MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 602
Hawa Jamaa wa SCANDINAVIAN EXPRESS bado nawaona barabarani.
Kumbe bado hawajafilisika? Mwenye details atuhabarishe.
wamiliki wake ni viongozi wa CCM kwani we hujui hilo?Halafu walikuwa on time hata kama wana abiria mmoja! nadhani hili pia lilichangia kuanguka kwa kampuni maana walikuwa wanapata hasara!
Makampuni mengine waliwaangalia tu...sasa makampuni kama Abood, Hood, dar express yapo siku zote mbona hayafilisiki? Au hayakuchukui mikopo?
Ndugu yangu, wewe ndio uliyekuwa na hii habari, ukatunga kichwa cha thread, ukapost infos and finaly thread, wachangiaji wakachangia.
Allien, with all due respest, ingekuwa vema ukarefute maelezo yako ya awali kabla hujaomba mwenye habari zaidi ahabarishe.
Mkuu;
Walau ufanye uchunguzi kabla hujapost; ni kweli mimi nilipost lakini wewe huoni kuwa pana source ya habari hii na si wala source si mimi? Kupost thread haina maana unazo taarifa zote.
Kazi kweli kweli . . . .
Kwa vile wewe ndye uliteleta 'source' ya habari, ungeifuatilia nadhani ungeweza either kupata jibu ya swali lako juu ya habari uliyoileta au unegleta habari zaidi.
Ooops! Kumbe ni post yako ya 19. Ndiyo maana . . . hujaijua vema JF. Si lazima mleta habari aifuatilie yeye. Watu wengine wanaweza wakawa wanajua zaidi. Kwanza fuatilia thread hii ujue wadau waliongelea nini.
Hata hivyo karibu JF.
kwa kuwa ni post ya 19 ndio nisihoji, unajua nimekuwa nikisoma na kufuatilia JF kwa ukaribu kwa muda gani hadi ufikie kusema eti 'sijaijua vema JF'? By the way, I know you are among those short tempered members, hivyo haitakuwa vizuri kukucriticise au kuhoji sana.
Tafakari...chukua hatua.
kwa kuwa ni post ya 19 ndio nisihoji, unajua nimekuwa nikisoma na kufuatilia JF kwa ukaribu kwa muda gani hadi ufikie kusema eti 'sijaijua vema JF'? By the way, I know you are among those short tempered members, hivyo haitakuwa vizuri kukucriticise au kuhoji sana.
Tafakari...chukua hatua.
tafuta uhakika kwanza harafu ujeHivi nani mmiliki/wamiliki wa Scandinavian Express? Kuna kipindi nilikua nasikia tetesi kuwa John Momose Cheyo(Mapesa) alikua mmoja wa wamiliki ila sina uhakika.
Hawa Jamaa wa SCANDINAVIAN EXPRESS bado nawaona barabarani.
Kumbe bado hawajafilisika? Mwenye details atuhabarishe.
Naona unapenda ligi zisizokuwa na msingi. Kuna kisichojitosheleza katika thread hii? Ungeweza kuwa miongoni mwa waijuayo vyema hiyo kampuni na ukaweka taarifa kamili baada ya Alien kuona hilo bandiko na kuliweka hapa, na wala sio kazi ya mbandika hoja kusaga lami kutafuta ncha zote za habari aliyoiweka haswa pale ambapo source yake ipo wazi.
By the way, watu hawafanyi shahada za uzamivu/falsafa hapa.
TENAA? ,Mtoa thread unataka kujuzwa??? ina maana data ulizo toa huna info kamili? am worried na thread yako!!
Mara nyingi usilolijua linakusumbua,baadhi ya wakubwa ambao walikuwa wameweka pesa zao walipozivuta ndo chombo kilipoenda mrama wakuu....
sasa zaidi yahapo sisemi lakini ndo ukweli huo.