemu ufanyiwe uchunguzi? Kwa kweli hapa kuna utata!

Ninashangaa waandishi wa habari wanaendelea kutulisha kasa na wameacha ku-address maswali ya msingi ambayo yangeweza kutoa picha halisi.

Bado tuna safari ndefu sana kwenye kupata habari za uhakika na hasa baada ya watu kuamua kuvitumia vyombo vya habari kwa maslahi yao binafsi. Habari moja unaweza kukuta kuna versions nne tofauti na waandishi wote walikuwa kwenye tukio moja na si ajabu wakati wanahoji walikuwa pamoja, lakini kitakachoandikwa ni balaa tupu.
 
Viongozi wa vyama vya upinzani (Mbowe na wenzake) na ccm (akiwemo Gachuma) wamekuwa kwenye msiba huu na hakuna yeyote aliyezuiwa kuona maiti au chochote. Haya ya kutozikwa yametokana na uamuzi wa familia chini ya Prof wangwe kuamua kuwa maziko yasifanyike bila uchunguzi binafsi na huru kufanyika.

Haya mengine ya kwako ni uongo na uzandiki ambao watu wa Tarime tumeukataaa kwa nguvu zote.
M.KIBITI.
mimi na wewe nani muongo? unabisha kuwa MBOWE HAJAFUKUZWA NA WENYE TARIME YAO? MBOWE HAIJAONA WALA KUIGUSA MAITI NA HAKUNA ATAKAYEMUACHA AFANYE HIVYO, NILISEMA HUKO NYUMA KUWA WANA TARIME NI WATU MAJASIRI SIO WAFUATA MKUMBO TU.
 
Ninashangaa waandishi wa habari wanaendelea kutulisha kasa na wameacha ku-address maswali ya msingi ambayo yangeweza kutoa picha halisi.


Nakubalina na wewe asilimia mia moja kwamba kuna njama za wazi kutaka kuwalisha watu kasa ! Magazeti hayafanyi kazi zao badala ya kuuliza maswali ya msingi wao wana point fingers ...lakini najua wanachokifanya, wana play mind game . Mtu akisema uongo mara nyingi inafika point watu wanaamini huo uongo . It is important for those who want to know the truth not to be distorted with these propagandas.
 
nimeamini Kuwa Wewe Huna Chembe Ya Ubinadamu Na Hisia Za Utu Hata Kidogo Ila Nakuhakikishia Kuwa Unachojaribu Kufanya Hakitafanikiwa Na Wakazi Wengi Wa Tarime Ni Makini Na Wenye Uwelewa Mkubwa Kuliko Ulivyofikiri.

Itakugharimu Nini Ukiacha Mizaha Kwenye Msiba Ambao Maelfu Ya Wakazi Wa Tarime Tunalia Na Kuhuzunika Kwa Kilichotokea? Hata Kama Ni Kutumwa Na Watu Wenye Nia Mbaya Kwa Wakazi Wa Tarime, Je Huwezi Kusema No Na Kuamua Kuwa Mstaarabu Hata Kwa Siku Moja Au Mbili?

Hatari Kabisa Kwa Tanzania Kuwa Na Watu Kama Wewe Wasiojali Kabisa Maisha Na Hisia Za Watanzania Wenzao.

Watu Makini Wa Tarime Wamesema No Mr Mbowe Hatukutaki.
www.bbcswahili.com Sikiliza Dira Ya Dunia Wanasema Si Ajali Ni Risasi.
 
hebu Tuweke Rekodi Vizuri Jmushi Hakusema Wangwe Apigwe Risasi... At Least Not In Exact Tone Like That..
Alisema Na Pia Aliandika Sana Kuishauri Chadema Nini Cha Kumfanya Wangwe,makala Zake Ziko Kwenye Chacha Wangwe Asimamishwa Na Chadema.
Najiuliza Kiherehere Cha Mpaka Kieleweke Aliyekuwa Hasimu Wa Kwanza Kwa Wangwe Sikioni Hapa.
 
Watu Makini Wa Tarime Wamesema No Mr Mbowe Hatukutaki.
www.bbcswahili.com Sikiliza Dira Ya Dunia Wanasema Si Ajali Ni Risasi.

Mgagagigikoko, you are really a character kwa mtu ambaye unazungumza forcefully and with strong conviction kwa vitu unavyosema hapa repeatedly lakini utegemezi wako ni magazeti ya bongo, kwa kweli unasikitisha. Hayo magazeti baadhi yanaandikwa na wagagagigikoko pia.

Well, no wonder ..............
 
wewe waja kweli Unafiki wenu utawamaliza.
Kitu kama kimetokea kikubali na upambane na changamoto ,mtu akitaka kujua unafiki wako rudi page tano nyuma tu utaona nini ulichokua unasema.

ama ukitaka jua wanafiki wanajifanya kuguswa sana na kupoteza mtu mahili nenda tu ktk ile thread ya RIP chacha Kutimuliwa umakamu ,pia ktk thread hizo ndio utaona msimamo wangu tangu mwanzo.

Unafiki huu umekithiri ndio huo huo unaowatuma watu kutotoa mchango wao wakati mgonjwa akiwa anaomba msaada ili aende hospital lakini akifariki mijamaa minafiki inakuja kutoa rambirambi hata mara elfu zaidi ya pesa alizozihitaji wakati akiwa mgonjwa.

Mimi taarime naifahamu ndio mwanzo tu nilimsihi kua kama watu wameshahisi hivyo bora asiende.Wewe mumamuruki wala hutokei tarime wajibaragua kujifanya waijua tarime.

Kwanza wewe kwanini unatumia ID nyingi hivyo,watu wanadhani jamaa kapotea kumbe unabadilisha ID tu.
MKAMAP.
HAWA wakibadili majina ukweli utabaki ukweli tu, wanataka tusiyaamini magazeti yote except Tanzania Daima la Mbowe au KLH NEWS.

Watu wa Tarime wameonesha mapenzi ya dhati kwa Chacha wangwe walimpenda akiwa hai na wanamuenzi akiwa maiti kwa kuhakikisha wale wabaya wake hawakamati sanduku wala kuona maiti na kuwaambia LIVE wewe fulani ondoka hatukutaki, ama zako au zetu.
 
Mgagagigikoko, you are really a character kwa mtu ambaye unazungumza forcefully and with strong conviction kwa vitu unavyosema hapa repeatedly lakini utegemezi wako ni magazeti ya bongo, kwa kweli unasikitisha. Hayo magazeti baadhi yanaandikwa na wagagagigikoko pia.

Well, no wonder ..............
Kiungani.
Hata BBC inamilikiwa na Roastam Aziz au CCM? nimekuwekea link ya BBC WORLD SERVICE juu ya Mbowe kutimuliwa nayo huiamini? basi tusubiri KLH NEWS ina balanced story. lakini hiyo hiyo KLH NEWS siku mbili zilizopita imeleta habari za uongo za DR.Masau na MWANAKIJIJI akakiri kuwa sources zake zina utata.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom