Kifo cha Hayati Magufuli ni utata mtupu, kila kiongozi anasema lake. Kulikuwa na uzembe

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana.

Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na uzandiki kwa hao waliokua wanajidai wanampenda JPM kumtelekeza na hata kushindwa kumlinda na kumuacha afe kwa mazingira yenye utata

Walioumizwa na JPM wanapaswa kumsamehe lakini wasisahau.Lakini mbali ya yote kulikua na uzembe mkubwa juu ya kifo cha huyu jamaa, mimi sikua mfuasi wake wala simkukubali lakini naona kuna uzembe fulani hivi ulifanyika aidha kwa kudhamiria au kutodhamiria.

Ninajikaza kuandika hivi najua waloumizwa na tuloumizwa kwenye utawala wake tupo na yalitokea maovu mengi sana lakini najikaza kusema kweli kuwa "Ni aibu kwa nchi kumuacha kiongozi anakufa kizembe namna ile, ule ulikua ni uzembe".
 
Ninajikaza kuandika hivi najua waloumizwa na tuloumizwa kwenye utawala wake tupo na yalitokea maovu mengi sana lakini najikaza kusema kweli kuwa "Ni aibu kwa nchi kumuacha kiongozi anakufa kizembe namna ile, ule ulikua ni uzembe".....
KIla mtu atakufa muda wake ulifika akafa tuache kukufuru na TZ sio nchi ya kwanza kupoteza rais.
By the way kama angekimbizwa akatibiwe nje akafa, nahisi ingesemwa mabeberu yamemuua na huenda yeye ndiye alitaka kutibiwa hapa hapa
 
Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana.

Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na uzandiki kwa hao waliokua wanajidai wanampenda JPM kumtelekeza na hata kushindwa kumlinda na kumuacha afe kwa mazingira yenye utata

Walioumizwa na JPM wanapaswa kumsamehe lakini wasisahau.Lakini mbali ya yote kulikua na uzembe mkubwa juu ya kifo cha huyu jamaa, mimi sikua mfuasi wake wala simkukubali lakini naona kuna uzembe fulani hivi ulifanyika aidha kwa kudhamiria au kutodhamiria.

Ninajikaza kuandika hivi najua waloumizwa na tuloumizwa kwenye utawala wake tupo na yalitokea maovu mengi sana lakini najikaza kusema kweli kuwa "Ni aibu kwa nchi kumuacha kiongozi anakufa kizembe namna ile, ule ulikua ni uzembe".
Uzembe wenyewe ni upi?? Wewe unataka kupingana na kadari za Mungu, huo ndo ulikua wskati wake aliopangiwa na Mungu, hata wsngempeleka wapi angerudishwa maiti, na nchi kuingia gharama zaidi.
 
Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana.

Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na uzandiki kwa hao waliokua wanajidai wanampenda JPM kumtelekeza na hata kushindwa kumlinda na kumuacha afe kwa mazingira yenye utata

Walioumizwa na JPM wanapaswa kumsamehe lakini wasisahau.Lakini mbali ya yote kulikua na uzembe mkubwa juu ya kifo cha huyu jamaa, mimi sikua mfuasi wake wala simkukubali lakini naona kuna uzembe fulani hivi ulifanyika aidha kwa kudhamiria au kutodhamiria.

Ninajikaza kuandika hivi najua waloumizwa na tuloumizwa kwenye utawala wake tupo na yalitokea maovu mengi sana lakini najikaza kusema kweli kuwa "Ni aibu kwa nchi kumuacha kiongozi anakufa kizembe namna ile, ule ulikua ni uzembe".
Yote yatajulikana tu hata alipo sasa itajulikana tu wakati ukifika.
 
Na mnavyoshindana kuanzisha uzi ili mradi tu na nyie mmepata cha kumtaja jembe JPM mitandaoni
 
Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana.

Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na uzandiki kwa hao waliokua wanajidai wanampenda JPM kumtelekeza na hata kushindwa kumlinda na kumuacha afe kwa mazingira yenye utata

Walioumizwa na JPM wanapaswa kumsamehe lakini wasisahau.Lakini mbali ya yote kulikua na uzembe mkubwa juu ya kifo cha huyu jamaa, mimi sikua mfuasi wake wala simkukubali lakini naona kuna uzembe fulani hivi ulifanyika aidha kwa kudhamiria au kutodhamiria.

Ninajikaza kuandika hivi najua waloumizwa na tuloumizwa kwenye utawala wake tupo na yalitokea maovu mengi sana lakini najikaza kusema kweli kuwa "Ni aibu kwa nchi kumuacha kiongozi anakufa kizembe namna ile, ule ulikua ni uzembe".
Hebu fafanua, alikufaje kizembe? Au ulikuwa unataka afeje ili ujue hakufa kizembe?
 
Mimi kinachoniskitisha ni kutoweka hata Kumbukizi yake! Siku kama ya leo ndiyo tungekuwa tunaoyeshwa na kusikiliza hotuba zake za yale ambayo huyu Shujaa aliyafanya kulivusha Taifa kutoka lilipokuwa mpaka tulipo!
So sad kwa kweli!
 
Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana.

Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na uzandiki kwa hao waliokua wanajidai wanampenda JPM kumtelekeza na hata kushindwa kumlinda na kumuacha afe kwa mazingira yenye utata

Walioumizwa na JPM wanapaswa kumsamehe lakini wasisahau.Lakini mbali ya yote kulikua na uzembe mkubwa juu ya kifo cha huyu jamaa, mimi sikua mfuasi wake wala simkukubali lakini naona kuna uzembe fulani hivi ulifanyika aidha kwa kudhamiria au kutodhamiria.

Ninajikaza kuandika hivi najua waloumizwa na tuloumizwa kwenye utawala wake tupo na yalitokea maovu mengi sana lakini najikaza kusema kweli kuwa "Ni aibu kwa nchi kumuacha kiongozi anakufa kizembe namna ile, ule ulikua ni uzembe".
Kuandika kafa kizembe bila kueleza kwa kina ni uzembe upi ulitokea ni kuburuzwa na hisia tu.
 
Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana.

Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na uzandiki kwa hao waliokua wanajidai wanampenda JPM kumtelekeza na hata kushindwa kumlinda na kumuacha afe kwa mazingira yenye utata

Walioumizwa na JPM wanapaswa kumsamehe lakini wasisahau.Lakini mbali ya yote kulikua na uzembe mkubwa juu ya kifo cha huyu jamaa, mimi sikua mfuasi wake wala simkukubali lakini naona kuna uzembe fulani hivi ulifanyika aidha kwa kudhamiria au kutodhamiria.

Ninajikaza kuandika hivi najua waloumizwa na tuloumizwa kwenye utawala wake tupo na yalitokea maovu mengi sana lakini najikaza kusema kweli kuwa "Ni aibu kwa nchi kumuacha kiongozi anakufa kizembe namna ile, ule ulikua ni uzembe".
Mungu fundi, alikuwa alipiza maovu aliyowatendea wahanga ya unyama wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom