Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

kila nikiikumbuka escrow,alivyowakandamiza akina mhongo mle bungeni,,kweli malipo huwa ni hapa hapa duniani,,,rip

Natamani TCRA na vyombo vingine vya uchunguzi wapitie hii comment yako!
 
Mkuu napata picha either baba yako hakuwa responsible kwako au wewe hujielewi.Kifo cha Mbunge uliyemfahamu si zaidi ya miaka 6 uchungu wake uzidi baba yako aliyekuzaa na kukulea!!ukiwa mdogo baba akitoka unamuomba akirudi.akuletee peremende!!!.Ninachojua knacholeta uchungu ni unapokumbuka moments ukiwa na muhusika.Deo tulimpenda wote ila hisifikie.umkosee mtu aliyekutoa viunoni mwake.

Sasa kama anachokisema ni kweli utamkatazaje?
 
Wanaomtuhumu lowasa kuhusuka na kifo hiki mungu wasamehe bure hawajui watendalo. Ni dakika kama tano nilikuwa na mzee mmoja msomi kada wa ccm katamka eti lowasa anahusika nimemshangaa sana nikamwambia mungu akusamehe kwa hukumu iyo.
 
Nimeumia Sana'a Deo bungen alikuwa kama chama cha upinzani. Sio kama chenge wasiraa kusinzia bungeni bila kumsahau liatonga. Sote njia ni moja ni kutengeneza na Mungu kila wakati.
 
ukweli deo amefariki mengine ni ziada

Deo kweli umetutoka ghafla sana. Mm nimesikitishwa sana na huyu mpambanaji alikuwa ccm lkn alikuwa anawspa vidonge vyao bila ya kupepesa macho. R.I.P Deo.
 
Mkuu napata picha either baba yako hakuwa responsible kwako au wewe hujielewi.Kifo cha Mbunge uliyemfahamu si zaidi ya miaka 6 uchungu wake uzidi baba yako aliyekuzaa na kukulea!!ukiwa mdogo baba akitoka unamuomba akirudi.akuletee peremende!!!.Ninachojua knacholeta uchungu ni unapokumbuka moments ukiwa na muhusika.Deo tulimpenda wote ila hisifikie.umkosee mtu aliyekutoa viunoni mwake.

Inauma sn jmn Deo uuuuuuwi uuuuwiii Deo eeeeeeee
 
Back
Top Bottom