Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Huwa wananguvu sana hawa watu..that's mutations !
aseee!
some things better not to know!
Ni gifted by God

SCARING!Huwa wananguvu sana hawa watu..
Ni gifted by God
Somehow. Ni vitu vya kawaida hivoSCARING!
Nitafute kama upo seriousMkuu kidono ni nzuri
Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!?
Unapajua katonga mtaa wa kamala bangwe?KAMA UNA SWLI LOLOTE ULIZA NIKUJIBU HAPA.
Napajua ndugu yangu kigoma mjini nzimaUnapajua katonga mtaa wa kamala bangwe?

Napajua ndugu yangu kigoma mjini nzima
da vnc hao watu full moon wanakua viumbe ganiAchana Na hizo kitu kiongozi
Kuna raia mmoja toka kigoma alikuwa kachanjiwa hizo mambo, na ilikuwa akikasirika anakuwa na nguvu hakuna wa kumshika mpaka wa kigoma mwenzake aje kuna kitu anafanya ndio anatulia.Naombeni mnijulishe ....kidono/kinkuti ni kiti gani?
Naitaka hii.Ubaya wa hizi ishu ni kuwa, ukipandwa na hasira, zinakuwa hasira haswa, hau shikiki wala kuamulika wala husikizi kitu hadi lengo litimie
Sio kitu cha kukitaka hakin ishu bali utaishi kwa kuteseka tu mwishowe na mashart ya kijinaNaitaka hii.
Daah nikweli hata mm ninavyo ila vimenisaidia kwamengi sana ukwel nikikasilika ni atal sana.Kaka mi ninavyo vyote nisaidieni namna ya kuondokana navyo wakuu.
Sio siri hua unafikia wakati mie najiogopa aseee, hua nikifika ugenini najikuta nakua mnyonge, sijichanganyi mahala panapoweza kunipa changamoto, yamenifanywa nikaachishwa mafunzo ya jeshi nateseka sana
Huwa wananguvu sana hawa watu..
Ni gifted by God
Stories za kusukumia mudaWatu wana dawa acheni niliwahi kufundishwa na master moja wa karate tabora alikuwa na asili ya congo, alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kupigana na hakuwa mtu wa kurudi nyuma kama utamuonea,
Sasa kipindi tunakimbia tulipita karibu na kambi ya jeshi tukapigwa mkono , tulikuwa watu 8 na master wa 9, master akauliza shida nini wakati hapa kuna njia na tunapita hapa kila siku, wakajipendekeza Mp wawili wakorofi wakasema sisi tunakutaka ww master , master akasema nyie siwezi kupambana na nyie ila kama mtapiga kati ya vijana wangu wawili hapa basi nitapambana na nyie, mp akacheka kwa dharau,
Akatolewa mkuria moja hivi na mkinga moja hivi walikuwa wanapiga sana mkono maana walikuwa na yule master ndani ya miaka miwili, ngumi zikaanza kupigwa zilipigwa ngumi pale ikabidi wanajeshi wale mp wawili wakazidiwa kuona hali inakuwa mbaya ikapigwa filimbi ya hatari ndani ya dakika 3 tukazingirwa kati,
Mkuu wa kambi akasema akasema kwa nn ugomvi ukatokea hapa na nn chanzo master akasema mkuu naheshimu serikali na napenda amani ila vijana wako ambao ni viongozi wako wa askari wako wamenichokoza na kutaka kuona nguvu yangu ila nimewambia kama mtaniweza pigana na vijana wangu mkiwapiga nitakubali kupambana na nyie ila nikipigwa nitakubali, mara hahaaaaa hohooooo, wanavyopenda sifa.
Wakaulizwa wale mp wakasema ni kweli tulitaka kumpima ili kama ana huo uwezo tuweze kuongea naye,
Akaitwa jamaa moja mjeda ana asili ya uarabu hivi akasema anamtaka master aliwapiga mp wake,
Siku ile ndo niliona aina ya mapigo ambazo hatukuwahi kufundishwa na master , wanajeshi wakataka kuingia wote kupigana na master , pale ndo niliona uchawi wa master alitoa kifimbo fulani kwenye soksi akawanyooshea wale maafande wakaanza kudodondoka chini hovyo na master akatuvuta haraka sana , kesho yake akaenda jeshi na kuanza kufundisha, ikawa mwanzo wa neema na amani
Kaka sio tangawizi hiiWatu wana dawa acheni niliwahi kufundishwa na master moja wa karate tabora alikuwa na asili ya congo, alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kupigana na hakuwa mtu wa kurudi nyuma kama utamuonea,