Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

BIG RESULTS???? Hawa jamaa ni wazuri sana wakuja ni vi misemo lakini utekelezaji wa misemo vyao ni sifuri. Hizo big results zilikuwa wapi kwa kipindi cha miaka hamsini. au ndo BIG RESULTS ZA KUTUFILISI NA KUTUIBIA ZAIDI?

acha fitina, ina maendele huyaoni, umezibwa macho na matusi ya CHADEMA.
 
Zaidi ya kujisifu wawekezaji wawekezaji hawana lolote hakuna cha Big result now,wala,kilimo kwanza,wala elimu nambari moja, maneno maneno maneno tu mpaka lini maendeleo kwa CCM ni sawa na mbingu na ardhi hata kuweka miji safi tu kutengeneza mfumo wa maji taka mijini ni ndoto za abunuasi

Kaka,we bado unamatumaini chini ccm tutaendelea! hazina ni Nape,Mwigulu,Jerry,January,Riziwani,na mambulula ya viongozi wengine?
 
Ndoto zenu hizo..,endeleeni kulala ili muote zaidi

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nina kila sababu ya kusema kuwa ccm mwisho wao uko karibu sana.Nikiangalia historia ya viongozi wandamizi wa ccm sijawahi kukutana na vijana kama akina Nchemba na Nape,japo kuna wazee wengine hawajitambui kama wassira,Lukuvi nk nadiriki kusema huu ndio mwisho wa ccm na serikali yake. Sababu ni hizi
1.urafiki ktk uongozi.Huwezi kumkana wala kumwajibisha rafiki yako. Anaweza kufanya lolote bila kumchukulia hatua.mfano tunajua fika kuwa Membe ni swaiba au ndg yke Jk ile kauli ya maadui 11 inatekelezeka sawa kwa upande wake na kinyume kwa wananchi.na kauli zingine za kinyama mfano ya Pinda liwalo na liwe..,wapigeni tu,ya wassira kibanda ni nani..ya Nape mimi sio mchaga..ya mwigulu msipoichagua ccm mtakufa..,ya kova tukio la ulimboka ni siri ya taifa.ccm kumbukeni kuwa kauli zinanguvu kuliko hata vitendo na kila kitu kilichopo kiwe kizuri au kibaya chanzo chake ni kauli.Huwezi kuweka watu kama Nape,mwigulu,wassira nk wawe brand ya chama,hawa watu hawawezi kuuza brand ya chama fukuzeni hawa.
Urafiki pia umechangia kushindwa kuchukua maamuzi juu ya ufisadi,rushwa,mauaji,utesaji watu,unyanyasaji wa raia,wauzaji wa madawa ya kulevya nk.Hili ni anguko,na mkianguka hamuinuki tena.
2.Ahadi za uongo.Kila awamu ya uchaguzi mnakuja na kauli mbiu mpya ooh maisha bora kwa kila mtanzania,leo hii iko wapi? Maisha magumu zaid kwa kila mtanzania ndicho kilichopo,leo hii mnaona aibu hata kusema majukwaani.kila siku gharama za maisha zinapanda,bei ya vyakula juu,nauli juu,pembejeo juu au maisha bora ndio haya ya vitu kuwa na bei kubwa? Hivi sasa mmekuja na kodi ya simcard tsh 1000 kwa mwaka,huyu mtu maskini ambaye kipato chake ni cha chini mnamsaidiaje,hata kama mtapandisha bei ya mazao kama gharama ya vitu inapanda haisidii.Hili ni anguko la ccm.
Hitimisho:mwigulu na wengine wanaofanana nae wafukuzwe kwenye uongozi,ccm watimize ahadi zao,wasihangaike na upinzani(chadema), kazi ya upinzani ni kukosoa na sio kusifia.Kama sisiemu mtatimiza ahadi zenu ni nani atawakosoa? Rais Kikwete alitoa ahadi kibao,leo hii hakuna kilichofanyika,wekeni mikakati ya kutoa ahadi mnazoweza kuzitekeleza sio kuropoka tu majukwaani.
 
Ukombozi wa fikra : twahitaji vitendo zaidi.

Mi niko tayari kufa kutetea na kulinda rasilmali za taifa hili kwani kufa ni haki yangu haijalishi napigwa risasi,kufungwa kifungo cha maisha...zaidi ya yote kufa ni lazima.VIJANA TZ TUMELALA SANA
 


wabunge wenyewe kina wenje , lisu , lema & other classless politicians kina SUGU etcl CDM kuchukua nchi watanzania itakuwa ni kama tume JUMP from the oven into the frying pan na kamwe haitakuja kutokea ... tunapenda sana nchi yetu tanzania bila udini na ukanda inawezekana... simply tusichague chadema


Naamini hao hao unaojifanya huwaelewi ila wanawasumbua kishenz mpaka mnakosa usingiz mara china mara mbinu na siasa chafu na unalielewa hilo.......! Let me remind u kwa mfumo ule wa Ndioooooooo....! Tusinge fika hapa tulipo sasa kwani kupitia haohao kina Lissu, Mnyika, na wengineo (hasa CDM na wapinzani wote bungei ) upuuzi wenu karibu wote wameufichua na mengine mnajikanyaga wenyewe juu ya kiwewe mlokuwa nacho.... Na baado!
 
Nasema kibovu kwa kuwa kimekuwa kikiongoza nchi kwa misingi ya ubaguzi,unyanyasaji na ukandanizaji wa demokrasia,kwa kuzusha propaganda kwa vyama vingine vya kisiasa nchini.This is explict double standard! Mfano
Mosi, mwaka 2012 wakati wa sensa serikali ilikataza vyama vya siasa kuendelea na mikutano ikiwemo chadema,kwa misingi ya kwamba vitaharibu zoezi la sensa,ilihali ni mkutano iliyokuwa na kibali cha jeshi la polisi.Cha kushangaza zaidi wakati wanakataza vyama vingine kufanya mikutano wakati huo huo ccm ilikuwa inafanya mikutano huko Zanzibar.This double standard!
Pili,kulaani kitendo cha kamati kuu ya chadema kutoa kauli juu ya uimarishaji wa Red Guard kimafunzo wakati huo huo ccm wakiendelea kutoa mafunzo kwa Green Guard! This is pure double standard! Huu ni ukandamizaji,unynyasaji na ubabe kwa kuwa wao ndio wenye dola.
Tatu,kuzidi kulaani kauli za viongozi wa vyama vingine,wakati viongozi wa ccm wakitumia kauli za kichochezi na zenye kuruhusu mauaji na kupelekea mauaji mfano kauli ya Pinda wapigeni tu..maana tumechoka,kauli ya Mwigulu ya kwamba watu wa Arusha msipoichagua mtakufa.This is double standard! Kauli ya Mwigulu angesema kiongozi wa upinzani sijui ingekuaje.
Nne,mlipuko wa bomu Arusha.Kitendo cha serikali kushindwa kutoa pole na kuahirisha kazi za kibunge kwa kuwa tu ulikuwa mkutano wa chadema,wakati huo huo kuna watu waliojeruhiwa na kuawawa,mbona majanga kama hayo serikali huahirisha shughuli za kibunge pia hutoa pole, iweje wasifanye hivyo kwa watu walikufa na kujeruhiwa na mlipuko wa bomu?This is pure double standard.
Ccm mmekosa hulali wa kutawala na kuongoza nchi.Mmefanya mabaya mangapi yakiwemo rushwa,ufisadi,matumizi mabaya ya madaraka,mauaji,unyanyasaji,uonevu...wananchi tumechoka,nitatumia uwezo wangu,elimu yangu na maarifa yangu kuhakikisha kuwa wananchi wa eneo langu wanachagua CHADEMA mwaka 2014 na 2015 'kuanzia balozi hadi rais...kwa maana tumechoka na upuuzi huu wa ccm.Naamini nitafanikiwa,RIP ccm......peopleeesssss!
 
Hakuna kitakachoiokoa ccm ,Labda walete vita ,ccm imechoka imeparaganyika viongozi wale wamechoka wameparaganyika, serikali imechoka imeparaganyika, TISS imechoka imeparaganyika, kila mtu na lwake macho yamewatoka kodo kwenye kila penye harufu ya pesa, maslahi binafsi yamewekwa mbele
Kujuana ulozi rushwa wizi uzandiki uongo ndio lugha yao kuu, Yani huwezi kujua nani anasema nini, nani anamuongoza yupi,!! Imebaki kuviziana kila anayepinga jambo kwa maslahi ya nchi anaambiwa katumwa au anatumiwa na wasioitakia mwema ccm!! What a rubbish.....!!!
Angalia sasa ni ujambazi kila kuona ya nchi, ni uharamia wanyama wetu wanateketea, ni madawa ya kulevya vijana wetu wanakwisha, mamlaka hazina habari Zimebaki kushabikia na kuilinda ccm ili tu ibaki madarakani kwa mbinguni zozote zile
Mipango yote sasa na nguvu kubwa inayotumika si kwa ajili ya maendeleo ya nchi bali kuididimiza CDM chama chenye tumaini jipya kwa wazalendo wanyonge wa nchi hii
Ma--------- wameshika hatamu uchumi wanaumiliki wao tenda kubwa zote ni za kwao, wameuwa viwanda vyetu wamevigeuza magodown ya kujaza Bidhaa feki toka india china na arabuni nawachukia nawachukia nawachukia, hawa ndio walinzi na wafadhili wakuu wa ccm ndio wapangaji wa mbinguni zote chafu wako radhi kufanya lolote ili ccm ibaki madarakani, kwao ccm ikiwa madarakani watakuwa peponi kama walivyo sasa
Usiombe upate kesi na mdosi au mchina au mwarabu halafu ukamchukulie rb nasema usiombe ndio utajua kuwa nchi imeuzwa kitambo
Nawachukia wahindi nawachukia waarabu nawachukia waxhina nawachukia wazungu naichukia CCM
 
Chumvi ikipoteza ladha utaifanya nini hadi irudi kwenye asili yake? Ni kuitupa na kuiacha ikanyagwekanyagwe. Ndivyo ilivyo CCM kwa sasa.Imepoteza ladha na hakuna njia ya kuikumbatia zaidi ya kuikataa.Chadema ni chumvi ambayo haina madini joto lakini bado ina ladha, kinachotakiwa ni kuiboresha kwa kuiwekea madini joto ili iwe na afya bora kwa taifa.Tusaidiane kuiboresha cdm kwa maendeleo ya taifa.
 
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAREHEMU CCM. WASIFU WA MAREHEMU : Marehemu alizaliwa 05/02/77.
Atazikwa 25/10/2015.Enzi za uhai wake marehemu alijishughulisha na kuua mazao ya biashara: Kama vile pamba, tumbaku, kahawa, korosho, katani nk.
Marehem pia atakumbukwa kwa bidii ya kutaifisha na kuua viwanda & makampuni ya umma na vyama vya wakulima. Atakumbukwa kwa ufisadi na ubadhirifu wa fedha na kodi za umma.
Pia amewaleta na kuwapa wageni mali za wa TZ. Marehemu ameacha wachina kariakoo, waarabu Loliondo, makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye migodi.
CHANZO CHA UMAUTI wake ni GESI YA MTWARA
 
Mkuu laiti watanzania wote na wanaopewa hela Lumumba wangejua ccm wameshatufikisha pabaya wangesalimu amri na kusema sasa yatosha tunahitaji uhuru. CCM imeuza nchi kitambo mno ila watz wenzangu hasa wale wanaokuja hapa JF na kuitetea CCM ndo tunaendelea kuipalilia ccm iendelee kuchukua mali zote sisi tunabaki kutaabika. Tuamke ccm imeweka nchi hii rehani huko china, maliasili zetu zimegawiwa kwa waraabu, wazungu na wachina.
 
Maisha kwa sasa yamepanda sana wanaokula rushwa na kulipwa ushuru pale lumumba hawataweza kujua hili maana wanalipwa kwa kodi zetu. Umeme umepanda tena kwa asilimia kubwa mno (66 %). Tunatakiwa kulipia card za simu. Maisha kila kona yamepanda nyie wenzangu mnakuja hapa JF eti ccm imefanya makubwa. Kwa mali asili tulizonazo hatuhitaji kupata shida yoyote. Tuungane tumwondoe huyu mkoloni mweusi
 
Ukitaka kujua ccm ni mafisadi angalia walivyo changanyikiwa wakijua wananchi wengi wamechoshwa hawataki hata kukisikia ccm wanakimbizana kila kukicha kuwaua watu wa CHADEMA. Ila sisi kamwe hatutarudi nyuma hadi tuondoke kwenye mikono hii ya shetani ccm. RIP ccm
 
Back
Top Bottom