Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Ninavyofahamu mimi ni kuwa Lowassa hakustaafu, bali alijiuzuluSasa wewe unashangaa nini! Mh. Lowassa ni waziri mkuu mstaafu kama ilivyo kwa Sumaye, Msuya, Warioba, etc. Chuki binafsi hazina maana kwa taifa.
Ninavyofahamu mimi ni kuwa Lowassa hakustaafu, bali alijiuzulu
Ninavyofahamu mimi ni kuwa Lowassa hakustaafu, bali alijiuzulu
Sasa wewe unashangaa nini! Mh. Lowassa ni waziri mkuu mstaafu kama ilivyo kwa Sumaye, Msuya, Warioba, etc. Chuki binafsi hazina maana kwa taifa.
ndio maana naomba kiswahili kipigwe marufuku maana sisi hatukielewi na hakuna wa kutusaidia kukielewa.Sasa wewe unashangaa nini! Mh. Lowassa ni waziri mkuu mstaafu kama ilivyo kwa Sumaye, Msuya, Warioba, etc. Chuki binafsi hazina maana kwa taifa.
hakikuwepo hapo kabla kwa sababu haikuwahi kutokea lakini huyo unayemsema ndiye mwanzilishi wa cheo hicho. Najaribu kufikiri kuwa jamii za mwanzoni kabisa kabla hazijapotelewa na mtu yeyote kama kulikuwa na tittle ya "marehemu"Hatuna cheo cha 'waziri mkuu aliyejiuzuru'.
Ataendelea kuitwa waziri mkuu mstaafu. Sidhani kama hili jina litakufanya usahau yale aliyotuhumiwa kuyatenda!
Sasa hapo mbona kila neno lina kiswahili chake? Sioni tatizo la kiswahili.
Ingelikuwa Kiingereza labda wenyewe wangetukosoa.
Mfano: Ungesema
resigned = aliyejiuzuru
retired = aliyestaafu
Kumbe unavyojua wewe! LOLNinavyofahamu mimi ni kuwa Lowassa hakustaafu, bali alijiuzulu
Usininukuu vibaya bana... sijasema ninavyojua, nimesema ninavyofahamu LOL LOLKumbe unavyojua wewe! LOL
Sasa wewe unashangaa nini! Mh. Lowassa ni waziri mkuu mstaafu kama ilivyo kwa Sumaye, Msuya, Warioba, etc. Chuki binafsi hazina maana kwa taifa.
Hata mimi ninavyofahamu EL ni waziri mkuu mstaafu, hata kama ni interim, bado anatambulika.Baada ya kifo cha Edward Sokoine, nafasi yake ilikaimiwa na aliyekuwa katibu wa AU, Salim A Salim. Naye pia ni waziri mkuu mstaafu.