Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Mmhh ngoja nitakufanyia ww mwenyewe ngoja nikusanye vyombo hutachomoka

Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....usijaribu ht kwa bahati mbaya.

Watu wa huko nasikia ni wabishi hatari.mimi mwenyewe ninakaubishi kwa mbaaaaali hii ni kwa sababu ya kimo sasa ukiningezea na wako wa asili kabisa tangu enzi na enzi si nitachomoka mizizi ya kichwa!!aku sitaki mimi
 

Heeee kumbe kuna side effects..uwiii mondray acha tu.nimegair
 
Mkuu mimi nimeshuhudia, kusimuliwa pia kufundishwa hizo mambo sometimes ni mbaya sanah hasa ukizidisha aina ya dawa. Kuna zingine hutakiwi kukaa sehem zenye watu ikiwa full moon maana wengine hubadurika na kua viumbe vya ajabu.

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
"....ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kukudhulu.."
Nimepata shida kuviwaza! Sijui chupa, kisu au bunduki,chui, nyoka!
 
Dah kipindi kile cha Ukoloni hii sayansi haikuwepo mbona tumenyanyasika kwa mababu zetu kufungwa minyororo kirahisi na kupelekwa utumwani!!?
Ilikuwepo lakini haikuonyesha mafanikio babu MAJI MAJI WAR wazee wetu walipotea sana kwa kuamini hizi mambo! Sasa kama mtu unaamini kidono kwanini usimwamini na Mungu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…