Poleni sana wafiwa ni kifo cha kushitukizwa sana. Lakini mimi nauliza ilikiuwaje aruke ukuta mbona hawasemi? Ina maana hamna mtu anayejua kwanini aliruka ukuta mpaka sasa au wamefanya siri? Kwani hata mkewe lazima angesema chochote.
RIP Masanja mara ya mwisho tulikuwa wote pale Kili Times, three years ago, bwana ametoa, bwana ametoa, Jina la bwana lihimidiwe!
labda kwa wale majirani zake kma mimi nampa pole huyu mama...ameteseka sana na mh sana masanja...mama amekalishwa vikao vya ususluhisho mpaka akachoka..baya zaidi lilikuwa ni kitendo cha kurudi ss saba nane ama asbh..lingine sijui nitaliitaje anarudishwa usiku na mwanamke huku mkewe akimfungulia...akiulizwa anajibu mfanyakazi mwenzangu...wenye ndoa kazi ipo....mkewe akachoka na kuapa kutomfungulia kamwe...hapo ndipo kasheshe ikaanza akaanza kuweka matofali ndani na nje ili aweze kuingi...inasikitisha zoez hilo lilikuwa linamsaidia tu kuingia ndani ya kuita na kulala nje mpaka asbh huku mkewe akisubiri kichapo cha nguvu...ple mama masanja ndio ukkubwa kuna kipindi ili MUNGU AKUWEKE KILELENI ANAITAJI KUKUPITISHA KWENYE MAPITO NA HAPO UNAPOFANIKIWA MWANGA WA MAISHA YAKO UNAANZA KUCHANUA....POLEN WAFIWA POLEN WANAMICHEZO...NAOMBA WALE WENYE NDOA NA KURUDI USIKU IWE FUNDISHO NA ELIMU JITAHIDINI KULINDA NDOA ZENU...KAMA MAMA MASANJA
kama nilivyosema maswali ni mengi kuliko majibu kwa kweli inasikitisha sana.
Ila nionavyo mimi, inawezekana alikuwa ana tabia hiyo ya kurudi usiku na may be washaongea na mamaa lakini hakuacha, so possibly mkewe alikuwa keshachoka kuamshwa uskiku wa manane kufungua geti, au inawezekana alimuamsha sana mama kanogewa na usingizi hakusikia akaamua kufanya shoti cut. Pia inawezekana kulikuwa na misunderstanding hapo za siku nyingi, esp kama mke ajue labda anatokaga kwa nyumba ndogo. Najaribu kufikiria mengi sana sipati jibu. Zaidi namhurumia sana huyo mkewe maana na familia zetu za kiafrika am sure hadi sasa kila mtu anamnyooshea kidole. ooh hili ni fundisho kubwa sana kwa wanandoa i guess.
...kweli kabisa usemayo nyamayao,...angalia hii picha (kwa hisani ya Issa Michuzi blog) matofali yamepangwa kwa mpangilio wa ngazi,... na majani yaliyootea pembeni si ya jana wala leo...
Tabia mbaya sana kina mama kutowafungulia milango waume zenu! (sio wewe nyamayao, usijenimeza buree... 🙂)
Wewe masanilo wewe! Sema tu unachotaka kusema. Is it the kili time i used to know those days. Yaani pale pale shekilango au?
Nitakupenda wakati wa raha, tabu na Shidalabda kwa wale majirani zake kma mimi nampa pole huyu mama...ameteseka sana na mh sana masanja...
Enyi waume wapendeni wake zenu, nanyi wake watiini waume zenumama amekalishwa vikao vya ususluhisho mpaka akachoka..
mmmmh chukulianeni mizigo kwa Upole, kwa maana tunda la roho ni upole, utu wema, Fadhira, .....baya zaidi lilikuwa ni kitendo cha kurudi ss saba nane ama asbh.
lingine sijui nitaliitaje anarudishwa usiku na mwanamke huku mkewe akimfungulia...
Imeandikwa usizini, lakini nawaambia amtazamaye mwanamke kwa jicho la kumtamani amesha zini naye moyoniakiulizwa anajibu mfanyakazi mwenzangu...wenye ndoa kazi ipo.
Atakaye vumilia mpaka mwisho huyo ndiye atakayeokolewa...mkewe akachoka na kuapa kutomfungulia kamwe...
hapo ndipo kasheshe ikaanza akaanza kuweka matofali ndani na nje ili aweze kuingia...inasikitisha zoezi hilo lilikuwa linamsaidia tu kuingia ndani ya ukuta na kulala nje mpaka asubuhi huku mkewe akisubiri kichapo cha nguvu...pole mama masanja ndio ukkubwa kuna kipindi ili