Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Tanga kuna watu wa kigoma wengi waliopelekwa manamba (kukata mkonge) wakamua kuishi huko hao ndio waliopeleka hiyo taaluma
Hapo umenena mkuu mm niliwaambia mwanzo hilo.
Kigoma na tanga tunafana kuanzia vipaji hadi Utamaduni wa mambo ya asili.
 

Drln naomba unipeleke nikachanjiwe walah tena.maana mimi mtu akinichokoza,kama nikimjibu nimemheshimu ,nikikaa kimya nimemdharau lkni roho yangu huwa inaniuma sana na kupatwa na hasira mpka natetemeka yani..

Wakati mwingine natamani kumtwanga mtu vitasa [emoji23][emoji23][emoji23]lkni ndo hvyo naogopa naweza nikadundwa mimi..aaaa yan stress tupu
 
Vidono vipo aina nyingi mkuu.
Ila ukifatilia hayo mambo sana waweza kuwa jambazi bure. Kuna ambazo kweli risasi haipiti.
Mm rafiki yangu anaweza kuuchana mti mbichi kwa kuuvuta tawi na tawi.

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Sasa kama ni kweli kuna haja gani Wanajeshi wetu wapelekwe huko depo??kwa nini wasichanjwe tu kidono na Kinkut?? Hapo kwenye kupigwa risasi haingii muhhhh!!!Labda
 
Sasa kama ni kweli kuna haja gani Wanajeshi wetu wapelekwe huko depo??kwa nini wasichanjwe tu kidono na Kinkut?? Hapo kwenye kupigwa risasi haingii muhhhh!!!Labda
Serikali haiamini uganga na Uchawi.
Ila wnajeshi wenyewe ndio huwatafuta waganga wawape hizo dawa. Mm nishashuhulikia wanajeshi zaidi ya watano kwa dawa hizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…