Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

Umeshindwa kutofautisha causes and effects of Stive death. Kumbuka polic hawaangalii kwanini hakupelekwa hospitali ila wanaangalia causes of such event lead to the effects. Pia namba sita yako haina ukweli ndugu, ukweli Stive hakuwa anablid ila alikuwa anatoka mapovu mdomo na si damu. Ndo maana ndugu yake akaona tatizo c kubwa sana akaamua kubuy time labda ata zinduka.
Sumbua akili man c kukurupuka na kuanza kutetea tetea nakama je alimkaba mpaka kifo baada ya Stive kuanguka chini? No one knew?
 
Technology
Today 09:09
#1 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 19th October 2010
Location : Abbottabad, Pakistan
Posts : 354
Rep Power : 447
Likes Received25
Likes Given79

[h=2]
icon1.png
Kanumba: murder investigation[/h] Maswali haya yatasaidia/harakisha uchunguzi wa kifo
1. Lulu alikua anaongea na nani ktk simu wakati kanumba anaoga? Was it a planned call?
2. Kanumba alikua anamtolea maneno makali Lulu, nini hasa alikua anasema? Lulu, mdogo wa kanumba na majirani walisikia!
3.Mdogo wake kanumba alikwenda karibu wa mlango baada ya kusikia makelele, was he called to assist or alikwenda baada ya kelele kuzidi? Nani alimwita
4. Aliefunga kwa ndani na ufunguo ni lulu au kanumba?
5. Kwanini wafunge kwa ufunguo wakati walikua wanajiandaa kwenda mziki? Bwana mdogo alimuona lulu anaingia room hivyo asingeweza kuingia chumbani kwa kaka akiwa na mpenzi wake
6.Daktar anaishi wapi?
7. Mdogo wa kanumba hakuonyesha huzuni ktk mahojiano na EATV na anaonyesha ameandaliwa kujibu maswali with few fake english words
8.Kuna uhusiano gani kati ya mdogo wa kanumba, aliepiga simu,daktar na Lulu na wasanii wa mwanzo kufiki?
9. Makampuni ya simu yawasaidie police with phone records wiki kadhaa nyuma
10. Mwili wa kanumba una chembechembe za sumu au dawa za usingizi
 
Mkuu Pasco heshima yako..
Pamoja na uchambuzi wako mzuri kuhusu yaliyotoke baada ya kuwa amedodondoka kuonekana kama ni uzembe wa kumpatia huduma ya haraka, lakini huku hakuwezi kuziba wala kuondoa wajibu mkuu wa Lulu kama shukiwa namba moja.

Nikweli kabisa yule kijana hakutumia busara sana kuanza kumpigia simu Dr wake na kumfuata badala ya kutafuta namna nzuri ya kumuwahisha marehemu hospitali kwanza

Lakini kisheria kinaangaliwa zaidi chanzo na si aftermath, hoja yako ina hoji zaidi yaliyojiri baada ya tukio
Inawezekana kabisa LULU hajafanya kitendo kile kwa kukusudia, ilikuwa ni ugonvi wa kawaida tu ambao naamini watu wengi tu wanafanya na wenza wao
Lakini sasa inapokuja kuwa bahati mbaya matokeo yakawa mabaya hadi kupelekea yaliyotoke basi LULU ni lazima atawajibika kwa mujibu wa sheria kuprove yaliyojiri

Binafsi simlaumu LULU hata kidogo but when it comes kwenye mambo ya kisheria Lulu ni suspect no one, ni wajibu wa Lulu kuthibitisha yaliyojiri na yaendane na ripoti ya Dr. Maana ni yeye pekee walikuwa na marehemu chumbani tena katika hali ya ugonvi
 
Kanumba alikuwa amelewa chakari! Kuna mtu wa nne alikuwa ndani ya nyumba! Ajabu hatajwi. Lulu alipigwa sana na marehemu. Tusimuhukumu Lulu Kosa la marehemu kuendekeza ulevi
 
Hapana huwezi sema ni uzembe kwa sababu hakuna anaejua amekata roho sa ngapi inawezekana toka mdogo m2 alipomuona na kupanic kumpigia dokta alikuwa kesha kufa
 
Hapana huwezi sema ni uzembe kwa sababu hakuna anaejua amekata roho sa ngapi inawezekana toka mdogo m2 alipomuona na kupanic kumpigia dokta alikuwa kesha kufa
Nakubaliane nawe kuwa SK alishakuwa amekufa the moment Lulu alipotoka chumbani! Sababu ya kifo uchunguzi utaonyesha tu...iwe kusukumwa au kupigwa na kitu, kujigonga kwa bahati mbaya, cardiac arrest nk.
 
Umeshindwa kutofautisha causes and effects of Stive death. Kumbuka polic hawaangalii kwanini hakupelekwa hospitali ila wanaangalia causes of such event lead to the effects. Pia namba sita yako haina ukweli ndugu, ukweli Stive hakuwa anablid ila alikuwa anatoka mapovu mdomo na si damu. Ndo maana ndugu yake akaona tatizo c kubwa sana akaamua kubuy time labda ata zinduka.
Sumbua akili man c kukurupuka na kuanza kutetea tetea nakama je alimkaba mpaka kifo baada ya Stive kuanguka chini? No one knew?

Mkuu, ru serious?!
Hivi kutoka povu mdomoni si tatizo kubwa?! hivi ni kipi tulichokizoea....kati ya kutokwa na damu au kutokwa na povu mdomoni?! Kwanza akina siye, tukiona mtu anatokwa na povu tu basi tunaamini "sumu!" then unasema aliona sio issue kubwa?!
Count on my word.....sio kwamba aliona sio issue kubwa bali hakutaka kuitoa siri nje kwavile alichelea ingekuwa skendo!!! Sasa katika huko kuchelea kutengeneza skendo, kumbe ndo akawa anaukaribisha umauti wa kaka yake baada ya kukaa muda mrefu bila kupata huduma! Na ndio maana hakutaka hata kuamsha majirani....kwa hofu ile ile ya kuvuja skendo! Na ndio maana aliakata shauri la kumwita daktari nyumba.....kwa hofu ile ile kwamba, isije issue ikavuja! bado nakumbushia, Mficha maradhi, Kifo umuumbua....na ndicho kilichotokea!!
 
Mkuu you sound like Sherlock Holmes.The point is she is not guilty until proven otherwise.

Binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa movie star yeyote wa bongo. Nimekuwa naangalia movie za Kanumba na wasanii wengine kupitia mabasi niendapo mikoani, na nimemfahamu huyo LULU kupitia huu msiba.

Ni wazi kabisa huyu LULU hawezi kuepuka kunyooshewa vidole kwa kuwa ndiye mtu wa mwisho aliyekuwa na marehemu angali mzima. Nenda uendako, LULU atakuwa mshukiwa wa kwanza. Hasa ukizingatia alikimbia baada ya kutoka kwenye chumba ambacho Kanumba alikuwa kaanguka akiwa kapoteza fahamu na anahitaji msaada (Naamini alikuwa amechanganyikiwa baada ya kukumbana na hali hiyo).

Ninamwonea huruma kwa shida anazopata binti huyu na jinsi saikolojia yake itakavyoharibika, ila sijui kama anastahili au hastahili. Haijalishi kama Kanumba alikuwa anacheza karate au alikuwa na umbile kubwa bado binti huyu anaweza akawa anahusika au hahusiki na kifo hiki. Poleni sana ndugu na jamaa za Kanumba na LULU ambao kwa wakati huu mnapitia kipindi kigumu sana.

But She can not escape this unless the court clear her of any wrongdoing. LULU is still guilty until proven otherwise.
 
Mpaka PF3 form, sijui kama kuna exceptions Ila kwa uelewa wangu ni hivyo.

.....na huu ni uzembe uliopitiliza ila watendaji wameufumbia macho.
Kwenye 'ajali' every minute counts...

Internal injuries, kwa kitaalamu hauruhusiwi kumsogeza mgonjwa kwa namna yoyote
kuepusha irreversible damages... Unless mgonjwa atakuwa anahudumiwa na qualified 1st Aider, au
unamsaidia under instruction toka kwa mtaalamu..

kwa nchi za wenzetu ukijipendekeza kumgeuza majeruhi waweza jikuta kizimbani...
 
hamna maana kabisa wote mnaomtetea huyu mtoto muhuni Lulu,hii ni police case na ni first suspect, hakuna mjadala hapa,mnajifurahisha tu. Walikuwa wawili, she will have to convice the court kuwa she is not guilty, kwa kusaidiwa atapewa kosa la kuua bila kukusudia, whether ni Daudi kwa Goliath au vinginevyo
 
Karibu watu wote pamoja na mwanzisha thread mnaongozwa na speculations, facts au haki zitajulikana mahakamani ila ninachoamini mimi kutokana na mazingira ya kifo lulu ni lazima awe prime suspect na mahakama chombo cha haki ndio itathibitisha kama lulu is guilty or not guilty na sio speculations wala porojo za mtu yoyote.
 
.....na huu ni uzembe uliopitiliza ila watendaji wameufumbia macho.
Kwenye 'ajali' every minute counts...

Internal injuries, kwa kitaalamu hauruhusiwi kumsogeza mgonjwa kwa namna yoyote
kuepusha irreversible damages... Unless mgonjwa atakuwa anahudumiwa na qualified 1st Aider, au
unamsaidia under instruction toka kwa mtaalamu..

kwa nchi za wenzetu ukijipendekeza kumgeuza majeruhi waweza jikuta kizimbani...
Mbu hivi kweli kabisa niambie relevance ya hiLi hitaji la PF3 form...
 
Allien, nakubalia na wewe, kunapotokea msiba, tuwaache waombolezaji wamlilie marehemu wao na wazike ndipo tuje kujadili nini kilitokea!. Kwa Regia ni ajali ya gari, lakini kwa Kanumba japo pia ni ajali, kuna mkono wa mtu, kilichopelekea hii hoja kuletwa hata kabla ya maziko ni finger pointing kwa haka kabinti Lulu as if she is the cause!.

Hapa zijahukumu, wala sijatabiri kama kule Arumeru, hapa nimetoa angalizo, there is more to it than finger poiting towards one direction , one person Lulu!. Kwa mwendo huu, kufika hiyo J.4, haka kabinti kanaweza kuwa tayari kameishahukumiwa hukuma ya umma!.

Poleni wafiwa, vidole tusinyoosheane!.

Pasco.

Pasco kumbuka JF haisomwi na watanzania wote

pia kumbuka kuwa LULU hawezi kukwepa hizi lawama..aidha hata akachiwa huru lazima atahukumiwa tu....damu ya mtu imeenda

Narudia, huwezina hutaweza kumsafisha Lulu kwa nature zetu waafrika, hata mahakama ikimsafisha lazima atahukuiw

by the way, walikuwa wameoana? saa sita usiku alikuwa anafanya nini na kanumba??...tukianzaia hapo utagundua katoto haka katasemwa kuliko Lowasa au rostam..tupo
 
Mbu hivi kweli kabisa niambie relevance ya hiLi hitaji la PF3 form...

bht hakuna ni ujinga fulani tu, hili swala lilijadiliwa sana bungeni miaka ya 90 mwanzoni lakini wapi...PF3 liko tu!

ilitakiwa mtu anapatiwa huduma, hospitali wanatoa taarifa polisi, wakati anapatiwa huduma ..polisi wanakuja pale kuchukua taarifa kama majeraha ni criminal cases au la
 
Karibu watu wote pamoja na mwanzisha thread mnaongozwa na speculations, facts au haki zitajulikana mahakamani ila ninachoamini mimi kutokana na mazingira ya kifo lulu ni lazima awe prime suspect na mahakama chombo cha haki ndio itathibitisha kama lulu is guilty or not guilty na sio speculations wala porojo za mtu yoyote.

hata mahakama ikisema hana hatia..mtoto huyu kwa jamii hachomoki...ameishapatiwa a.k.a yake as 'serial killer'
 
Mbu hivi kweli kabisa niambie relevance ya hiLi hitaji la PF3 form...

Walitakiwa waziamuru hospitali kutowatoa wagonjwa baada ya kupatiwa tiba kama kuna dalili ya ugongwa kusababishwa na kudhuriwa.

Sio hii mtu mahtuti kwanza ikasakwe PF3
 
Back
Top Bottom