Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Jana nimemuona Obama CNN akiomba udhuru situation room Pentagon, kwamba asiulizwe maswali mengi ili awahi birthday (yake) dinner na familia.

Hii mnaizungumziaje vidume wa nguvu wa JF?

Mimi kwa maoni yangu nafikiri ni life style tu. Nikiwa peke yangu huwa sifanyi ila tukiwa hom nakumbuka baba alikuwa anatoa hela ya champaign na mama alikuwa anakupikia ur favorite food tunakula familia nzima dinner

Nakaribia kuoa natarajia kuendeleza hii tradition
Obama anasapoti ushoga kwavile kafanya obama na ww unaona iko poa?
 
Pimbi baba yako mzazi kenge wewe.
mapimbi mnaonekana tu baba anaingiaje hapa KALALE UNA USINGIZI pimbi wewe kila unachokiona unakopi

kopi hata kutembea uchi siku ya birthday wakusalimie hahahah
 
Mimi nazungumzia birthday kama alivyoleta mwenye uzi, wewe habari za ushoga umezitoa wapi hata uzihusianishe na comment yangu??

KAMA HUPENDI WANAOFANYA BIRTHDAY SHIRIKI KUTOKOMEZA KAMA TULIVYOTOKOMEZA USHOGA TZ sio kusifia upimbi mkuu
wanauzi lijitu linaishi nyumba ya kupanga linaalika watu kwenye sherehe tena chumba kimoja sio upimbi huo???? juzi mlinzi wetu anadai nilikuwa na birthday ndio maana nimechelewa acha tumchambe upimbi FURAHA YA NINI BADALA YA KUTAFUTA MAISHA
Hiyo laki mbili ni kuku wangapi umenunua
 
Nikiona mwanaume anapost akisherekea birthday huwa namunnfollow
 
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
hao wanaogopa panya road! hawawezi kuuwa mjusi wanaogopa ata mende! wanaimbiwa birth day!
 
Mweeh jamani,sasa kama dume kafanyiwa na mpenziwe kuna ubaya?
Hakuna ubaya wakati mkiwa kwenye penzi la mwanzoni ila huko mbeleni lazima mpenzi atakua ameshajua hupendi hizo vitu. Wanaume watafute hela tuu hayo mengine wawachie wahusika.
 
KAMA HUPENDI WANAOFANYA BIRTHDAY SHIRIKI KUTOKOMEZA KAMA TULIVYOTOKOMEZA USHOGA TZ sio kusifia upimbi mkuu
wanauzi lijitu linaishi nyumba ya kupanga linaalika watu kwenye sherehe tena chumba kimoja sio upimbi huo???? juzi mlinzi wetu anadai nilikuwa na birthday ndio maana nimechelewa acha tumchambe upimbi FURAHA YA NINI BADALA YA KUTAFUTA MAISHA
Hiyo laki mbili ni kuku wangapi umenunua

To each, their own.
 
Pamoja sana mkuu...na hasa kwenye hili,....
Mwanaume wa kweli kama ukiamua kufurahia(sio kusherehekea) siku yako ya kuzalia-unaenda zako bar na washkaji unazungusha round mbili/tatu...unaagiza na nyama choma....then unarudi zako home watoto hata hawajui kama umefurahia......
Yaani unaenda kuzungusa Bar na washikaji? Mkeo au mpenzi wako hapa unampa nafasi gani? Nilitamani ungesema ungetoka zako out na mpenzi wako au mkeo mkafurahie siku maalum hiyo but unaweka washikaji mbele. Haya bana.
 
Mwaka mpya utoke na mpenzi, pasaka utoke na mpenzi, iddi ndogo utoke na mpenzi, iddi kubwa utoke na mpenzi, sabasaba utoke na mpenzi, nane nane utoke na mpenzi, karume day, mapinduzi day, siku ya uhuru, x mass pia utoke na mpenzi daàaaaa!!! Wanawake wamewashika wanaume pabaya sanaa na hii ya kwenda kuzungusha na washikaji utoke na mpenzi pia? Ni kweli wanaume wanazidi kupungua tz, darsalam ndio wanaishia kabisa.
 
Alafu unakuta wakati anazaliwa kiukweli ukweli hakufanyia hiyo birthday party... Sasa sijui ina faida gani, ila ngoja waje watiririke hapa.
 
Mwaka mpya utoke na mpenzi, pasaka utoke na mpenzi, iddi ndogo utoke na mpenzi, iddi kubwa utoke na mpenzi, sabasaba utoke na mpenzi, nane nane utoke na mpenzi, karume day, mapinduzi day, siku ya uhuru, x mass pia utoke na mpenzi daàaaaa!!! Wanawake wamewashika wanaume pabaya sanaa na hii ya kwenda kuzungusha na washikaji utoke na mpenzi pia? Ni kweli wanaume wanazidi kupungua tz, darsalam ndio wanaishia kabisa.
Wahsikaji wana nafasi na mpenzi au mke ana nafasi tena kubwa zaidi. Kwa misingi hii unapanga siku yake na siku ya washikaji. Hapo ndipo mnapokosea. Muweke mkeo au mpenzi one of your top priorities and utadumu naye sana kwa upendo mkubwa mno.
 
Back
Top Bottom