Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
wanaume wa dar ndio wanatabia hizo chefu mkuu,sio wote!
 
Subiri wavulan waje...maan umewachokoza mwenyew na watatoka mapovu kweli kweli na matusi juu.ila nmeipanda maan umewambia ukweli tena wengi wafanyayo hayo ni wavulana wa dar
ahahahhaaaaqaaaaaa
 
Wanaume kamili huwa tuna kaa bar na washkaji-round za kutosha plus nyama choma kwa sana,...then unarudi zako home umechangamka....au kama salio halisomi unakausha kimya....hapo je..?
Hata hiyo kukaa bar na nayo ni birthday part sema unakuwa umebadirisha style tu
 
Wanaume kamili huwa tuna kaa bar na washkaji-round za kutosha plus nyama choma kwa sana,...then unarudi zako home umechangamka....au kama salio halisomi unakausha kimya....hapo je..?
yeeeeeess,,, hii ndo kiume kiumeni,, piga mma sanaaa,,, then kama mkristo j2 watoa na sadaka kutimiza miaka hiyo, na wa imani nyingine wanajua siku maalumu ya kuabudu na kutoa sadaka........hakupa cha party.....kwa watoto haina mkinga....
 
Mhhh hayo mambo ya yoyoyo na dada du,mwanamume timilifu hafanyi ujinga huo
 
Heeee kama mkeo Au mchumba wako hakufanyiii kaa kimya usiharibie watu nyie ndo vivuruge vya ndoa za watu. Je kama mke kaandaaa mm nafurahi napompongeza we yanakuhusu kualikwa kama hutaki ache.Mnasema mwanaume alelewe apendwe kama mama ampendavo mtoto sasa mnajidai nn. Mimtu ka nyie ndo mnaharibu ndoa za watu huwez jua mwanamke kajikoki kwa mme wake we huko unamjaza ujinga ndo anafika hata hafurahii hamjui inavouma. Hivi wanaume wengine mkojeeee ka hufanyiwi wewe kaa kimya jaman khaaa
 
Pamoja sana mkuu...na hasa kwenye hili,....
Mwanaume wa kweli kama ukiamua kufurahia(sio kusherehekea) siku yako ya kuzalia-unaenda zako bar na washkaji unazungusha round mbili/tatu...unaagiza na nyama choma....then unarudi zako home watoto hata hawajui kama umefurahia......
We ndo hujielewi kushindwa kufurahia jambo na familia unaenda kuzungusha round bar aisee pole
 
Hata mimi hiyo kitu imenishinda kabisa...Ila sababu Bi mkubwa huwa yuko makini sana...Unakuta mimi sijui hata ndiyo Birthday yangu nikifika hme nakuta ameninunulia zawadi kama Saa ama nguo za ndani anafanya surprise fulani kimya kimya then siku imepita hiyo...
 
hahahahahaha wanaume wanawake wanazidi kuongezeka JIBABA BIRTHDAY YANINI SI UKATOE MISAADA KAMA UNA PESA NYINGI
 
kila mtu anaishi jinsi alivyolelewa kuna wngine mambo ya bday wamejifunzia ukubwani wakati wengine walikuwa na utamaduni wa kufanyiwa vitu hivyo toka utotoni hivyo sioni kwanini swalala mtu kufanya birthday yake likuume
 
Umewachokoza subiri waje
ASUBIRI WAJE WAFUPI WA MAWAZO kusaidia hata 100 kwa vilema njiani wagumu hao ila kujiwekea party zisizo na maana wa kwanza WAJINGA KWELI

WATANZANIA TUNAIGA SANA juzi juzi tu mfanyakazi mwenzangu ananiambia karibu kwenye party ya mama angu mmama miaka 60 happy birthday yanini kama sio upimbi huo
 
kila mtu anaishi jinsi alivyolelewa kuna wngine mambo ya bday wamejifunzia ukubwani wakati wengine walikuwa na utamaduni wa kufanyiwa vitu hivyo toka utotoni hivyo sioni kwanini swalala mtu kufanya birthday yake likuume

halimuumi na sio yeye tu wengi tunawaona mapimbi mnaotaka birthday NDO MNALETA UMASKINI NYIE MAANA MAPIMBI WA MAWAZO

SHEREHE ZA NINI FANYA KAZI ukishindwa kasaidie wanaohitaji misaada TUSIPENDE KUTETEA UJINGA
 
Pamoja sana mkuu...na hasa kwenye hili,....
Mwanaume wa kweli kama ukiamua kufurahia(sio kusherehekea) siku yako ya kuzalia-unaenda zako bar na washkaji unazungusha round mbili/tatu...unaagiza na nyama choma....then unarudi zako home watoto hata hawajui kama umefurahia......
we mchoyo
 
wewe ndio pimbi shugurika na maisha yako isitoshe hujalazimishwa kwenda au kuchangia
hahahah wewe ndo zaidi kumbe wewe nawe member mapimbi kweli nyinyi kila mwaka unasherekea huku kesho unalia njaa mnakopa mpaka pesa ya birthday wengine mnaishi nyumba ya kupanga WAJINGA KWELI NYINYI
 
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu na wewe umekaa tu unakenua meno? Yani na wewe uvae taji eti kisa birthday!

Haya mambo ebu tuwaachie wavulana wa vyuoni high school na wanawake yani sikuhuzi ungangali wa wanaume wenzangu unapungua ebu tuache utoto wa kusherekea birthday kijinga hivyo. Pia kumekuwa na kamchezo ka mtu kumwagiwa maji hivi izo akili za hivo mnatoa wapi?
Serious mkuu, hayo ni mambo ya kike na watoto. Au mtoto bajiaaa huyo??
 
Back
Top Bottom