Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

bangi hatari sana,wakati analia ulikua pembeni yake unamfariji,mambo ya nyoso hayo.
 
Wanaomtuhumu lowasa kuhusuka na kifo hiki mungu wasamehe bure hawajui watendalo. Ni dakika kama tano nilikuwa na mzee mmoja msomi kada wa ccm katamka eti lowasa anahusika nimemshangaa sana nikamwambia mungu akusamehe kwa hukumu iyo.

Jamani mwaka huu kila jambo baya ni Lowassa? Haya tuendelee kusugua magoti mbele za bwana.
 
Mkuu napata picha either baba yako hakuwa responsible kwako au wewe hujielewi.Kifo cha Mbunge uliyemfahamu si zaidi ya miaka 6 uchungu wake uzidi baba yako aliyekuzaa na kukulea!!ukiwa mdogo baba akitoka unamuomba akirudi.akuletee peremende!!!.Ninachojua knacholeta uchungu ni unapokumbuka moments ukiwa na muhusika.Deo tulimpenda wote ila hisifikie.umkosee mtu aliyekutoa viunoni mwake.

Hao ndiyo mashabiki mkuu...huwa hawana maisha hao, wanaishi kulingana na upepo.
 
Muombe msamaha Mola wako kasha muombee Dua Njema baba yako .... Si bure laana ya mzazi inakuandama
filikunjombe kifo chake kimeniuma kulko alipokufa baba mzazi. ndo mwanasiasa pekee aliyekuwa ccm kimakosa.
 
filikunjombe kifo chake kimeniuma kulko alipokufa baba mzazi. ndo mwanasiasa pekee aliyekuwa ccm kimakosa.

Kifo cha Deo ni pigo kubwa kwa wazalendo wote wa nchi hii.

Lakini kuwepo kwake CCM haikuwa kimakosa. Deo alikuwa mweledi, jasiri na mwenye msimamo.
Alijua anachokifanya na ametimiza wajibu wake kwa taifa akiwa mwana ccm. Wengi wetu hapa jukwaani mbali na itikadi tofauti za kisiasa tunalifahamu hilo.

Maisha ya Deo ni uthibitisho kuwa hao wanaoshindwa kulitumikia Taifa kwa uzalendo huko ccm ni wahalifu, walafi na wahaini. Wanastahili kushikishwa adabu.
 
kilichobaki ni kuwaombea hao waliotangulia mbele ya haki.pia muelewe m/mungu anamakusud yake
 
basi kufa wewe ili deo arudi make haikuwa nafasi yake kufa bali ilikuwa nafasi yako

Tatizo watu wanaona wenzao wana haki ya kuishi milele na wengine hawastahili ishi. Yeye ni mtu kama watu wengine muda wake ulifika ndo maana imetokea, hakuna sijui tutakumiss wala sijui kukumbuka... zaidi nafasi yake itazibwa ma wengine...
 
filikunjombe kifo chake kimeniuma kulko alipokufa baba mzazi. ndo mwanasiasa pekee aliyekuwa ccm kimakosa.

Hii inaonyesha ni kwa jinsi gani hujitambui na Hujui thanani ya baba pole sana na Mungu akusamehe.
 
Hii inaonyesha ni kwa jinsi gani hujitambui na Hujui thanani ya baba pole sana na Mungu akusamehe.
umekariri. fikiri nje ya box. fikiri zaid ya vile unavyokaririshwa iwe kwa elimu dunia au elimu ahera. jitahid kukusanya mazingira ya aina zote kabla hujahukum. usilazimishe wewe kuwa S.I. unit ya maisha na mahusiano
 
Pole sana Rais wetu Lowassa, oktoba 25 tutakufuta machozi yako kwa kura zetu zote.
 
Back
Top Bottom