OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,391
- 104,535
Kifo cha Mende. Haikuwahi kusemwa mende alifia nini
naskia kuna popo kanyea mbinguMimi huwa napenda mbuzi akigoma kutembea
Pole nyingi kwa wafiwa
Tutaenda wote msibani😂Mazishi wapi
Huyo popo nae, alikosa vichaka hadi akaenda kupupu kwa mbingunaskia kuna popo kanyea mbingu
Lazima twende ndugu yangu, msiba mkubwa sana huu😅Tutaenda wote msibani😂
Haijawai tokea 😅Lazima twende ndugu yangu, msiba mkubwa sana huu😅
we mtoto wa mjini unajifanya huelewi hizi code😂Huyo popo nae, alikosa vichaka hadi akaenda kupupu kwa mbingu
Iwe msigazi uli mfela mno..Staili pendwa ukitaka kutera amizi
yesu wanguKuna wapuuzi huyo mende hivyo alivyolala watampigia nyeto...
JF ina wazee wa hovyo sana.
Kweli sijapenda huyo popo kuchafua makao yetu ya milele😂we mtoto wa mjini unajifanya huelewi hizi code😂