Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

Wana JF,
Nilizungumza na mwandishi wa MwanaHalisi na kumweleza ya kwamba siamini kama ajali ile ilipangwa. Ninaamini ni ajali kama ajali nyingine tu. Kuendekeza habari hizi ni hatari sana kwa utulivu wa nchi. Nilimwambia hivyo mwandishi. Ajali ikitokea na nikapoteza maisha, ni mipango ya mungu. Wala sitembei nikiogopa kuwa nitauwawa. Siogopi hata kidogo.
Ni kweli nilipigiwa simu na naibu waziri. Lakini haihusiani hata kidogo na ajali. Mimi kama kiongozi ninawasiliana na viongozi mbalimbali. Sasa kama kiongozi akinipigia simu halafu ikatokea ajali na nikasema yeye ndio kapanga, basi sitakuwa ninawasiliana na viongozi.
MwanaHalisi limekwenda out of the way. Na nimewasialiana na Mhariri wake juu ya hili.
asante zitto kwa majibu yako mazuri na ya msingi,pamoja na majibu yako mazuri ila tusifunge mjadala kwa kusema habari ya Mwanahalisi ni ya uongo,cha msingi ni kwamba Mwandishi alikwenda nje baada ya kusema ulilengwa wewe,
nobody knows,it might they were looking for you or not..Mwanahalisi Moto ni ule ule,wala msilegeze

otherwise R.I.P Salome mbatia
 
Wana JF,
Nilizungumza na mwandishi wa MwanaHalisi na kumweleza ya kwamba siamini kama ajali ile ilipangwa. Ninaamini ni ajali kama ajali nyingine tu. Kuendekeza habari hizi ni hatari sana kwa utulivu wa nchi. Nilimwambia hivyo mwandishi. Ajali ikitokea na nikapoteza maisha, ni mipango ya mungu. Wala sitembei nikiogopa kuwa nitauwawa. Siogopi hata kidogo.
Ni kweli nilipigiwa simu na naibu waziri. Lakini haihusiani hata kidogo na ajali. Mimi kama kiongozi ninawasiliana na viongozi mbalimbali. Sasa kama kiongozi akinipigia simu halafu ikatokea ajali na nikasema yeye ndio kapanga, basi sitakuwa ninawasiliana na viongozi.
MwanaHalisi limekwenda out of the way. Na nimewasialiana na Mhariri wake juu ya hili.

Nashukuru sana Mheshimiwa kwa kutufafanulia hili jambo, lilishaanza kelekea kusikofaa. Na pia nakushauri umtake huyo mhariri wa hilo gazeti la Mwanahalisi arekebishe hiyo habari, iendane na mliyoongea. Kuna tatizo la waandishi wetu kushindwa kutofautisha kati ya "facts" na "opinions". Kama hayo aliyoyaandika yalikuwa mawazo yake, basi ilipaswa ionekane hivyo. Sijaliona wala kulisoma hilo gazeti sababu niko ughaibuni huku, lakini nadhani kama taarifa ya gazeti ndiyo inayosababisha ionekane kana kwamba ulinukuliwa ukidai ati ajali ilipangwa, nadhani ni jukumu la gazeti hilo kurekebisha na kusahihisha kwa uzito ule ule wa habari ya awali, na kuomba radhi kwa usumbufu waliokusababishia wewe na sisi watanzania wenzako.
 
Asante Mhe. Zito kwa ufafanuzi wako. Huyo mwandishi wa MWANAHALISI ni vizuri na yeye akatoa maelezo kwenye gazeti lake ni kwa vipi aliandika maelezo tofauti na aliyotoa Mh. Zito. Sitaki kuamini gazeti makini na lisiloogopa chochote kama hilo linaanza kuelekea kuanza kupotosha habari naamini mwandishi aliteleza kidogo tu.
 
Naanza kupata hisia kuwa Mhe.Zito kaamua kukanusha lakini message sent. Hii style ya kufuta usemi si ipo hata Bungeni? lakini ujumbe unakuwa umefika.
 
ndio hiki kitu kinawezeakana,wewe ndio haufahamu nini cha kufanya..nenda karibu na huduma kwa wateja ya kampuni yoyote ya simu..

Sasa mwelemishe mwenzio au mwelekeze ni mtandao gani unaotoa huduma hiyo kwa vile kuna mtandao CDMA na GSM ambazo protokali zake ni tofauti. Na hata mtandao wa internet unaweza kutumika kutuma SMS!

Bottom line Zito yu hai Salome hatuye, alyekubali yatokee ni Mungu muumbaji, viumbe sasa vijidai kuto analysis ya kazi ya muumbaji .. haya tuendelee kuyasiliza mangine .. tunendeleyaaaaaaaa

MENOSUGU
 
Wana JF,
Nilizungumza na mwandishi wa MwanaHalisi na kumweleza ya kwamba siamini kama ajali ile ilipangwa. Ninaamini ni ajali kama ajali nyingine tu. Kuendekeza habari hizi ni hatari sana kwa utulivu wa nchi. Nilimwambia hivyo mwandishi. Ajali ikitokea na nikapoteza maisha, ni mipango ya mungu. Wala sitembei nikiogopa kuwa nitauwawa. Siogopi hata kidogo.
Ni kweli nilipigiwa simu na naibu waziri. Lakini haihusiani hata kidogo na ajali. Mimi kama kiongozi ninawasiliana na viongozi mbalimbali. Sasa kama kiongozi akinipigia simu halafu ikatokea ajali na nikasema yeye ndio kapanga, basi sitakuwa ninawasiliana na viongozi.
MwanaHalisi limekwenda out of the way. Na nimewasialiana na Mhariri wake juu ya hili.

Bwana Zitto Kabwe naona sasa umekuwa msanii.acha mchezo wa kuigiza. gazeti la Mwana Halisi ni lako nani hajui?
unachotafuta ni attention kila dakika unamtumia Saed Kubenea (MWANDISHI KANJANJA) ambaye umempa kazi ya kuendesha gazeti lako (Mwana Halisi) kama mhariri mkuu.
Acha kudanganya watu.

mbona Adam Malima kakoswa koswa na ajali tatu toka siku alipotoa hoja bungeni kwa utovu wako wa adabu bungeni jee unahusika? au mambo ya dada yetu bi Shida (mama yako)?
 
hapo kabla kubenea alikuwa anafanya kazi na Lwakatere(yule mbunge nguli aliyekkuwa anwakilisha Bukoba),il baada ya ugomvi kutokea kati ya hao wawili,basi kubenea akabaki peke yake..japo gazeti la MWANAHALISI linahusika zaidi na habari za wapinzani,ila Zitto hausiki kabisa na gazeti hilo.
saed Kubenea ni mtu makini na mtu ambaye huwa anfikiria sana kabla ya kuandika jambo,Zitto anataka kufuta usemi wake..ila ukweli unajulikana na yeye anaujua..
 
Wana JF,
Nilizungumza na mwandishi wa MwanaHalisi na kumweleza ya kwamba siamini kama ajali ile ilipangwa. Ninaamini ni ajali kama ajali nyingine tu. Kuendekeza habari hizi ni hatari sana kwa utulivu wa nchi. Nilimwambia hivyo mwandishi. Ajali ikitokea na nikapoteza maisha, ni mipango ya mungu. Wala sitembei nikiogopa kuwa nitauwawa. Siogopi hata kidogo.
Ni kweli nilipigiwa simu na naibu waziri. Lakini haihusiani hata kidogo na ajali. Mimi kama kiongozi ninawasiliana na viongozi mbalimbali. Sasa kama kiongozi akinipigia simu halafu ikatokea ajali na nikasema yeye ndio kapanga, basi sitakuwa ninawasiliana na viongozi.
MwanaHalisi limekwenda out of the way. Na nimewasialiana na Mhariri wake juu ya hili.

maskini wee akina Mwanakijiji na Mwafrika wa Kike ! dah ! hata sijui mpo wapi ! Mungu kasikia dua zangu na sasa Zitto keshajibu mlichokuwa mnakisamamia mbele tena kwa kukingia kifua lakini sasa mmenywea ka manji ya mtungini !
 
du

inasikitisha km kuna watu katika karne kama hii wanakuwa na mawazo kama haya. ina mana mbatia yeye hawezi kupata ajali? nadhani huu si wakati wa kufikiria mambo ambayo hayatusaidi checheto, nadhani ni wakati wa kufikiria nini kifanyike ili kupunguza ajali za barabarani ambazo kwa kweli zinaongezeka tokea kuanza kwa mwaka huu, bahati mbaya tulikuwa na tatizo la ujambazi lilivuma likapungua kwa kiasi fulani, likaja tatizo la ukame pia ikawa afadhali, hivi sasa naona kuna tatizo la ajali!!! sijui nalo lini litapungua, naombeni wanabaraza hebu tuzungumze suala hili nini kifanyika, kwa mfano kwa wanaofuatilia news uengereza leo wamepitisha sheria ya kuzidisha mara tatu zaidi ya zilizopo before kwa madereza watakaokuwa wanaendesha mwendo wa kasi kuliko ule anaotakiwa kwenda kutokana na sehemu na barabara, pia mtu akirejea kosa mara mbili faini itakuwa mara 6, kwa hakika hili litasaidia kwa vyovyote vile nadhani pia kwa hapa kwetu tungekuwa na vitu km hivyo vitasaidia, yaani fine and penalt ni muhimu ktk kuzua vitu km hivyo.

nakaribisha mjadala, Ndambe
 
babu usishangae sana maana MWANAKIJIJI na mwenzake MWAFRIKA WA KIKE ndio walikuwa mstari wa mbele kusema kwamba CCM ilikuwa behind kifo chake na hii tabia ilinichefua kiasi kikubwa sana na sasa hata sijui niwachukulie vipi hivi viumbe, lakini ndio hayo kuna watu humu wapo kupoteza watu !
 
mwanakijiji wewe najua umeiona hii thread na ulikuwa mstari wa mbele kabisa kudai kwamba zitto alitaka kuuliwa, upo wapi sasa uje kujibu uliyosema ??
 
mwanakijiji mie bado nipo na wewe hapa ! nataka ujibu ulichosema, maana unakuwa mstari wa mbele kabisa wewe kutaka watu wajibu unachotaka, sasa jibu hili basi !
 
ingekuwa vizuri jamani kama tungeweza kumfahamu huyo naibu waziri ili tuwe makini na hao lillers.wanafikiri hao ndio hawataded?they should think criticaly what they are doing and what they will tell GOD kwa kukatisha uhai wa m2 aliopewa na mungu.
 
Hiyo technologia inasimamiwa na wanadamu wanaoweza kutumika Kwa namna moja au nyingine acheni kwawa na fakili finyu kujua mamlaka mbalimbali swali je raisi akitaka kufanyaivyo sianaagiza tu kampuni za Simu
Technologia za kisasa kila siku zinakuja na mpya, sms with hiding number might be possible!!!

Njia nyingine kama niko right, unatuma sms kupitia mtandao wa internate (kuna web zinatoa hiyo huduma like Wadja.com n.k)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom