Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Jitahidi kudhibiti hasira zako na usivunje miiko
 
huwa najitahidi sana mkuu.kuna uwezekano labda babu alinichanjia vitu vinavo jadiliwa na wadau hapa jamvini.

maana babu yangu alikuwa ni mtu mashuhuri aliyeheshimika na kuogopwa sana na jamii yake iliyomzunguka.
Kila kitu ni manuizi tu, ulozi na sanaaaa, ina mbinu na namna nyingi za ku manupulate dawa na tricks.

Inawezekana, maan kuna zingine mtu ukitengeenezewa una ruhusu ziende hata kwa uzao wako, bila hata kuwafanyia dawa
 
Kwani mtu akiwa huko alikofukiwa haendelei na kupumua, kula+++ n.k anakuwa mahututi au anaweza kufa 1 kwa 1 ai inakuaje ? na ni negative impacts zipi Ndg ?
Hawezi kufa. Unakua na mizimu tu.
Negative impact ni.
Kushindwa kujicontroo.
Waweza kuua au kujeruhi then ukafungwa.
Itakubidi sometimes ukae mbali na watu maana wengine ikifikia mwezi mpevu hua sio viumbe wa kawaida.
 
Hawezi kufa. Unakua na mizimu tu.
Negative impact ni.
Kushindwa kujicontroo.
Waweza kuua au kujeruhi then ukafungwa.
Itakubidi sometimes ukae mbali na watu maana wengine ikifikia mwezi mpevu hua sio viumbe wa kawaida.
Kwa hiyo ikifikia mwezi mpevu ndo ratiba ya hiyo kinga kwamba lazima isale au imuendeshe muhusika kufanya vurugu ?
 
Kwa hiyo ikifikia mwezi mpevu ndo ratiba ya hiyo kinga kwamba lazima isale au imuendeshe muhusika kufanya vurugu ?
Mkuu haimuendeshi mtu kufanya vurugu bali akikasirishwa ndio hua hatar.nadhani umeona picha ya hulk ilivyo. Hua hutakiwi kukaa sehem zenye vurugu hata kidogo au kua mkorofi.
MPAKA UKICHOKOZWA
 
Brother Mondray, ina maana mtu akiwa na hiyo kinga ya kiafrika, hata Risasi na mabomu vikitupwa 1 kwa 1 kwa mwenye kings higo, havimuathiri kabisaaaaa au inakuaje Ndg .... .... ...
 
Duh hatari hiyo

Nitakuona mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…