Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

Kiswahili kigumu sana kumbe!! Salam hizo za rambirambi ndio kulia kwenyewe! nyie mlitaka abwage michozi?!
 
Huu msiba wa Filikunjomba umeniuma sn ni moja ya mtu mhimu sn kwa taifa letu ingawa alikuwa ccm.. Mungu amlaze mahali pema
 
Sasa title yako na ulichoandika tofauti kabisa, au unataka geuza 'kifo' hiki kuwa mtaji kwa mh. Lowassa?
 
Yaani niliposoma taarifa kuhusu kifo cha Mh. Deo sikuamini macho yangu! Ilibidi nipige simu TZ kuuliza kama ni kweli. Rest in peace Mh. Deo Filikunjombe Mbunge wetu wa Ludewa. Waliomtangulia kuf wakiwa Mbunge wa Ludewa ni Mh. Horace Kolimba na Prof. Dk. Crispin Che-Mponda Hauli. Rest in eternal peace ndugu zangu.
 
Deo pumzika kwa amani you are just a heart beat away from us .. .ipo siku tutaonana tena.. Life is nothing but a flip of an eye
 
Mimi pamoja na mahaba yangu kwa ukawa lakini Filikunjombe namkubali sana..R.I.P kamanda
 
Heading yako na bandiko Mimi hoi.
Labda ni sehemu ya campaign
 
Ole wetu sisi tuliobaki kama tunajitambua opasavyo. Filikunjombe alikuwa jasiri, tumuenzi kwakuishi kwa vitendo zaidi kuliko maneno matupu yasiyovunja mfupa kama waswahili wasemavyo. Mungu amlaze mahali pema peponi... Amin.
 
filikunjombe kifo chake kimeniuma kulko alipokufa baba mzazi. ndo mwanasiasa pekee aliyekuwa ccm kimakosa.

Kweli kabisa mkuu! Hakuwa na alama ya CCM kabisa.Alikua na msimamo sana.
 
Maisha yetu yako mikononi mwa Mungu. Tenda mema kwa ajili ya Bwana
 
Huyu deo ni moja ya wabunge wa ccm waliokuwa wanajiheshimu. Pumzika kwa amani yamebaki manyang'au yanayotukana hovyo
 
Back
Top Bottom