Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

Mkuu Pasco,
Katika hili mie sina haja ya kutafuna maneno!! Hata kama nimehuzunishwa na kifo, bado napinga kwa nguvu zote huyu binti kuhusishwa na hiki kifo! Ikumbukwe kwamba, Kanumba kwa Lulu ni Kama Daud kwa Golliath…..!! Sina shaka yoyote kwamba, kutokana na wivu wa kimapenzi, Marehemu alianza kumshushia kisago Lulu! Bila shaka, kwa jinsi wanaume tulivyo, asilimia kubwa ya wengi wetu tungechukua uamuzi wa marehemu wa kuanza kumshushia binti kipigo!
Kwa upande mwingine, Lulu alikuwa na haki ya kujitetea! Kama nilivyosema hapo awali, Lulu kwa Kanumba ni sawa na Daud kwa Golliath! Ninachomaanisha, asingeweza kuchapana nae hivyo suluhisho pekee kwake ilikuwa ni kujinasua toka mikononi mwa marehemu! Kama chumba kisingekuwa kimefungwa (may be kilifungwa ili kichapo kitolewe sawasawa na asiwepo wa kukimbia) basi suluhisho la Lulu lingekuwa kutimua mbio! Lakini kwavile mlango ulikuwa umefungwa, Lulu alilazimika kwanza ,kumsukuma marehemu ili apate nafasi ya kutimua mbio na kufungua mlango! Jambo hili, lingefanywa na yeyote yule with exception of very few! Hata ningekuwa mimi, nisingekuwa na njia mbadala zaidi ya hiyo ya kumsukuma Kanumbe ili nipate uchochoro wa kutimua mbio! Hivyo, vyovyote iwavyo, Lulu hakuwa na namna zaidi ya hiyo ingawaje ni bahati mbaya hatua yake ya kujiokoa imezaa mauti kwa mwenzake!

Tukija kwa mdogo wake Kanumba, huyo ndie mpuuzi kuliko wote….!!! Nazani ujinga kama sio upumbavu aliofanya ni kutaka kujaribu kuifunika hii issue kwavile aliona ingekuwa skendo kwa kaka yake!! Bila shaka, wakati akichelea kuchukua hatua ya kumpeleka hospitali au kuita majirani (ili kuficha skendo) kumbe ndo alikuwa anakaribisha kifo kwa kaka yake! Na hata hiyo hatua yake ya kuanza kwanza kumuita “daktari” wa Kanumba ilikuwa na lengo lile lile la kuficha skendo!
WASWAHILI WANASEMA, MFICHA MARADHI KIFO UMUUMBUA……hiki ndicho kilichotokea kwa Mpendwa wetu Kanumba!!


Mimi naamini tunavuna tunayopanda. Trust me most of us don't know well Kanumba. His mysterious Death is just a manifestation of that fact. A tale tell sign that all was not that well behind the curtains!
 
Hivi unajua kuna wangapi wanaogopa kwenda bila ya hii form? Unajua kuna wangapi wamekataliwa kupokelewa bila ya hii form? Miaka ya 90 niliona pale Ilala wakimgomea jamaa hadi ikabidi ndugu waende kwanza Polisi.

Inatakiwa sheria iwe wazi na si "wakikuona upo Serious wanakupokea bila PF3." Nani aamue kama upo na hali mbaya upokelewe bila PF3 au una hali nzuri na ulete kwanza PF3?

Nafikiri ingelitakiwa Wauguzi wenyewe waamue kama ni kesi ya kuita POLISI au laah. Kwa nchi za wenzetu, ukiita AMBULANCE na kusema mtu kaumia, basi POLISI wanakuja pia. Au Ambulance ikija na kukuta mtu kajeruhiwa, basi palepale wanaita na POLISI ila kwa utaratibu, POLISI wanakuwa wa kwanza maana wapo wengi na magari kibao.

Ikitokea mtu kapata sijui ugonjwa moyo, kazidiwa sijui alikuwa anafanya nini? Basi inakuja ambulance peke yake.
Wanajua sana. ndio maana unaona wanawapokea majeruhi hata 100 wa ajali bila ya PF-3.
 
Tufafanulie
Catch-22 yupo sahihi kabisa. kama majeruhi/mgonjwa ana uwezo wa kufika polisi basi atakwenda polisi na kuopewa PF-3,kama majeraha ni makubwa madaktari wanajua watatoa tiba na kuwahimiza ndugu au marafiki kupeleka taarifa polisi. PF 3 inasaidia kutambua kama majeruhi kaumia katika hali ya kawaida au uhalifu. ni muhimu tu iwepo haicheleweshi huduma,huduma tunaichelewesha wenyewe kwa kutaka lazima ipatikane PF3,wakati taratibu zipo wazi. Watanzania wenzangu tupende kujisomea mambo muhimu tutapunguza lawama zisizo na msingi.
 
kweli kabisa kaka umenena,maana jamaa kafa saa sita anapelekw a alfajiri hospitali kuna uzembe mkubwa sana.
 
Naona Detective Pasco hilo hajaliingiza kwenye equation
Catch-22, mimi sio detective, I should have been investigative journalist ila nilishagundua hapa bongo, sometimes "nothing but the truth" doesn't help, utaishia kuonekana "an enemy of the people"!. Nimeitumia zaidi electronic media na e-media yetu bado haiko tayari kupokea investigative news, hivyo msaada pekee uliobakia kwa taifa langu, ni "kusaidia Watanzania kujua haki zao, ni kazi nitakayo ianza soon"!.
 
  • Thanks
Reactions: bht

Mkuu Pasco naamini kabisa ni wewe ndio unaandika haya kwa hisia za kuona LULU anaonewa badala ya kuangalia sheria inataka nini
Unaposema "ukweli utamuweka huru", what if ukweli wenyewe kama ni walikuwa wanapigana akamsukuma akaangukia kichwa, is this will set her free?

Maana unasema as if huo ukweli wa kumuweka huru wewe unaujua...................

Nakuambia Paco 'kaanguka' mtoto yule mzuri ati!
 
Analysis yako ni nzuri pasco lakin,tujiulize kwnza huo uzembe unaousema umetokea ni nini chanzo chake?na ni kwanini tujishughulishe zaidi na suala la uzembe wa hawa w2 bila kujishughulisha na uyo aliesababisha awa watu kuonekana wazembe?kwa nionavo mimi,kabla ya kuwaukumu hawa kwa uzembe wao ebu tumhukumu huyu aliefanya awa unaowaita wazembe kuonekana wazembe,tujiulize pia je hawa unaowaita wazembe iwapo wangetimiza wajibu wao kama ulivotaka,na kwa bahati mbaya mgnjwa akawafia njiani,je rawama ungemtupia nani?.hapa cha muhim wazazi kuweni na malezi kwa watoto wenu,nani asie mjua lulu kwa tabia zake chafu?kwa culture za kiafrika na umri wake,lulu by that time was supposed to be home na wazazi wake ama walezi,na huyu sijui mamake na lulu by one way o anothr I take her as a source of this,naomba wazazi mkanye watoto wenu,mtoto wa kike anamaadili yake,ni kwa nionavyo mimi,
 
[Qn"!.UOTE=Catch-22;3652219] Naona Detective Pasco hilo hajaliingiza kwenye equation [/QUOTE]

Catch-22, mimi sio detective, I should have been investigative journalist ila nilishagundua hapa bongo, sometimes "nothing but the truth" doesn't help, utaishia kuonekana "an enemy of the people"!. Nimeitumikia zaidi electronic media yetu bado haiko tayari kupokea investigative news, TV zetu ninahitaji zaidi vipindi vya fagilia, piga debe, na vipindi vya kusifia, shangwe na mapambio kuhusu issues zozote, hivyo ili ku survive, lazima utoe kinachotakiwa tuu, hivyo msaada wangu mkubwa uliobakia kwa taifa langu, ni "kusaidia Watanzania kujua haki zao, ni kazi nitakayo ianza soon!.

Kufuatia mapenzi makubwa ya Watanzania kwa hawa stars wetu, hufikia kiwango cha kuwaona wao ni malaika, na anybody agaist them ni shetani, kama wanavyokanyooshea kidole haka katoto!.

Pasco
 
Analysis yako ni nzuri pasco lakin,tujiulize kwnza huo uzembe unaousema umetokea ni nini chanzo chake?na ni kwanini tujishughulishe zaidi na suala la uzembe wa hawa w2 bila kujishughulisha na uyo aliesababisha awa watu kuonekana wazembe?kwa nionavo mimi,kabla ya kuwaukumu hawa kwa uzembe wao ebu tumhukumu huyu aliefanya awa unaowaita wazembe kuonekana wazembe,tujiulize pia je hawa unaowaita wazembe iwapo wangetimiza wajibu wao kama ulivotaka,na kwa bahati mbaya mgnjwa akawafia njiani,je rawama ungemtupia nani?.hapa cha muhim wazazi kuweni na malezi kwa watoto wenu,nani asie mjua lulu kwa tabia zake chafu?kwa culture za kiafrika na umri wake,lulu by that time was supposed to be home na wazazi wake ama walezi,na huyu sijui mamake na lulu by one way o anothr I take her as a source of this,naomba wazazi mkanye watoto wenu,mtoto wa kike anamaadili yake,ni kwa nionavyo mimi,


There you are!

Kanumba kama kioo cha jamii anajua kabisa , HAJATOA POSA, HAJATOA MAHARI, HAJAJITAMBULISHA KWA WAZAZI WA LULU, na hajaweka wazi kwa jamii......anakaa na kitoto kidogo na kulala nacho....( ameanza naye urafiki huu tangu ka binti kakiwa na miaka 14) just imagine.....

muda huo saa sita usiku, still walikuwa wanataka watoke kwenda club?????????

oh...no wait... a minute...The guy was stupidy!! Lulu is little ***** its known

kuwalaumu watu wengine kama unavyosema is not fair.....

wazazi wanapaswa kulaumiwa wakianzia na mama wa Kanumba......28 yrs bado anahitaji sana malezi hata kama tutasea amekua!!! he neded strong hand to lead him...mama Lulu aliishajichokea na mtoto wake...ulimwengu sasa umechukua nafasi
 
kwa mtazamo wangu, Lulu bado innocent until proven guilty, considering her physique compared
na Mar SK.
Mkuu kimsingi kila mtu anakubaliana na hili kuwa she is innocent until................
Kinachogomba hapa ni ile baadhi ya watu kuona LULU hastahili hata kuwa suspect katika hili

Mfano Pasco yeye anaona LULU asihusishwe kabisa, bali kifo hiki kihusishwe na waliochelewa kumpeleka hospitali kuokoa maisha yake.

 
hamna maana kabisa wote mnaomtetea huyu mtoto muhuni Lulu,hii ni police case na ni first suspect, hakuna mjadala hapa,mnajifurahisha tu. Walikuwa wawili, she will have to convice the court kuwa she is not guilty, kwa kusaidiwa atapewa kosa la kuua bila kukusudia, whether ni Daudi kwa Goliath au vinginevyo

Kwamba Lulu ni First Suspect, hilo halina ubishi hata kidogo….na sizani kama kuna anayelikataa hili! Hoja ni kwamba, inavyoonekana ni Lulu anabebeshwa zigo lote la kifo cha Kanumba!! Saikolojia ya kawaida kabisa, inashawishi kwamba Kanumba alianza kumshambulia Lulu baada ya kugundua anaongea na mwanaume mwingine! Haileti sense kwamba, baada ya kukutwa anaongea na simu, from nowhere Lulu akamsukuma Kanumba!! Lazima tukumbuke kwamba, imeripotiwa ya kuwa Lulu amekutwa na majerahaa ya mkong’oto….sasa kama hiyo ni kweli (I hope Lulu hana ubavu wa kujidhuru mwenyewe ili ionekane alipigwa) basi ni dhahiri kwamba alianza kula kichapo! Self Defense, ipo popote palepale….alikuwa na wajibu wa kujitetea! Kwavile ubavu wa kupigana na Kanumba hakuwa nao basi alilazimika kukimbia! Na kwavile inaonesha alikuwa ametaitiwa; hakuwa na namna zaidi ya kumsukuma marehemu ili apate upenyo wa kutoka nduki!!
Maelezo haya hayamaanishi kwamba Lulu hawezi kuwa First Suspect, la hasha! By the way, inatakiwa ku-prove beyond reasonable doubt kwamba:

  1. Ni kweli Lulu alikuwapo na Kanumba wakati wa tukio
  2. Ni kweli Lulu alipigwa na Kanumba (hivyo alihitaji self-defense)
  3. Ni kweli Lulu alimsukuma Kanumba na sio kwamba Kanumba alidondoka mwenyewe
  4. Kama 3 above ni kweli; lazima ithibitike beyond reasonable doubt kwamba kifo chake kilitokana na kusukumwa!
Hayo, ni machache tu!
 
[Qn"!.UOTE=Catch-22;3652219]Naona Detective Pasco hilo hajaliingiza kwenye equationCatch-22, mimi sio detective, I should have been investigative journalist ila nilishagundua hapa bongo, sometimes "nothing but the truth" doesn't help, utaishia kuonekana "an enemy of the people"!. Nimeitumikia zaidi electronic media yetu bado haiko tayari kupokea investigative news, TV zetu ninahitaji zaidi vipindi vya fagilia, piga debe, na vipindi vya kusifia, shangwe na mapambio kuhusu issues zozote, hivyo ili ku survive, lazima utoe kinachotakiwa tuu, hivyo msaada wangu mkubwa uliobakia kwa taifa langu, ni "kusaidia Watanzania kujua haki zao, ni kazi nitakayo ianza soon!.

Kufuatia mapenzi makubwa ya Watanzania kwa hawa stars wetu, hufikia kiwango cha kuwaona wao ni malaika, na anybody agaist them ni shetani, kama wanavyokanyooshea kidole haka katoto!.

Pasco
[/QUOTE]

nimekuelewa sana kuliko unavyodhani

nina dada angu mmoja, kaandaa documentary ya TV, kuhusu watoto wa mitaani, wanavyofanyiwa vitu vibaya na some officials wa serikalini

documentary inachukua mpaka sura zao na kuweka live matatizo ya hawa watoto

alipofika kwa bosi wake alivyoiangalia akasema haiwezi kurushwa kwa gharama zozote zile...labda my sister aanzishe kituo chake cha TV!

U know what....ameacha kazi na sasa anajushughulisha na vitu vingine..it is pity and so sad

afadhali huduma za digital kwa kuwa zitahitaji low capital kuanzisha TV basi may be vituo vingi vinaweza kuzaliwa

Pole ukubwa huo!!

Umenikumbusha barabara za TZ na hasa DSM hazina viwango kabisa, alama za barabarani hazitoshi...BARABARA zimekuwa designed kutumiwa na wenyeji tu wa DSM,ambaye anajua pale pana kona, hapa pana tuta...pale pana ujenzi unaendelea n.k ukijaribu kusema kama independent consultant wana kuangalia na kusema 'anajifanya anajua sana yule'

pity
 
Nakuambia Paco 'kaanguka' mtoto yule mzuri ati!
Wabe, to be honest, binti yangu ni 18!, namshukuru Mungu, japo mimi ni binadamu, nimeumbwa na tamaa, hata kuwafakiria watoto wa Chuo, I've never!, itakuwa hivi vibinti!. Nimepiga UDSM, miaka 4, with single room Block F pale Mabibo hostel, na hiyo room yangu ndio was the one and only iliokuwa na net!, mabinti walipishana na wengine wali kill ningt,na sikuwahi hata kuwawazia, itakuwa haka!.

Simaanishi mimi ni malaika, labda ungezungumzia wa "mamas" hapo labda tungeelewana!.

Kiukweli msiba wa Kanumba umenigusa jinsi alivyo "gone too soon in such a manner" lakini serious concern yangu kwa sasa ni haka kabinti. Kupitia blog ya Sinta, ndio nemesoma kalitoka kama kalivyozaliwa with bruises all over her face!. Kutokana na mapenzi kwa Kanumba, very few gives a dam what really happened!.
 
Uwiiiiiiiiiiiii, toba!! Lakini uwongo mbaya, kabinti kanavutia aisee!!!
Sasa hebu nijuze, unachotaka kusema ni kwamba, kitakachofuata kwa Pasco ni kuomba kazi ya ubwana jela au ataanzisha documentary ya magereza yetu?!

sio yeye tu..natamani kama ningekuwa lawyer nijitolee kukatetea ,baada ya kushinda kesi singekuwa na haja ya mahari...ningekachukua na KUKAFARIJI kwa sababu automatically kameishakuwa excommunicated na society -OUTCAST

Hii tunaita ni opportunity


mwisho wa siku paka uzuri wake unaweza ku-influence mahakimu...wakaamua isivyo..sijui sheria inasemaje...

aisee Pasco wangu!
 
Back
Top Bottom