Kifimbo cha Ndg. Edward Lowassa

Kifimbo cha Ndg. Edward Lowassa

[h=3]MHE. LOWASSA AZINDUA JOSHO LA MIFUGO KIJIJI CHA MFEREJI MONDULI JUU[/h]

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kusalimia wananchi wa Kijiji cha Monduli juu, Mkoani Arusha wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo katika kijiji cha Mfereji Monduli juu.​
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikaribishwa kwenye kijiji cha Mfereji Monduli juu,wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo.​
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo,lililoko katika Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu.​
Sehemu ya Wakazi wa kijiji cha Mfereji,Monduli juu wakimsikiliza Mh. Lowassa (hayupo pichani).​

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu,mara baada ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo.

imewekwa na : MUHIDIN SUFIANI Muda: Wednesday, December 19, 2
 
Naona atachanganyikiwa asipokuwa RAIS;Atajuta kuchagua TAPELI kuwa RAIS na kumweka MFUKONI... sasa anataka kuwa NYERERE kweli tutafika???
 
MHE. LOWASSA AZINDUA JOSHO LA MIFUGO KIJIJI CHA MFEREJI MONDULI JUU

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kusalimia wananchi wa Kijiji cha Monduli juu, Mkoani Arusha wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo katika kijiji cha Mfereji Monduli juu.​
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikaribishwa kwenye kijiji cha Mfereji Monduli juu,wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo.​
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo,lililoko katika Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu.​
Sehemu ya Wakazi wa kijiji cha Mfereji,Monduli juu wakimsikiliza Mh. Lowassa (hayupo pichani).​

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu,mara baada ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo.

imewekwa na : MUHIDIN SUFIANI Muda: Wednesday, December 19, 2

Kakipewa huko NIGERIA.
 
Huyu Bwana nasikia sana kichefuchefu kila nikisikia kwamba anataka kuwa Rais. Mwl. Nyerere alimkataa kwa kuwa alijua kuwa si msafi. Kikwete alikataliwa pia na Nyerere pamoja na kwamba Kikwete alimshinda Mkapa kwenye kura, ikasemekana ulikuwa ni uchaguzi wa mizengwe. Tumeshuhudia ni kwa nini Nyerere alimkataa Kikwete kwani ametokea kuwa the weakest President ever, sasa tutarajie kuvuna nini kutoka kwa huyu fisadi papa?

Tiba
 
Good style lakini fimbo ndo itamsafisha kwa wapiga kula wake? I mean watanzania sin a shaka na wale wapori pori wenzie watampa maana ED kule kwao ni Mungu Mtu hasa!!!
 
siyo kiivyo tena,

wameshamshitukia...
 
MHE. LOWASSA AZINDUA JOSHO LA MIFUGO KIJIJI CHA MFEREJI MONDULI JUU

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kusalimia wananchi wa Kijiji cha Monduli juu, Mkoani Arusha wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo katika kijiji cha Mfereji Monduli juu.​
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikaribishwa kwenye kijiji cha Mfereji Monduli juu,wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo.​
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa josho la kisasa la Mifugo,lililoko katika Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu.​
Sehemu ya Wakazi wa kijiji cha Mfereji,Monduli juu wakimsikiliza Mh. Lowassa (hayupo pichani).​

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mfereji,Monduli Juu,mara baada ya kuzindua josho la kisasa la Mifugo.

imewekwa na : MUHIDIN SUFIANI Muda: Wednesday, December 19, 2

nafikiri ni ulinzi kwake, si unajua nackia anaumwa
 
Huyu Bwana nasikia sana kichefuchefu kila nikisikia kwamba anataka kuwa Rais. Mwl. Nyerere alimkataa kwa kuwa alijua kuwa si msafi. Kikwete alikataliwa pia na Nyerere pamoja na kwamba Kikwete alimshinda Mkapa kwenye kura, ikasemekana ulikuwa ni uchaguzi wa mizengwe. Tumeshuhudia ni kwa nini Nyerere alimkataa Kikwete kwani ametokea kuwa the weakest President ever, sasa tutarajie kuvuna nini kutoka kwa huyu fisadi papa?

Tiba

NDHANI NYERERE KUNA KITU HAKUFUATILIA JUU YA WAPI LOWASA ALIPOPATA FEDHA AMBAYO ILIMSABABISHIA UGONVI NA NYERERE.

TUNAVYOKUMBUKA NI KWAMBA HADI 1995 LOWASA HAKUWA FISADI KIVILE NADHANI NYERERE ALIPASWA KUMBANA ZAIDI NA HAPO NDIPO INGEFAHAMIKA KWAMBA LOWASA ALIKUWA MBEBA MKOBA WA JK, KUMBUKA KUWA JK ALIKUWA KWENYE NAFASI ZA JUU KWA MUDA SO FEDHA YOTE ALIKUWA ANAKAMAT LOWASA KIMYA KIMYA
 
KUMBUKA walikuwa ni KUNDI.... MUIRAN Pia alikuwa kundi Lao... Kwahiyo PESA zilikuwa zinapatikana kwa MILANGO ya NYUMA huo ni wakati wa UTAWALA wa MZEE RUKSA... NDIO ENZI HIZO MAMA MWINYI alikuwa anabeba DHAHABU kama PEREMENDE...
 
Ni kawaida kwa LAIGWANANI kubeba fimbo ya aina hiyo,na imembidi kubeba fimbo hiyo kwa sababu hiyo sehemu aliyoenda ni miongoni mwa vijiji vilivyopo Monduli ambavyo hakubaliki kama mwanzo.
 
jamaa ana act kama godfather,ila picha ya kati yupo kama michael jackson ,jamaa ni mafia
 
Huyu Ndugu EL yuko obssessed na watu kujipanga mistari na kumpigia makofi. Ndicho kinachompa tabu. ni aina ya ulevi kama walevi wa bangi na madawa ya kulevya. Atafanya kila anachoweza alimradi watu wajipange na kumpigia makofi. Ni ulevi mbaya sana. Kubeba kifimbo ni kufulia kwa hali ya juu - sijui nani mshauri wake wa kisiasa1.
 
Ndio katokanacho naijeria nini? Mana alikuwepo kule wiki iliyopita.

Alipewa na madaktari wake kule Ujerumani. Ni moja kati ya dawa alizepewa ili abaki kuwa "fit".

Pasco atathibitisha hili.

nnguu007

Wewe umeona kifimbo peke yake?

Na hizo pete je?

Hata mkulu anazo za aina hizo. Ni marafiki.
 
Mtoa mada unaniudhi sana unaposema kuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu.

Alistaafu lini? Yeye ni kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu, au Waziri Mkuu Aliyejiuzulu...

Cha kushangaza mtu umeshafikia ngazi ya kuwa waziri mkuu lakini bado unang'ang'ania ubunge... Mawaziri Wakuu wote waliostaafu waliachana na ubunge. Sasa kama yeye ni staafu ubunge wa nini? Si ndio anaendelea kutunyonya hela za walipa kodi... Halafu bado mna mshadadia... Khaa... pwuu...
 
Back
Top Bottom