Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

filikunjombe kifo chake kimeniuma kulko alipokufa baba mzazi. ndo mwanasiasa pekee aliyekuwa ccm kimakosa.

Mkuu napata picha either baba yako hakuwa responsible kwako au wewe hujielewi.Kifo cha Mbunge uliyemfahamu si zaidi ya miaka 6 uchungu wake uzidi baba yako aliyekuzaa na kukulea!!ukiwa mdogo baba akitoka unamuomba akirudi.akuletee peremende!!!.Ninachojua knacholeta uchungu ni unapokumbuka moments ukiwa na muhusika.Deo tulimpenda wote ila hisifikie.umkosee mtu aliyekutoa viunoni mwake.
 
filikunjombe kifo chake kimeniuma kulko alipokufa baba mzazi. ndo mwanasiasa pekee aliyekuwa ccm kimakosa.
hebu acha kufuru wewe kiumbe ,sio lazima uandike kila kitu humu vingine mezea tu,babako unamlinganishaje na mtu asiyekujua na wewe unamjulia kwenye luninga na magazeti
 
Kalia wapi. . . .

Msiba wa Deo umeshtua kila mtu hasa wanaemjua kwa welidi na seriousness yake kikazi. Hakuwa mnafiki kwa lolote na kwa yeyote. Huyu ndie ningeweza kumuamini akisema "mimi ni kazi tu!"

Deo ni wabunge adimu sana ndani ya CCM iliyojaa wabunge mapopoma, good for nothing.
 
Deo Filukunjmbe alazwe mahala pema motoni, amewaharibu vijana wengi nguvu kazi ya taifa.
 
Nyie mapipooz mbona mnashangaza kwa kuumia kuliko hata baba zenu! Vipi kuna ajenda gani hapa?
 
Filikunjombe amekufa kifo kibaya sana na inatia simanzi,, yaan ni katka ya mbuga na hlkopta ni jivu
 
hebu acha kufuru wewe kiumbe ,sio lazima uandike kila kitu humu vingine mezea tu,babako unamlinganishaje na mtu asiyekujua na wewe unamjulia kwenye luninga na magazeti

Inaweza isiwe kufuru

Huwezi kujua uhusiano kati yake na babake ukoje...

Some parents are good for nothing na hata wakifa hu-feel ile pinch ya maumivu ya close attachment.

So usikimbilie kum-judge hujafahamu uhusiano uliopo kati yake na babake
 
Ubaya hatuchagui nani afe nani abaki, hatuchagui
 
kila nikiikumbuka escrow,alivyowakandamiza akina mhongo mle bungeni,,kweli malipo huwa ni hapa hapa duniani,,,rip
 
Hata kifo hiki kimeniuma poleni wafiwa wote
 
Ubaya hatuchagui nani afe nani abaki, hatuchagui

Kwa kweli pangekuwa na hiyo option tungebatilisha hili suala.Ccm ilikuwa na hazina kubwa saaana ya watu wa Ku RIP lkn cyo DEO jamani.But RIP Brother DEO we are with you in this National changes we are facing.
 
Kumbuka huyu huyu alimuwekea pingamizi mgombea wa upinzani pamoja ma uzuri wake kwanini asingeacha wachague mshindi?
Kila mtu ana umuhimu kwa njia moja ama nyingine....
 
Back
Top Bottom