Kifo cha CCM kimetimia

Maisha kwa sasa yamepanda sana wanaokula rushwa na kulipwa ushuru pale lumumba hawataweza kujua hili maana wanalipwa kwa kodi zetu. Umeme umepanda tena kwa asilimia kubwa mno (66 %). Tunatakiwa kulipia card za simu. Maisha kila kona yamepanda nyie wenzangu mnakuja hapa JF eti ccm imefanya makubwa. Kwa mali asili tulizonazo hatuhitaji kupata shida yoyote. Tuungane tumwondoe huyu mkoloni mweusi


well spoken mkuu. ni ukweli mtupu. hali zetu ni mbaya sana chini ya usimamizi na ufanikishaji wa ccm. real mbaya wetu ni ccm. na raha ya kumjua mbaya wako ni 2015 lazima tumchinjie baharini
 
Nimegundua kwa nini website nyingine zinasema jf ni pro-chadema,,,
badala ya watu ku post threads zenye kukomboa jamii kifikra mna post upuuzi kama huo,mnakesha kugombana na watu mnaodai ni buku saba fc,sikatai ila haina mantiki kwani hiyo ni siasa uchwara,,,nawashauri nyie CDM na wenzenu wa magamba m post vitu vya kiukombozi na kuleta majibishano yenye tija katika maendeleo na ukombozi wa taifa
 
Ni kweli, chama kimetufikisha mahala pabaya sana katika hii nchi, akistahili tena kupewa tena nafasi ya kuongoza nchi kutoka na maafa wanayosababisha kwetu sisi na hata kizazi kinacho kuja. Ni mda wao wa kutoka madarakanai
 
Ndugu zangu watanzania jana nikiwa safari toka arusha kuja dodoma nilishuhudia karibu kila kijiji bendela za chedema isipokuwa mpakani mwa mkoa wa tanga na pwani nyumba moja tu ilikuwa inapepea bendela ya ccm lakini kwa uzoefu wangu kwa vyovyote ile nyumba inauzwa bangi au gongo maeneo mengi ya hivyo ujilinda kwa kuweka bendela ya cha tawala ili polisi wasiende ni hayo ndungu zangu.
 
Nimegundua kwa nini website nyingine zinasema jf ni pro-chadema,,,
badala ya watu ku post threads zenye kukomboa jamii kifikra mna post upuuzi kama huo,mnakesha kugombana na watu mnaodai ni buku saba fc,sikatai ila haina mantiki kwani hiyo ni siasa uchwara,,,nawashauri nyie CDM na wenzenu wa magamba m post vitu vya kiukombozi na kuleta majibishano yenye tija katika maendeleo na ukombozi wa taifa

Wew kichwa chako kina maji badala ya ubongo sasa waliyofanya ccm hayo hapo mazur kwako
 
Kwa mwenye macho haambiwi tazama,,,,,, hata aliye pata ziro katika shule za kata anajua ccm ina chuja,,,,,,,,,, kimekuwa kama mwana ume aliyefulia anayehangaika kunyoosha nguo zake kuukuu aonekane smart,,,,,, sio siri kuna shida,,,,,, kinachokera badala ya kutafuta majembe ya kukihuisha chama,wanaletwa vilaza wa siasa kina mwigulu: kwa ninavyo mtambua mwigulu zaidi ya siasa za shari kingine anachokijua ni kufaulu darasani tu.... Simaanishi mwigulu atoke ccm,,,hasha kwani ataenda wapi kwa siasa za sasa?bali watu wa aina hii watuachie chama chetu tawala ili kirejeshe heshima kwa kuachia nyaraka wanazo pwaya;
 
Baada ya ushindi wa kata nne chadema arusha.nimebahatika kukutana na m/kiti wa ccm wilaya dr soileli na kukiri ccm arusha haipo tena.akiongea kwa uzuni anaonyesha kukata tamaa kabisa.nikamuuliza swali la kizushi nasikia sombetini imetangazwa vp mtashiriki kugombea akasema ni lazima lkn kushinda ni ndoto.
 
olevaroya; Ni vema amenena ukweli na siyo Arushwa pekee, CCM ni chama kinachokimbiwa na raia wema nchi nzima!
 
Last edited by a moderator:
baada ya ushindi wa kata nne chadema arusha.nimebahatika kukutana na m/kiti wa ccm wilaya dr soileli na kukiri ccm arusha haipo tena.akiongea kwa uzuni anaonyesha kukata tamaa kabisa.nikamuuliza swali la kizushi nasikia sombetini imetangazwa vp mtashiriki kugombea akasema ni lazima lkn kushinda ni ndoto.

ccm weka mbali na watoto
 
kwa mwenye macho haambiwi tazama,,,,,, hata aliye pata ziro katika shule za kata anajua ccm ina chuja,,,,,,,,,, kimekuwa kama mwana ume aliyefulia anayehangaika kunyoosha nguo zake kuukuu aonekane smart,,,,,, sio siri kuna shida,,,,,, kinachokera badala ya kutafuta majembe ya kukihuisha chama,wanaletwa vilaza wa siasa kina mwigulu: Kwa ninavyo mtambua mwigulu zaidi ya siasa za shari kingine anachokijua ni kufaulu darasani tu.... Simaanishi mwigulu atoke ccm,,,hasha kwani ataenda wapi kwa siasa za sasa?bali watu wa aina hii watuachie chama chetu tawala ili kirejeshe heshima kwa kuachia nyaraka wanazo pwaya;
ccm kwishiney
 
Ndugu zangu watanzania jana nikiwa safari toka arusha kuja dodoma nilishuhudia karibu kila kijiji bendela za chedema isipokuwa mpakani mwa mkoa wa tanga na pwani nyumba moja tu ilikuwa inapepea bendela ya ccm lakini kwa uzoefu wangu kwa vyovyote ile nyumba inauzwa bangi au gongo maeneo mengi ya hivyo ujilinda kwa kuweka bendela ya cha tawala ili polisi wasiende ni hayo ndungu zangu.
Kwa kwa kwa kwa kwa
 
Back in the days nilikuwa mmoja kati ya wale vijana naive tuliodhani JK akiwa Rais atakuwa poa sana,Kwamba atakomesha ufisadi na atawafanya Watanzania waishi maisha mazuri sana.Nakumbuka kipindi hiko nilikuwa Sekondari.Mchakato wa kwanza wa kumpata mgombea Urais kupitia CCM Kikwete na Jamaa yake Lowassa walichinjiwa baharini na Nyerere na Ugombea Urais akapewa Mkapa.Nakumbuka vijana wengi tulichukia sana kwa kuamini kuwa JK alionewa.Mchakato wa kumpata Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ukafanyika tena 2005 safari hii nikiwa nje ya Nchi.Mchujo wa Wagombea ukaendelea mpaka walipobakia watatu yaani Kikwete,Mwandosya na Dr Salim kama sikosei.Nikiwa nimekaa na Professor mmoja aitwaye Mshigeni nikamuambia kwa shauku kwamba nitafurahi sana Kikwete akiwa Rais kwasababu ni Mkali kwa Mafisadi.Yule Professor alicheka sana kisha akaniambia JK hafai kuwa Rais kwasababu ni mlaini na mafisadi watakuwa wanamchezea tu watakavyo.Na kweli Kikwete akapata Urais kwa ushindi wa 80% lakini baada ya hapo mambo yakaanza kuharibika.
 
Salamu wanajamvi,
Kwa hali ilivyo sasa kwa ccm ni mbaya...inafanana na mlevi wa mataputapu ambae hajitambui na hajui afanye nini wapi na kwa wakati gani.Hii nafananisha na mlevi kwani kauli za serikali za ccm juu ya tozo ya SimCard kwa mwezi ni sawa na mlevi wa mataputapu.Kumekuwa na mgongano wa maoni kati ya ccm kupitia Nape,serikali kupitia Naibu waziri na waziri wa syansi na teknolojia,waziri wa fedha.Migongano hii ya mawazo juu ya tozo ya sh.1000/= kwa mwezi ni dhahiri kuw chama hiki hakina direction na kimegawanyika.Ccm imekosa uhalali wa kutawala nchi kama sio kuongoza,siwezi kusema kuwa ccm wanaongoza bali wanatawala ndio maana wamekosa vision.Tozo hili la SimCard ni baraka toka kwa Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm na pia nmwenyekiti wa BLM,na muswaada wa sheria ya tozo hili umepitisha na rais kuwa sheria.
Sasa,nashangaa kumsikia Nape na Januari makamba wakipinga ,huu ni unafiki na hii isiwe turufu ya kutafutia huruma kwa jamii.Ccm na viongozi wote wa ccm pamoja na wabunge wote wa ccm ni WANAFIKI,HAWAKO KWA AJILI YA KUMUKOMBOA MTANZANIA KUTOKA KWENYE JANGA LA UMASKINI ULIOASISIWA NA CCM BADALA YAKE NI KUUIMARISHA NA KUUKUZA UMASKINI.Hizi ni dalili zakukosa mwelekeo na sifa ya kutawala.
Naomba nitoe dalili za chama na viongozi waliokosa vision,hii inamaanisha udhaifu wa chama na viongozi wake,dalili zake ni hizi.
1.Viongozi na chama hushughulikia matokeo ya tatizo na sio chanzo cha tatizo,ndio maana matatizo ya ugaidi yanazidi kulitesa taifa.
2.Hutumia dola zaidi kukandamiza haki za binadamu kama mahakama na jeshi la Polisi.Pia,hutumia mbinu chafu za kudhibiti upinzani.
3.viongozi wandamizi wa chama na serikali hukosa ile common agreement katika suala linalogusa maslahi ya umma.mfano wakati wa hoja ya kwamba bunge lioneshwe live au lisioneshwe,tozo ya kodi ya simcard,nk.
4.viongozi wake huwa ni wa kulalamika/kulalamikiana pale tatizo linapotokea.mfano tatizo la udini nchini...tulishuhudia rais analalamika juu ya chanzo wa tatizo hili,umaskini nk.Na kulalamika ni dalili za kushindwa.
Ccm wamekosa sifa ya kutawala,viongozi wake ni watuhumiwa wa ufisadi,rushwa,EPA,Richmond,ujangili,uuzaji wa madawa ya kulevya,chanzo cha umaskini,uuaji,chanzo cha udini,ugaidi nk.Na huwezi kutatua tatizo kama wewe ni sehemu ya tatizo,ccm isipoondolewa madarakani tatizo la udini,rushwa,ugaidi,umaskini,uuaji,ujangili na mengine hayawezi kuisha kamwe since ccm leaders and government are the part of the problem.Albert Einsteim aliwa hi kusema"problem can not be solved by the same level of thinking that created them" serikali ya ccm imeshindwa kuwa na vyanzo vingine vya mapato imekuwa utamaduni wa kila mwaka vyanzo vya mapato kuwa sigara,pombe na vinywaji na hatimaye kadi ya simu,huu ni ushahidi wa kukosa vision na direction,huwezi kuendelea kiuchumi kwa vyanzo hivi vya mapato,pia namnukuu Albert aliwa kusema"insanity doing the same thing ever and ever again expecting different results".hiki ndicho serikali ya ccm inachokifanya.
Serikali ya ccm na viongozi wake wote ni janga la kitaifa.Ya kwangu maoni.
 
Back
Top Bottom