Sasa nadhani JF tunapoteza dira in maana tuanze kudiscuss ushirikina sio??????????
Zitto anatafuta frontpage glammer!Whoever orchestrated this, if it was orchestrated, must have had access to a GPS or some tracking device system and this means the driver must have had one too na huyo naibu waziri. Angewezaje kumu pinpoint? Na kama huyo naibu Waziri yuko kwenye conspiracy si alikuwa anajua Zitto yuko wapi? Why call him? Unless the phone was a triggering device who knows? Ama hao conspirators walikuwa wanamsubiri zitto kokote anakoenda basi siku hiyo afe???? this sounds like Hollywood drama in Tanzania. Nasubiri findings!habari ya asubuhi wanabodi,
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi la leo,Inasemekana ajali ya Marehemu salome mbatia iliyotokea tarehe 24 oct. ilimlenga Mhe. zitto kabwe.
Zitto amesema kabla ya kufika katika eneo la ajali,alisimama kununua kinywaji baridi aina ya Red bull,na kwa hiyo gari la salome likampita na dakika chache ajali ikatokea.
Zitto ansema muda mfupi kabla ya kusimama kununua Red Bull alipigiwa simu na Naibu Waziri mmoja ambaye alimuuliza aliko.Anasema Alimjibu kuwa yuko njombe ingawa likuwa hajafika.
ilikuwa baada ya kununua kinywaji,hata kabla ya dakika 10 hazijapita,nikakuta gari la salome likiwa limepata ajali,sijui,lakini kutokana na mazingira yalivyo ajali ile ilikuwa imepangwa,na mlengwa alisema akiwa mimi..alisema Zitto
hiyo ni kwa kifupi tu,Swali la kujiuliza..Je huyu naibu waziri ni nani..Gazeti la Mwanahalisi wamemficha ,Ila najua hapa JF watamuanika hadharani,tumechoka na hawa wauaji,lazima wananchi waambiwe ni nani ili wananchi wasimchague tena.Mapamban ya kifikra yamekalibia kufanikiwa..
inasemakena siku ya ajli ilipotokea asubuhi yake waaandishi wa habari waandamizi waliambiwa wajiandae kutatokea "habari kubwa" na namba iliyotuma huo ujumbe ilikuwa inaonesha private!!
Naomba kuwasilisha hoja hii nzito tuweze kubaini,Nini na ni nani hasa wahusika wa mpango huu..We always talk openly
Zitto anatafuta frontpage glammer!Whoever orchestrated this, if it was orchestrated, must have had access to a GPS or some tracking device system and this means the driver must have had one too na huyo naibu waziri. Angewezaje kumu pinpoint? Na kama huyo naibu Waziri yuko kwenye conspiracy si alikuwa anajua Zitto yuko wapi? Why call him? Unless the phone was a triggering device who knows? Ama hao conspirators walikuwa wanamsubiri zitto kokote anakoenda basi siku hiyo afe???? this sounds like Hollywood drama in Tanzania. Nasubiri findings!
Sasa nadhani JF tunapoteza dira in maana tuanze kudiscuss ushirikina sio??????????
Naomba mniweke sawa, hivi kweli sms hutokea isioneshe namba? Yaani iwe private? Mimi nafahamu hiyo hutokea wakati wa kupiga, lakini sms huonesha namba.
Zitto anatafuta frontpage glammer!Whoever orchestrated this, if it was orchestrated, must have had access to a GPS or some tracking device system and this means the driver must have had one too na huyo naibu waziri. Angewezaje kumu pinpoint? Na kama huyo naibu Waziri yuko kwenye conspiracy si alikuwa anajua Zitto yuko wapi? Why call him? Unless the phone was a triggering device who knows? Ama hao conspirators walikuwa wanamsubiri zitto kokote anakoenda basi siku hiyo afe???? this sounds like Hollywood drama in Tanzania. Nasubiri findings!
Naomba mniweke sawa, hivi kweli sms hutokea isioneshe namba? Yaani iwe private? Mimi nafahamu hiyo hutokea wakati wa kupiga, lakini sms huonesha namba.
Wapendwa,
huwezi kutuma sms ikatokea private namba, never ever.Jaribu kutunga kitu kingine.