Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,029
- 1,254
Wenzetu wameendelea bwana. Huwezi kuja kusikia eti wamekufa kisa kukosa maji labda kama Hewa nayo imeondoka which is almost impossible.
KaraPure ndicho kisambaza maji cha kwanza duniani ambacho hubadilisha hewa kuwa maji safi ya kunywa, na kuifanya kuwa adimu yenye madini na alkali yenye kiwango cha pH cha 9.2+ (sawa na maji safi ya chemchemi ya milimani, of course kama Maji ya Moshi Mjini
Kifaa hichi kina kamata matone ya maji angani (yasiyoonekana kwa jicho letu) na, pamoja na teknolojia ya msingi wa desiccant, huchota matone hayo kutoka angani. Kisha maji yaliyonaswa husafishwa kupitia mchakato wa uchujaji wa hatua nyingi (Multistage Filtration Processes), ambapo hubadilishwa kuwa alkali ya kiwango cha pH ya 9.2+. Baadaye pia inaingizwa na madini 7 ya kipekee kuhakikisha wewe na familia yako mnakunywa maji yenye afya.
Tembelea account yao ya Instagram @ karapure Kujua namna yakukiagiza.
Video ya namna kinavyofanya kazi link ya Twitter hii hapa
Maestro De Quimica !!OP
Welcome to the world