Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
159
habari ya asubuhi wanabodi,
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi la leo,Inasemekana ajali ya Marehemu salome mbatia iliyotokea tarehe 24 oct. ilimlenga Mhe. zitto kabwe.
Zitto amesema kabla ya kufika katika eneo la ajali,alisimama kununua kinywaji baridi aina ya Red bull,na kwa hiyo gari la salome likampita na dakika chache ajali ikatokea.

Zitto ansema muda mfupi kabla ya kusimama kununua Red Bull alipigiwa simu na Naibu Waziri mmoja ambaye alimuuliza aliko.Anasema Alimjibu kuwa yuko njombe ingawa likuwa hajafika.
ilikuwa baada ya kununua kinywaji,hata kabla ya dakika 10 hazijapita,nikakuta gari la salome likiwa limepata ajali,sijui,lakini kutokana na mazingira yalivyo ajali ile ilikuwa imepangwa,na mlengwa alisema akiwa mimi..alisema Zitto

hiyo ni kwa kifupi tu,Swali la kujiuliza..Je huyu naibu waziri ni nani..Gazeti la Mwanahalisi wamemficha ,Ila najua hapa JF watamuanika hadharani,tumechoka na hawa wauaji,lazima wananchi waambiwe ni nani ili wananchi wasimchague tena.Mapamban ya kifikra yamekalibia kufanikiwa..

inasemakena siku ya ajli ilipotokea asubuhi yake waaandishi wa habari waandamizi waliambiwa wajiandae kutatokea "habari kubwa" na namba iliyotuma huo ujumbe ilikuwa inaonesha private!!

Naomba kuwasilisha hoja hii nzito tuweze kubaini,Nini na ni nani hasa wahusika wa mpango huu..We always talk openly
 
Mkuu hapo ni kuwa umemnukuu Zitto au ni gazeti limemnukuu? Maana kama ni kweli basi siasa za bongo ni za hatari sana (ni za kimafia). Naamini kama alisema hiyo basi kwasababu yeye ni mwanachama hapa atakuja kutumwagia issue nzima. Unajua jambo likishatokea huwa mambo mengi husemwa na ukiangalia utata wa hiyo ajali na ilikuwa je dereva akatoroshwa mtu unaweza kuwa na maswali ya kujiuliza. Lakini nadhani ni muhimu kupata neno kutoka kinywa cha mwenyewe Zitto isije ikawa magazete yanataka kuuza. Ila najua sio rahisi kumtaja huyo naibu wazi aliyempigia simu kuwa ananhusika moja kwa moja na hiyo ajali.
 
kwamujibu wa gazeti la Mwanahalisi,ila Mwanahalisi nawaamini sana,hasa kubenea huwa hana masihala katika jambo la ukweli,tumsubiri zitto aje hapa atueleze..ila najua kuwna watu watakuwa na habari kamili,hasa hasa FD
 
Sasa nadhani JF tunapoteza dira in maana tuanze kudiscuss ushirikina sio??????????

mkuu kama sikosei mleta mada hajaweka issue wazi kuwa ni ushirikina bali kasema ajali ilipangwa. Inawezekana kupangwa sio kwa ushirikina mkuu mfano inawezekana dereva wa lori alinunuliwa kufanya hizyo kazi kwani ni nani anajua? fikiria kwa mapana zaidi unajua mtu akitaka kuuwa anatumia kila mbinu ili ionekane kuwa imetokea ajali ya kawaida tuu. Tusubiri tuone kama ni kweli Zitto au wasemaji wake watatuambia.
 
habari ya asubuhi wanabodi,
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi la leo,Inasemekana ajali ya Marehemu salome mbatia iliyotokea tarehe 24 oct. ilimlenga Mhe. zitto kabwe.
Zitto amesema kabla ya kufika katika eneo la ajali,alisimama kununua kinywaji baridi aina ya Red bull,na kwa hiyo gari la salome likampita na dakika chache ajali ikatokea.

Zitto ansema muda mfupi kabla ya kusimama kununua Red Bull alipigiwa simu na Naibu Waziri mmoja ambaye alimuuliza aliko.Anasema Alimjibu kuwa yuko njombe ingawa likuwa hajafika.
ilikuwa baada ya kununua kinywaji,hata kabla ya dakika 10 hazijapita,nikakuta gari la salome likiwa limepata ajali,sijui,lakini kutokana na mazingira yalivyo ajali ile ilikuwa imepangwa,na mlengwa alisema akiwa mimi..alisema Zitto

hiyo ni kwa kifupi tu,Swali la kujiuliza..Je huyu naibu waziri ni nani..Gazeti la Mwanahalisi wamemficha ,Ila najua hapa JF watamuanika hadharani,tumechoka na hawa wauaji,lazima wananchi waambiwe ni nani ili wananchi wasimchague tena.Mapamban ya kifikra yamekalibia kufanikiwa..

inasemakena siku ya ajli ilipotokea asubuhi yake waaandishi wa habari waandamizi waliambiwa wajiandae kutatokea "habari kubwa" na namba iliyotuma huo ujumbe ilikuwa inaonesha private!!

Naomba kuwasilisha hoja hii nzito tuweze kubaini,Nini na ni nani hasa wahusika wa mpango huu..We always talk openly
Zitto anatafuta frontpage glammer!Whoever orchestrated this, if it was orchestrated, must have had access to a GPS or some tracking device system and this means the driver must have had one too na huyo naibu waziri. Angewezaje kumu pinpoint? Na kama huyo naibu Waziri yuko kwenye conspiracy si alikuwa anajua Zitto yuko wapi? Why call him? Unless the phone was a triggering device who knows? Ama hao conspirators walikuwa wanamsubiri zitto kokote anakoenda basi siku hiyo afe???? this sounds like Hollywood drama in Tanzania. Nasubiri findings!
 
Thats why nikasema hapa inawezekana magazeti yanatafuta habari ya kuuzia. Lakini pia tusiwe wavivu wa kutafikiri tusubir tuone ukisikia kitu kinasemwa sana kunakuwa na jambo.
 
Naomba mniweke sawa, hivi kweli sms hutokea isioneshe namba? Yaani iwe private? Mimi nafahamu hiyo hutokea wakati wa kupiga, lakini sms huonesha namba.
 
Sasa nadhani JF tunapoteza dira in maana tuanze kudiscuss ushirikina sio??????????

Ndugu Nyambal,
hoja hujibiwa kwa hoja,tunataka kujua ni kwanini ujumbe ulisambazwa kwa waadishi kwamba kuna jambo kubwa litatokea,nani alihusika na hili suala,Huyo Naibu waziri atakuwa na jibu kamili..
tumechoka na siasa za kimafia..

Atanaye,
Zitto alishakuwa maarufu toka kipindi kile tunasoma Mlimani,sasa kusema anatafuta umaarufu sasa ni kumkosea heshima.wewe unataka asiseme kwa sababu itamuongezea umaarufu??

the truth should be told..
 
Naomba mniweke sawa, hivi kweli sms hutokea isioneshe namba? Yaani iwe private? Mimi nafahamu hiyo hutokea wakati wa kupiga, lakini sms huonesha namba.

ndio hiki kitu kinawezeakana,wewe ndio haufahamu nini cha kufanya..nenda karibu na huduma kwa wateja ya kampuni yoyote ya simu..
 
Taarifa ya polisi ya mkoa waIringa ,inasema kwamba pamoja na gari la salome kuendesha kwa kasi kubwa,lakini ni lori ambalo lilifuata gari la marehemu na kuligonga katika mazingira ambayo hadi sasa yanaleta utata
 
Hapa kuna haja ya kufanya mambo matatu ama manne ili kujua nini kinaendelea.

1.kama ni kweli kuwaw kuna kiongozi aliwapigia simu waandishi wa habari asubuhi saa nne na kuwaambia kuwa kuna habari kubwa siku hiyo, na pia kama kiongozi huyo aliyepiga simu ni huyu huyu aliyempigia zitto basi kuna haja ya huyo kiongozi kujieleza alikuwa anamaanisha kitu gani.

2. inawezekana asiwe mlengwa ni zitto ila alikuwa sumaye kwani naye pia alikuwepo kwenye msafara ,kuna haja ya polisi kuchunguza jambo hili kwa kina na kulipatia majibu ya haraka kwaqni hii itakuwa ni hatari klwa viongozi wetu.

3.lazima mwanahalisi wawe tayari kuwataja waandishi husika ili kuweza kuupata ukweli wa mambo na kujua nini kilimuua waziri wetu ,huenda naye alikuwa ni mlengwa huyo naye alikuwa big news.

Ni lazima kuujua ukweli kwani habari hii ikiachwa inaweza kuleta hisia mbaya na pia kuwajenga watu kisaikolojia kuwa zitto anataka kuuwawa na hii ni hatari kwa taifa haswa ukizingatia hali halisi ya kisiasa kwa sasa.

Dereva ni lazima atafutwe akiwa hai ili kuweza kuieleza ,mahakama kiini cha ajali na pia ni lazima uongozi wa juu wa jeshi la polisi uwajibike kama unashindwa kumtafuta dereva aliyesababisha kifo cha waziri wa serikali , je?akisababisha kifo cha mlalahoi kama mimi atapatikana?

Usalama wa taifa lazima uingizwe matatani kwani kama habari hizi zina ukweli kuna kila sababu kuwa wanajua kinachoendelea kwenye taifa hili lazima wawajibike kueleza nini kinaendelea kimya kimya kwenye nchi hii.

Nami nitaanza uchunguzi wangu ili kujua nini kilitokea na hata kama ni kwenda hadi kwa familia ya dereva na kujua kama kabla ya siku ya ajali alikuwa amesafiri kwenda wapi na kama hali za maisha ya familia zilikuwa tofauti na siku nyingine ,na hapo nitauweka uchunguzi wangu wazi japo unaweza ukachukua muda mrefu kwani mimi sio mtaalamu wa masuala ya kiuchunguzi.
 
Zitto anatafuta frontpage glammer!Whoever orchestrated this, if it was orchestrated, must have had access to a GPS or some tracking device system and this means the driver must have had one too na huyo naibu waziri. Angewezaje kumu pinpoint? Na kama huyo naibu Waziri yuko kwenye conspiracy si alikuwa anajua Zitto yuko wapi? Why call him? Unless the phone was a triggering device who knows? Ama hao conspirators walikuwa wanamsubiri zitto kokote anakoenda basi siku hiyo afe???? this sounds like Hollywood drama in Tanzania. Nasubiri findings!

Tayari Tanzania tuna GPS, nakumbuka niliiona zamani sana huko viwanja, kama ingekuwepo basi magari yangekuwa hayaibiwi.
 
Naomba mniweke sawa, hivi kweli sms hutokea isioneshe namba? Yaani iwe private? Mimi nafahamu hiyo hutokea wakati wa kupiga, lakini sms huonesha namba.

Si Kitiyi ukisoma kwa makini utakuta pameandikwa ALIPIGIWAila hawa waandishi waandamizi kuandikiwa sms ambayo simu ya waziri ikiwa katika hali ya PRIVATE ni mara yangu ya kwanza tangu niwe na simu yangu kusikia sms inaweza kutuma sms private namba lakini nadhani hawa mawaziri wana option hizo katika simu zao tusaidiane. Kifupi taarifa hizi ni za uongo kabisa. Mwanafalsafa mmoja alisema "Unaweza kumdanganya mtu mmoja wakati wote akaamini lakini huwezi kuwadanganya watu wote muda wote wakakuamini"
 
Wapendwa,
huwezi kutuma sms ikatokea private namba, never ever.Jaribu kutunga kitu kingine.

kama mtu anataka kuficha identity kwa tz sio kazi ngumu.. sim cards zinauzwa kama peremende na mtu anaweza kuwa na line ya simu akaitumia kwa kazi flani then akaitelekeza. ishu ya PRIVATE NUMBER inafanya kutilia mashaka ukweli wa hii habari
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom