Kifimbo cha Ndg. Edward Lowassa

Kifimbo cha Ndg. Edward Lowassa

Masikini EL anajitahidi bila mafanikio kujilinganisha na Mwalimu Nyerere.
 
sahihisha kiswahili.ni mh.lowasa mbunge wa monduli ,na aliyekuwa waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya richmond na dowans
 
Mwenye taarifa kamili atuweke sawa, kile kifimbo alichonacho Lowassa sasa kama cha Mwalimu Nyerere kakitoa wapi?
 
Uuuh hata mm nilikishangaa sana labda Naija......
 
Mkuu naona umehamia huku...vipi mbona hujachangia kuhusu mgombea wako wa urais mzee wa matunguri Zito aliyejitabanaisha kama mchawi....ni bora Lowasa awe Rais kuliko hawa vijana wapuuz
 
Back
Top Bottom