Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

KIFO CHA HAWARA (mkono wa jini)
SEHEMU YA HAMSINI NA NNE
MTUNZI: Mbogo EDGAR
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA TATU: nilimueleza kwa sauti tulivu, na hapo Jessenia ambae tabasamu halikukauka usoni mwake, alinipa mkono kama kuomba usaidizi wa kushuka toka kwenye gari, na mimi nikamshika na kumpa usaidizi huo, na alipotoka nikaufunga mlango, lakini wakati naulock mlango nikakumbuka kumtazama yule jamaa mwenye ile vesper, na kwa bahati nikakutana nae macho kwa macho akiwa ananitazama, hapo akakwepesha macho yake ghafla na kutoa simu mfukoni. ….. ENDELEA..
Mpaka hapo kengere ya tahadhari ikagonga kichwani mwangu, niliamini kuwa tayari mtego wangu umesha nasa, nikajifanya kama sikuwa na mpango nae, tuka ondoka zetu kuelekea upande wa Markiti tukiwa sambamba na Jessenia, ambae alionekana wazi kujawa na aibu, “Eric yani sijawahi kuona aibu kuongozana na mwanaume, lakini sijui kwanini leo naona aibu kama hivi” alisema Jessenia kwa sauti nyororo tamu ya kuvutia, huku anaachia tabasamu lillilo tawaliwa na aibu fulani, “kwanini sasa?” niliuliza huku nacheka kidogo, na kwa macho ya wizi sana nilitazama upande wangu wa kushoto, ambako kulikuwa na Chake Hotel kwenye eneo la maegesho ya magari, nikamuona yule jamaa anaongea na simu huku anatazama upande tuliokuwepo kwa macho ya chini chini, lakini nilijifanya kama sijamtazama wala kumuona, “yaani nahisi kama watu wakituona wanajuwa tulichofanya jana” alisema Jessenia kwa sauti ya kunong’ona akimalizia kwa kicheko chepesi, na mimi nikacheka kicheko cha kivivu, huku tunaendele kutembea kuingia ndani ya mtaa huu ambao unaweza kusema ndio kariakoo ya hapa chake chake, huku tukipishana na watu wengi waliokuwepo kwenye pilika pilika zao za manunuzi, maana hii ndio sehemu kubwa ya manunuzi kwa hapa chake chake, “acha kujishtukia Jesse, asilimia kubwa ya watu unao waona hapa nao wanafanya kama ulichokifanya jana” nilisema kwa sauti yenye muonekano wa utani, tukachekea chini, wakati huo Jessenia alikuwa ananishika mkono na kuongoza kuchepuka pembeni, ambako kulikuwa na mlango mkubwa sana uliokuwa wazi, nilipo tupia macho ndani nikaona kuna meza zilizo zungukwa na watu waliokalia viti, wakiwa wanapata chakula, “ndiyo hapa njoo upate supu ya kuchi (aina flani ya kuku, wenye maumbo makubwa sana)” alisema Jessenia huku tunasogelea lile lango.
Naam wakati wa kuingia ndani ya jengo lile la mgahawa nikajifanya kama najikuna shavu la kushoto kwa mkono wa kulia, na kusababisha shingo yangu lizunguke na uso wangu uelekee kule tulikotoka, nikiwa na lengo la kumtazama yule jamaa aliekuwa anaegesha vesper pale chake hotel, ambae nilitaka nithibitishe nilicho kihisi mwanzo kuwa jamaa ananifuatilia, na kweli nikamuona yule jamaa akiwa anatembea kwa tahadhari kuja upande ule ule tuliko kuwepo, sikutaka kumuonyesha kama nimesha muona, baada yake niligeuza uso wangu nakutazama ndani ya mgahawa ambao ndio tulikuwa tunaingia, huwa nasikiaga tu huyo kuku, wacha leo nijionee mwenyewe” nilisema huku natazama muonekano wa mule ndani, ambao ulikuwa wa kawaida tu, lakini harufu nzuri ya vyakula ndiyo iliyoleta hamu ya kukaa mule ndani, “haya sasa onja mapishi ya kipemba leo” alisema Jessenia, huku tuna chagua meza moja ambayo ilikuwa ni meza ya tatu toka mlangoni, “na kabla hata hatuja hudumiwa nikamuona yule jamaa akiwa kwa nje anachungulia mule ndani, na aliponiona akatoka na kwende kusimama mita kadhaa upande wa pili wa barabara.
Ukweli yule jamaa alitulia pale pale, huku akionekana kuchezea simu yake mara kwa mara, na wakati mwingine akipokea au kupiga simu, hata tulipomaliza kupata soup na chapati za maana ambazo Jessenia aliniwahi kulipia, na sisi kutoka nje, nikamuona yule jamaa akiwa bado yupo pale pale, nikajifanya sijamuona, baada yake nikamuongelesha Jessenia, “unadhani tunaweza kupata muda kidogo wa kuzunguka madukani?” nilimuuliza Jessenia ambae kabla hajanijibu, alinitazama kwanza usoni, huku anatabasamu na macho yake yakiongea kitu flani, “vipi Jesse, au …..” niliongea kwa utani, na yeye akacheka kivivu, huku anakamata mkono wangu na kuuminya kidogo, “kwani kuna kitu unataka kununua, mwenzio nimechoka kutembea tembea” alisema Jessenia, ambae kwa haraka usingemuelewa, ila kwa akili ya ndani nilimuelewa, maana hata mimi nilitamani kwenda Green house, nika endeleze kile nilichokianza jana, “ok! twende zetu tukapumzike, tutarudi jioni mazoezini” nilimueleza kisha tuka anza kutembea kuelekea upande wa chake Hotel, ambapo ni mita kama thelathini tu! toka pale mgahawani na wakati tuna ingia kwenye gari nikamuona yule jamaa anakuja upande ule ule wa chake hotel, nikaona itakuwa vyema kufahamu kama Jessenia anawafahamu washirika wa kaka yake, hivyo nipanga kumtega, “Jesse kuna jamaa mmoja hivi namfananisha sana, sijui niliwahi kumuona wapi?” nilimuuliza Jessenia, wakati tukiwa ndani ya gari na mimi nikiwa nawasha gari, “jamaa gani huyo?” aliuliza Jessenia, huku ananitazama, “usitazame kwanza nikikuonyesha, ila wewe tazama kwenye ile vesper kulia kwetu, utamuona mtu anaenda kupanda” nilimueleza Jessenia na yeye akafanya hivyo hivyo, lakini kwa macho ya tahadhari, pasipo kuhoji kwanini, “hoooo! nime muona, nadhani ni mfanyakazi wa kaka Ussi, kuna siku alikuja kuleta samaki nyumbani” alisema Jessenia huku narudisha gari nyuma tayari kupata uelekeo wa macho manne, “hooo! mimi sijui niliwahi kumjona wapi” nilisema huku naweka gari sawa na kukanyaga mafuta kuelekea macho manne kwa mwendo wa taratibu, “labda umemuona mtaani” alisema Jessenia, huku anajiweka sawa kwenye seat yake.
Hapo kikapita kimya kifupi, kabla sijavunja ukimya, “kwahiyo unawafahamu wafanyakazi wa kaka yako wote?” nilimuuliza Jessenia, nilitaka nipate uhakika kama anamfahamu yule alie uwawa, “nawafahamu lakini sina mazoea nao” alisema Jessenia, na hapo nikapachika swali jingine, “huyo alie uwawa utakuwa unamfahamu pia au sio?” nilimuuliza Jessenia ambae alinitazama kwa mshangao, “nitamjuwaje na wakati wao wenyewe wanafanya siri” alisema Jessenia wakati huo tunaendelea na safari kuelekea macho manne, “lakini si unajuwa wanapoishi” ilimuuliza jessenia, huku natazama kwenye side mirror, ambapo niliweza kumuona yule jamaa mwenye pikipiki, akiwa anakuja kwa mwendo mdogo mdogo kama sisi, japo alikuwa mbali kidogo, “kwani wanasehemu ya kuishi wao zaidi ya kwenye jahazi huko baharini, niliwahi kuwasikia mjomba na Ussi wakiongea hivyo” alisema Jessenia, hapo kidogo akanishangaza, “inawezekanaje kulala kwenye mtumbi wa kuvulia samaki?” nilimuuliza huku napunguza mwendo zaidi kwaajili ya kuingia barabara ya wawi maana tayari tulikuwa tumesha ingia machomanne, “sio vile vyombo vya uvuvi, pia wanajahazi moja kubwa la kusafirishia magendokwenda tanga au bagamoyo, na kutoa huko kuleta huku pemba” alifafanua Jessenia, huku namimi nakanyaga mafuta kuelekea wawi mpaka vitongoji, na nilipotembea kama mita mia, nikatazama kwenye side mirror, nikamuona yule jamaa anaendelea kulifuata gari letu, “hivi Jesse, unadhani ni kitu gani kilikuwa kina sababisha vifo vya wapenzi wako?” nilimuuliza Jessenia huku naongeza mwendo ili nione kama na yule jamaa atafanya hivyo, na yeye akaongeza mwendo kutufuata, “nani mwingine ni mangeu na hao majini wake, ndio walio sababisha VIFO VYA MAHAWARA wangu” aliongea Jessenia kwa namna flani ya kuchekesha, ambayo ilinifanya nishindwe kujizuia kucheka, “uliwahi kuwaza au kuhisi sababu ya Mangeu kufanya hivyo?” nilimuuliza Jessenia wakati tuna katika usawa wa Wawi messi, nikatazama tena kwenye side mirror, hapo nikamuona jamaa wa vesper akipunguza mwendo, maana nilianza kuona nazidi kumuacha, “mh! unadhani ni nini kingine kama sio wivu wake tu” alisema Jessenia na hapo nikagundua kuwa imani yake mbaya kwa mzee Mangeu ni kubwa sana, “unadhani ni wivu gani ambao yule mzee anakuonea” nilimuuliza Jessenia nikijaribu kumfanya amfumbue maono yake na kuanza kuhisi ukweli ni upi, sikuacha kutazama kwenye side mirror, ambapo sasa yule jamaa sikumuona kabisa, “we huoni miaka yote yeye anaishi kwenye kibanda chake pale nje, wakati anatuona sisi tunaishi kwenye ghorofa, si ndio maana anamuonea wivu mjomba, sasa hasira zake zina ishia kuuwa mahawara wangu, lakini amekutana na kiboko yake” alisema Jessenia akimalizia kicheko laini na mimi nilicheka kidogo, japo yeye hakujuwa kuwa nimecheka kwa kuona hajuwi lolote.
Hapo nikatulia kidogo kuwaza swali jingine ambalo lingeweza kumuondoa kwenye hisia mbaya juu ya mangeu, ambapo siku chelewa kulipata, “hivi itakuwaje kama ukigundua kuwa mzee mangeu hausiki na lolote, na pengine yeye ndie anaemfahamu vyema mama yako au baba yako?” niliuliza swali hilo, ambalo niliona kama nimeliwahisha, na wakati huo huo simu ya Jessenia ikaanza kuita toka kwenye mkoba wake, ambao ulikuwa pembeni ya seat yake, “mh! kama ni hivyo basi yeye ndie atakuwa alimuuwa mama yangu” alisema Jessenia, huku anafungua mkoba wake na kutoa simu yake nzuri (kwa kipindi hicho) na kutazama mpigaji alikuwa nani, “mtumeeeeee, mjomba huyoooooo, sijui amesharudi nyumbani na kunikosa” alisema Jessenia kwa sauti iliyojaa uoga na wasi wasi, na mimi nikapunguza mwendo, na kusogeza gari pembeni kisha nikasimama kabisa, huku Jessenia akipokea simu yake, kichwani mwangu nilishahisi nini kinaendelea mpaka ile simu ikapigwa, “asalam aleykum” alisalimia Jessenia mara baada ya kupokea simu na kuiweka sikioni, ilikuwa ni sauti ndogo iliyojaa nidhamu, “siku sikia anachoongea mjomba wa Jessenia, lakini niliweza kuhisi, “ndiyo lakini samahani mjomba…… nipo macho mane kwa rafiki yangu…” alisema Jessenia lakini hapo nikamuona anatoa macho ya mshangao huku ananitazama, “ndiyo….lakini!!!! lakini nimemkosa nyumbani kwao ndio naenda kumtazama kazini kwake yeye ni mwalimu wa Fidel Castor… hapana mjomba nimwanamke sio mwanaume….. ndiyo ninamfahamu lakini simfuati yeye…. sawa nitawahi kurudi” nilimsikia Jessenia akisema hivyo kisha akatoa simu sikioni, akionyesha kuwa imesha katika, “mh! kazi wanayo, sijui wameweka wapelelezi kile sehemu, haya twenzetu sie” alisema Jessenia na mimi nikaondoa gari kuendelea na safari, “mjomba anasemaje?” nilimuuliza ili kuambatanisha na kile nilicho kihisi, “ameniuliza kama nime toka nyumbani nikamuambia ndiyo nimetoka, nikamuomba msamaha, halafu nikamuambia nipo macho manne kwa rafiki yangu, nikashangaa anasema kuwa sipo macho manne, ila naelekea vitongoji, ndio hapo nilipochoka, nikamueleza kuwa naenda kumtazama fidel, nashangaa eti mjomba nasema ndiyo huyo bwana wako, nikamueleza kuwa huyo ni mwanamke sio mwanaume, yeye akasema eti unajifanya humjuwi huyo mwalimu toka bara ambae ndie hawara yako, nilimuambia namjuwa lakini simfuati yeye, na yeye akasema eti usichelewe kurudi nyumbani” alielezea Jessenia….….. ENDELEA..

KIFO CHA HAWARA (mkono wa jini)
SEHEMU YA HAMSINI NA TANO
MTUNZI: Mbogo EDGAR
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA NNE: “mjomba anasemaje?” nilimuuliza ili kuambatanisha na kile nilicho kihisi, “ameniuliza kama nime toka nyumbani nikamuambia ndiyo nimetoka, nikamuomba msamaha, halafu nikamuambia nipo macho manne kwa rafiki yangu, nikashangaa anasema kuwa sipo macho manne, ila naelekea vitongoji, ndio hapo nilipochoka, nikamueleza kuwa naenda kumtazama fidel, nashangaa eti mjomba nasema ndiyo huyo bwana wako, nikamueleza kuwa huyo ni mwanamke sio mwanaume, yeye akasema eti unajifanya humjuwi huyo mwalimu toka bara ambae ndie hawara yako, nilimuambia namjuwa lakini simfuati yeye, na yeye akasema eti usichelewe kurudi nyumbani” alielezea Jessenia….. ENDELEA….
Mpaka hapo nilisha gundua kuwa yule jamaa mwenye vesper ndie aliepeleka taarifa kwa mjomba wa Jessenia, “unadhani haitokuwa tatizo kwako na mjomba wako?” nilimuuliza Jessenia huku tunaendelea na safari, tukiwa tunakabia, kona ya kuelekea ngere ngere, “tatizo lipo unadhani ndio kamaliza hapo, na mimi akiongea tu namuambia akanionyeshe ndugu zangu wengine waniruhusu niolewe na wewe” alisema Jessenia mpaka hapo nilisha pata jibu la kwamba Ussi na baba yake wanahusika moja kwa moja na vifo vinavyotokea, na sasa nikutengeneza ushahidi ambao utawaweka chini ya ulinzi wanafamilia wale.
Dakika kumi baadae nilikuwa nimesha simamisha gari nje ya nyumba ya kijani, na kabla sijaingia ndani nikaona gari la polisi linapita kwa speed kueleka upande wa Vitongoji, sikuweza kuangalia ndani ya gari hilo ili kuthibitisha shauku yangu, lakini nilihisi kuwa gari lile lina nihusu, hivyo nitarajie simu toka shuleni, na sikutaka simu inikute nikiwa nje na Jessenia, hivyo nikamuongoza Jessenia kuelekea ndani, ambako ile kufika mlangoni tu, nikasikia simu yangu inaita, nikaitoa na kuitazama alikuwa ni mwalimu Aisha, nikajuwa tayari kama nilivyohisi, nikaipokea simu huku namkabidhi Jessenia funguo za chumba kile, “niambie ticha” niliongea huku nikiwa nimesimama nyuma ya Jessenia, “vipi Eric umesha rudi mjini, unawageni wako hapa shuleni” aliniuliza Aisha, “ok! nakuja saa hivi” nilisema hivyo na kukata simu, kisha nikamtazama Jessenia ambae alikuwa amesimama ananitazama akisubiria nimueleze nilichoambiwa kwenye simu, “mwalimu Aisha amenipigia simu kwamba naitajika shuleni, wacha kwanza niende mara moja” Jessenia hakuwa mbishi, ndio kwanza aliniagizia maji ya kunywa,.
Naam dakika tano zilitosha kwa mimi kuibuka pale shuleni, ambapo nilikutana na insp Aroub aliekuwa na askari wawili mmoja dereva na mmoja akiwa nyuma ya gari, hawakuwa wameingia ofisini, hata mwalimu aisha hakuwepo, na gari lenyewe lilikuwa limeegeshwa karibu kabisa na barabara yaani pembeni kidogo ya shule, niwazi walikuja kuniona kama rafiki, “ticha vipi, unajuwa sikuchukuwa namba yako ya simu, ningekupigia bwana” alisema insp Aroub, kwa sauti ya uchungamfu mara tu nilipo wafikia, “sikukaa sana mjini, vipi mzee kuna jipya lolote?” kiukweli Ticha jipya lipo” alisema insp Aroub, huku tunasogea pembeni kidogo, akiwaacha wenzake kwenye gari, “kwanza kabisa tumeenda pale maskini hajengi na kukutana na kijana mmoja anaitwa Mahamud Bwengo, yeye ndie alikuwa karibu sana na marehemu, na sasa ndie anaishi kwenye ile nyumba kama mwangalizi, ikiwa ni ombi la wanafamilia, katika maelezo yake ni kwamba, ile mashine ya camara za seculity, ziliharibiwa mara baada ya tukio la kuuwa kwa bwana Vuai, na siku ya pili waligundua kuwa mlango wa nyuma wa nyumba ile ulikuwa umevunjwa, unahisiwa ulivunjwa usiku kabla sisi hatujafika pale, kwahiyo bwana Eric, mpaka hapo ni wazi kuwa aliefanya hivyo ni binadamu wa kawaida kabisa, na sio jini kama tulivyoamini kwa miaka mingi” alisema insp Aroub, ambae nikama kuna kitu alikuwa anategemea kutoka kwangu, “sasa mzee una mpango gani, au ndiyo umesha jiridhisha?” nilimuuliza insp Aroub, ambae alitulia kidogo huku anatazama chini na mikono kiunoni, “hapo ndipo napokwama, sijui kama unaweza kufikiria hatua ambayo ninaweza kuifuata” alisema Aroub, na hapo nikaona kuwa hii ndiyo nafasi ya mimi kumpeleka insp kwenye kutafuta ushahidi, “nadhani uliniambia kuwa yule marehemu wa jana ni mfanyakazi wa kijana wa yule mzee uliekuwa nae kituoni sio?” nilimiuliza insp Aroub, ambae alijibu kwa kukubali, huku ananisikiliza kwa umakini, “basi nenda kwa yule mzee, kisha uombe kuonana na wafanyakazi wengine, halafu umuhoji mmoja baada ya mwingine mpaka umpate aliekuwa nae” nilimueleza insp Aroub, ambae alitabasamu kidogo, “mawazo ya kuwa jini ndie muuwaji yamenifanya kupunguza uwezo wangu wa kufikiri, yaani wazo kama nimeshindwaje kulipata?” aliuliza insp Aroub, ambae pia aliongeza swali, “sasa nitahoji kitu gani ili kubaini ukweli, maana mpaka sasa hatuna uhakika kama marehemu alikuwa ameongozana na mtu” alisema insp Aroub ungesema ni mpelelezi mwanafunzi, ilinishangaza sana, ila mimi sikutaka kuonyesha kama nimeshangazwa na jambo lile, maana ingeonekana nafahamu kuliko yeye, hivyo angenishuku kuwa ni mpelelezi, “kwani lengo ni nini mzee, maana ulipobaini kuwa muuwaji sio jini, sasa unamtafuta muuwaji ni nani, na anafanya haya kwanini, naamini wakati una hoji hoji lazima utampata muuwaji” nilimueleza insp Aroub, ambae muda wote alikuwa ananisikiliza kwa umakini, “nitampata kivipi, kwa sababu ukweli ni kwamba, sisi hatumfahamu ni nani na watu wake wakaribu ni wakina nani” alisema insp Aroub ambae nilimuona kuwa anakichwa kizito sana cha kuelewa, ukweli nisingeweza kumueleza mpango wangu, kwa sababu lengo langu ni kumtumia bila yeye kujuwa, “mzee we fanya hivyo, utakacho kiona au kukisikia kitakusaidia kwenye hatua inayofuata” nilimuambia mzee Aroub, ambae alikuwa ananitazama huku akijaribu kunichunguza kama nilichosema kilikuwa kinatoka akilin au nilikisema bila kufikiria, “kwahiyo ni hilo tu, au kuna cha kuongezea?” aliuliza insp Aroub, huku anaingiza mkono mfuko mwake na kutoa simu yake, kipindi hicho hakukuwa na simu ya tachi kama sasa, “cha kuongeza hakuna, labda tu nikukumbushe kuwa, usisahau kwenda kwa yule mzee kuomba kuonana na wale wafanyakazi wengine, ila sasa mtu kila mmoja utakae kutana nae juu ya jambo hili mueleze kuwa umejuwa kuwa muuwaji ni binadamu wa kawaida na upo mbioni kumbaini” nilimshauri hivyo, na hapo nikaona kama jamaa hajaridhika na ushauri wangu, “anyway tutawasiliana wacha tukaone inakuwaje, halafu nipe namba yako ya simu, maana asubuhi sikuchukuwa ya kwako” alisema insp Aroub, ambae ni kama alikata tamaa kwa kiasi fulani, kwamba alichokitarajia toka kwangu hakufanikiwa, wakati huo alikuwa ananipa simu yake niandike namba yangu, na mimi nilipokea na kuanza kuandika namba, “sawa mzee, ila jitahidi ufanye kama nilivyo kuambia, na usimuamini mtu yoyote, maana muhusika bado hujamfahamu” nilimueleza insp Aroub, huku nampatia simu yake, wakati huo alikuwa anaingia kwenye gari, “ok! nitafanya hivyo” alisema Aroub, huku dereva wao anawasha gari na kuondoka zake, lakini kwa mtazamo wangu wa haraka haraka, jamaa alikubari tu, ila hakuwa na imani na kile nilicho mueleza, ila kwa upande wangu niliona ni wakati wakujiandaa, na endapo atafanya kama nilivyo mueleza basi kazi itakuwa imeingia patamu, nilimsindikiza kwa macho mpaka walipotoweka na mimi nikampigia simu Aisha kumueleza kuwa nimesha kutana na wageni wangu, “ndio maana nakutilia mashaka wewe, unakuwaje na wageni polisi” aliuliza kwa utani Aisha, “unajuwaje, pengine nimefanya makosa” nilimjibu kwa utani pia ili asiweze kuniuliza tulicho ongea na insp Aroub, “haya bwana sasa hauji ofisini?” aliuliza Aisha, “hapana kuna kitu naenda kukifanya nyumbani” nilimjibu Aisha wakati huo natembea kuelekea upande wa madukani, “mh! au Seni umemuacha ndani?” aliuliza Aisha huku anacheka, na mimi nikatumia nafasi hiyo vizuri, “umeishiwa la kusema wewe, unaanza kuongea umbea” nilisema hivyo na kukata simu, kisha nikaendelea na safari kuelekea dukani.
Dakika kumi baadae, nilikuwa naingia Green House nikiwa na chupa mbili za maji mkononi, nilisogelea mlango wa chumba changu na kuufungua kisha nikazama ndani, ambako nilimkuta Jessenia akiwa amejilaza kifudi fudi, (amelalia tumbo) juu ya kitanda, huku mguu mmoja ameukunja, makalio yake yalionekana vizuri na kutamanisha kwa jinsi yalivyotuna ndani ya kijigauni chake chepesi sana alichokuwa amekivaa, hata nilipotazama kwa haraka haraka, nilidhania hakuwa amevaa nguo ya ndani, “umechelewa sana” alisema Jessenia kwa sauti ya kulalamika, huku anajigeuza na kulalia ubavu, “si unajuwa tena mambo ya kazi, lakini hakijaharibika kitu, tuna muda mwingi sana toka saa sita mpaka saa kumi nitakapoenda mazoezini” nilimueleza Jessenia huku naweka chupa za maji mezani, kisha nikaanza kuvua nguo na kubakia na boxer, kisha nikavaa bukta huku Jessenia akitazama na kuona jinsi dudu ilivyo tutumka na kujionyesha ilivyotuna ndani ya bukta, “muda mwingi wa kunifanya nini?” aliuliza Jessenia, huku anacheka kwa aibu, “mi sijui kwani wewe unataka nikufanye nini?” niliuliza ka utani, huku nacheka kidogo, “na mimi sijui?” alisema Jessenia, kwa sauti flani yenye aibu, tofauti na ile ambayo alikuwa anaongea tukiwa mjini chake chake.
Niliwasha computer yangu mpakato, nikaweka filamu kisha nikapanda kitandani, na kukaa nikiegemea ukutani, na hapo ni kama nilimpa nafasi Jessenia, maana alijiinua na kuniegemea kifuani huku tukitazama filamu kwenye ile lap top na wakati huo huo simu yake ikaanza kuita, akaitazama na kuona aliekuwa anapiga ni mjomba wake, ndie aliekuwa anapiga, “vipi mbona hupokei?” nilimuuliza huku napeleka mkono wangu kwenye titi lake na kugusa chuchu yake iliyokuwa ndani ya gauni lake chepesi na kuipekecha pekecha taratibu, “haaa! mtu mwenyewe sijui kuna mtu amemtuma atufuatilie, si amepiga tena simu anasema nirudi nyumbani haraka” alisema Jessenia kwa sauti ya kulalamika….….….. ITAENDELEA
 
KIFO CHA HAWARA (mkono wa jini)
SEHEMU YA HAMSINI NA SITA
MTUNZI: Mbogo EDGAR
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA TANO: Niliwasha computer yangu mpakato, nikaweka filamu kisha nikapanda kitandani, na kukaa nikiegemea ukutani, na hapo ni kama nilimpa nafasi Jessenia, maana alijiinua na kuniegemea kifuani huku tukitazama filamu kwenye ile lap top na wakati huo huo simu yake ikaanza kuita, akaitazama na kuona aliekuwa anapiga ni mjomba wake, ndie aliekuwa anapiga, “vipi mbona hupokei?” nilimuuliza huku napeleka mkono wangu kwenye titi lake na kugusa chuchu yake iliyokuwa ndani ya gauni lake chepesi na kuipekecha pekecha taratibu, “haaa! mtu mwenyewe sijui kuna mtu amemtuma atufuatilie, si amepiga tena simu anasema nirudi nyumbani haraka” alisema Jessenia kwa sauti ya kulalamika….….….. ENDELEA……
Huku anaonekana wazi akisisimka kwa jinsi ninavyo pekecha chuchu zake, sikushtuka kwa maneno ya Jessenia, maana nilisha juwa kuwa lazima yule jamaa tulie muacha wawi, alitoa taarifa ya kwanza na baadae kuambiwa aje huku Green House kuangalia kama Jessenia anaenda shuleni kumuona rafiki yake au anaingia Green house, na huyo ndie anaewasiliana na wakina Ussi na baba yake, “shauri yako atakuchapa, ukirudi” nilisema hivyo huku naendelea kuchezea chuchu nzuri ya Jessenia kwa mkono wa kulia, huku napeleka mkono wa kushoto kwenye shingo yake nyuma karibu na kisogo na kuanza kuchezea nywele zake taratibu eneo hilo la kisogo, na hapo nikamuona Jessenia anajinyonga nyonga kwa msisimko wa mtekenyo, “itakuwa ni mara ya kwanza, hata hivyo naona kama mjomba amenigeuka ghafla, maana alikuwa bega kwa bega na mimi wakati nahangaika kutafuta tiba ya jini, sasa nimefanikiwa na yeye akaonekana kukasirika” alisema Jessenia kwa sauti ya chini ile ile iliyojawa na msisimko, huku akizidi kujilegeza kifuani kwangu, “lakini siku zote mzazi au mlezi hawezi kuacha binti yake atoke na mtu bila kufunga ndoa” nilimueleza Jessenia, kwa sauti tulivu huku naendelea kuchezea chuchu yake na mkono wa kushoto na kuutoa shingoni na kuupeleka chini, ambako niliifunua gauni lake na kulaza kiganja cha mkono wangu juu ya paja lake la kushoto, “sasa kwanini yeye hataki kusikia hata habari ya kuchumbiana?” aliuliza Jessenia, huku akifanya kama anajinyoosha hivi, kwa jinsi alivyokuwa anasikilizia kiganja cha mkono wangu nilichokuwa nakitembeza taratibu kwenye paja lake, “unadhani ni kwanini?” nilimuuliza Jessenia, ambae alitulia kidogo kama vile anawaza jibu, kisha akasema, “tuyaache hayo sidhani kama tutaweza kupata jibu” alisema Jessenia huku anajigeuza upande wangu, wakati huo mkono wangu ulikuwa unasogea eneo la bibi, ambalo lilikuwa limezibwa kidogo na kijitambaa cha nguo ndogo aina ya bikini yenye rangi nyekundu.
Mapaka hapo hatukuwa tunatazama tena movie, tulikuwa tumezama kwenye maongezi na kupapasana, “sawa, ila ni muhimu kufahamu juu ya hilo, si unajuwa kuwa nina muda mfupi hapa Pemba, na nikiondoka nitahitaji kuondoka na wewe kama utaona inafaa” nilimueleza Jessenia huku naendelea kupapasa paja lake karibu kabisa na kitumbua, na wakati mwingine vidole vyenye kimbele mbele vilikuwa vina gusa gusa tuta lililo otesha mti wa tunda la katikati la mwanadada huyu mrembo, ambae alionekana kusisimuliwa kwa kila nilichomfanyia, “iwe itakavyokuwa lakini ukweli siwezi kuacha uende bila mimi” alisema Jessenia huku ana tanua mguu wake wa kulia, nadhani alitaka kunipa nafasi ya kugusa vizuri kitumbua chake, na hapo ndipo nilipopata nafasi ya kuona jinsi mtuno wa kitumbua chake kizuri kilichofunikwa na bikini na kuwa kama ameficha kitumbua cha buku, unajuwa kwanini napenda kuita sehemu hii nyeti kuwa ni kitumbua.
Ilikuwa miaka mingi iliyopita, niliposikia habari ya mschana mmoja wa miaka kumi sita wa huko buyenzi Bujumbura, ambae alishiriki kwa mara ya kwanza katika mfungo wa mwezi mtukufu, siweki bayana kwa dini gani, ila story ni kwamba, siku ya kwanza ya mfungo mschana huyu alivumilia, ila siku ya pili mida ya saa nane uzalendo ulimshinda na kuamua kutembelea jikoni kutazama kama kuna chochote ambacho kilikuwa kime salia, sijui tuite bahati mbaya yake au bahati nzuri yake, maana alikuta vitumbua viwili ambavyo vilibakia kwenye chakula kilicholiwa usiku karibu na alfajiri, hivyo akajinyakulia kimoja kwaajili ya kukazia funga yake, sasa basi ile anataka kuingiza mdomoni akasikia vishindo vya mama yake vinakuja upande wa jikoni, na yeye haraka sana akainua skert yake akikusanyia na chupi yake na kudumbukiza kitumbua kile ndani ya chupi, nacho kwa umbea kilienda kulala juu ya bibi, kisha akatoka jioni akipishana na mama yake, ambae hakumuacha atoke, “hebu njoo unisaidie kumenya mihogo kwaajili ya futari” alisema mama flani, na hapo mscha hakuwa na ujanja, akarudi jikoni na mama akandaa mihogo, nao kwa pamoja wakaanza kumenya, wakiwa wamekaa kwa kutazamana.
Ukweli mschana wetu hakuwa na uwezo wa kukaa vizuri, hasa anapokuwa na wanawake wenzie, ndivyo alivyofanya leo mbele ya mama yake ambae kwa macho yenye kihere here yalipotua kwenye uvungu wa skirt wa binti yake, ambapo akakutana na mtuno usio wa kawaida kwenye eneo la bibi la binti yake, “mh! huyu mtoto amerithi wapi huu mzigo au ana tatizo kwenye sehemu zake?” alijiuliza mama wa mschana, huku anaendelea kutazama kwa umakini mkubwa kule kwa kwa bibi wa binti yake, akaona kuna dalili ya kuwa kumelowa juu ya ule mtuno, hivyo huyu mama aliamua kutulia na kumfuatilia binti yake, kama atakuwa na tatizo fulani, au ndivyo alivyo kwa sasa, lakini mpaka wanamaliza kumenya mihogo, hakuona dalili yoyote ya binti yake kuwa katika maumivu.
Hivyo mama huyu akapanga kumkagua binti yake ili kujiridhisha, ni mara atakapo maliza kuweka mihogo jikoni, hivyo walivyo maliza, kuandaa mihigo yule binti akakimbilia chumbani kwake na kutoa kile kitumbua na kukila chote, kisha akajifuta vizuri kabisa na ile anataka kutoka tu, mama yake huyu hapa, “hebu vua nguo mbona kwa bibi kumetuna hivi au una tatizo?” aliuliza mama wa mschana, huku anamfunua binti yake skirt yake, ambapo akakutana na dalili ya unyevu unyevu kwenye eneo la chupi pale mbele usawa wa bibi, japo hakukuwa na mtuno kama ule wa mwanzo, mama akashtuka kidogo akihisi kuwa binti yake atakuwa na tatizo eneo hilo la mwili, hivyo hakujiuliza mara mbili, akaishika chupi ya binti yake kwap! na kuishusha chini kiasi cha kuacha kwa bibi kukiwa wazi.
Naam macho ya mama wa binti huyu yalikutana na maji maji ya kung’aa juu ya ikulu ya bibi, ule uvimbe haukuwepo, mama akahisi kuwa pengine alichokiona mwanzo hakikuwa sahihi ila pengine binti yake ametoka kunyanduliwa mchana ule, wakati huo binti yake alikuwa anatetemeka kwa dalili ya uoga wa wazi kabisa, mama akapelaka kidole na kugusa gusa yale maji maji, akayaona kama yanataleza ila tofauti na mbegu za kiume, hivyo akaleta karibu na macho yake na kutazama, akaona ni kama vile mafuta, hivyo akasogeza puani kwake na kunusa kama ni yale mambo yetu au ni mafuta kama alivyo yaona, “mpuuzi mi nilidhania umekumbwa na tatizo, kumbe ni kitumbua” alisema yule mama kwa sauti iliyojawa na hasira, njaa ilinishika mama” alisema binti kwa sauti ya kuomboleza, hapo mama akashindwa kujizuia akaangua kicheko cha mwaka, na mchezo ukaishia hapo.
Sasa jinsi basi mtuno wa kitumbua cha Jessenia, ulinikumbusha kisa hicho, na mimi nikalaza kiganja cha mkono kwenye kitumbua cha mschana huyu mwenye kila kitu kizuri, na kutembeza kidogo kama vile na kisugua sugua, hapo nikamuona Jessenia anatanua miguu yote miwili, huku anainua uso wake kuelekeza kwangu, huku amefumba macho na mimi sikusubiri, nikampelekea mdomo wangu kwenye mdomo wake, nae akanidaka juu kwa juu, na kuanza kugombania ulimi wangu kama vile kinda la njiwa, linapata chakula kwa mama yake, sikuacha kupekecha chuchu zake na eneo la kitumbua ambalo bado lilikuwa ndani ya kitambaa cha bikini, nilianzia chini ambako kulikuwa na kitambaa kidogo na kupandisha juu kwenye tuta kubwa mbapo nilipikicha mshavu na kumalizia juu sehemu yenye mboga ya baba, yani kunde, iliyokuwa ime lowa kama chungu cha mlenda, na kurudisha tena chini, nikamuona anainua kiuno chake juu huku anakizungusha taratibu, na kushika shavu langu la kushoto kwa mkono wake wa kulia tukiendelea kubadilishana mate.
Tulifanya hivyo huku kila sekunde akizidi kulegea na kuwa katika hali ya kutamani dudu iende mahali pake, na mimi nikajifanya kama sijaelewa somo, nikaendelea kufanya vile, kuna wakati nilikuwa nina gandisha mkono kwenye kunde, hapo nilimuona anagandisha kiuno juu, “Eric bwana mwenzio nitachelewa nyumbani” alisema Jessnia kwa sauti iliyotokea puani, ikiwa imelegea kwa kuzidiwa, huku anafungua kijikamba cha upande mmoja cha bikini yake, na kuacha wazi sehemu ya kitumbua chake, kisha akaanza kunivuta nije juu yake, na mimi sikuwa mbishi, nikaona huu ndio ule muda wa kulamba lamba kama jibwa, nika jiinua na kujiweka sawa, huku Jessenia anavua gauni lake jepesi na kumalizia kuondoa bikini yake na kujiweka mkao wa kifo cha mende, nadhani hapo unaweza kupata picha mschana huyu alivyokaa yani alilala chali amekunja miguu, akiwa ameitanua kwa nguvu, lakini aliziba na mkono wake.
Hapo nikapeleka mdomo kwenye chuchu ya ziwa la kushoto la Jessenia, ambalo niliiona kwa uwazi kabisa, kisha nikaibana chuchu kwa lips, na kuanza kuichezea chuchu kwa ndani ni kitumia ulimi, hapo Jessenia akashika kwenye mbavu kwa mikono yake miwili yani kushoto na kulia na kunibana kweli kweli, na mimi nikafanya sifa, nikapeleka mkono kwenye kitovu chake juu ya tumbo na kuingiza kidole cha kati kwenye kisima cha kitovu na kuwa kama namtekenya kidogo, nilifanya hivyo kwa sekunde kadhaa, halafu mkono ule ule nikaupandisha kwenye chuchu ya kulia na kuanza kuipekecha huku ya kushoto ikiwa mdomoni, hapo nikamuona Jessenia ambae bado alikuwa amebana mbavu zangu anaanza kunikandamiza kushuka chini, akiwa na maana ya kwamba nishushe dudu kwenye kitumbua,nilishusha kwa mtindo wa kuikwepesha kwa makusudi, ambapo dudu iliyosimama kweli kweli ilikuja na kulala kati kati ya mpasuko wa kitumbua chake, hapo akaachia upande wa kushoto na kuupenyeza kwenye chini, yani usawa wa dudu na kuikatama dudu yangu, kwa lengo la kuielekeza mahali pake, hapo nikajiinua na kujitoa kabisa juu yake huku nikipeleka mkono kwenye kitumbua chake, kilicholowa chapa chapa na kuchezea kikunde chake, nilitumia kidole cha kati kwa kurudia mara kadhaa, nikichezea kwa haraka…..….….….. ITAENDELEA moneytalk
 
ndugu muandishi kuna sehemu za kuishia kati na kuna sehemu inabidi uhakikishe umemaliza kabsa, hapa umefeli 😂😂😂
 
Leo nimerudi kuisoma hii stori, maana niliamua niiache kabisa:
Ila naona msimuliaji ameyatambua makosa yake nina waomba wasommaji wake tumsamehe:
Hakuna binadamu mkamilifu, tumsamehe na tuanze tena mipango ya kumchangia tone tone:
Mimi nitamchangia kesho kwa sharti la ahakikishe anawasiliana na wasomaji wake pale anapo potea:
Yaani pale wanapo mwulizia awe ana wajibu:
Na najua Abou Shaymaa ni mwandishi mzuri sana:
Karibu sana na Abou Shaymaa atafarijika sana baada yakuiona hii comment yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom