Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,045
- 103,460
Umeshasema ni tofauti! Sasa kwa nini asiwatoe aweke wa kwake ili asiteke kuonesha utofauti wake?
Huo ni urais wa kurithi, hivyo hana ubavu huo.
Umeshasema ni tofauti! Sasa kwa nini asiwatoe aweke wa kwake ili asiteke kuonesha utofauti wake?
Sasa utofauti wake uko wapi?Huo ni urais wa kurithi, hivyo hana ubavu huo.
Kwahiyo yeye si rais kamili?Huo ni urais wa kurithi, hivyo hana ubavu huo.
Huyu mh. Muacheni jamani ameenda tayari...!Kesho ni Katiba day na katiba hakuna mtu yeyote ambaye hana maslahi nayo.
Waandishi wa habari kama Mwangosi na Azory Gwanda waliuawa kwa sababu ya katiba mbovu na mpaka leo hatujawai kuona wanasiasa waliosababisha wakiwajibishwa.
Watu kama wakina Ngurumo wamekimbia nchi mpaka leo kwa sababu ya habari zao za kiuchunguzi kutotakiwa na tawala za ccm.
Awamu ya Magufuli waandishi mpaka walipigwa viboko na kuwekwa ndani
Utawala wa Magufuli vyombo vya habari vilifungwa na kupewa faini kubwa kubwa kwa sababu ya katiba na sheria mbovu.
Lakini leo watu wanaanzisha katiba movement Ila cha kushangaza hakuna hata media moja inayosaport movement hiyo!!.
Cha kushangaza siku Samia akitangaza kukubali katiba media zitaandika kumpongeza bila kuwapongeza walio anzisha movement hii
Bongo hatuna media kabisa.
Kwenye utu.Sasa utofauti wake uko wapi?
Kamili wa urithi.Kwahiyo yeye si rais kamili?
Sasa kama ana utu masuala ya kutekana yanatoka wapi kwenye utawala wake?Kwenye utu.
Sasa kama ana utu masuala ya kutekana yanatoka wapi kwenye utawala wake?