kidole tu!

kidole tu!

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
kuna ajali moja ilitokea,majuruhi mmoja alionekana akilia saaaana,huku akiruka ruka kwa maumivu!
Mzee mmoja akamfuata na kumuuliza kulikoni?
Kijana huku akizidi kulia,alimuonesha mzee sehemu ambapo kilikuwepo kidole chake!
Mzee alimuhurumia sana na kumwambia:
"pole sana kijana utapona tu,jikaze usilie namna hiyo utakuwa unakufuru,yaani kidole tu unalia hivyo?,si unamuona mwenzio pale ye kakatika shingo lakini katulia tuliii,jikaze mjukuu wangu"
 
Huyo mzee ana akili za wahudumu wa mortuary!
 
daah, this seems to be a sleeping pill, nitarudi nikitaka kulala..
 
teh teh,mzee amekunywa a glass of stupid and a slice of more stupid before leaving home!
 
Mtu akizeeka akili inarudi utoto so haina kushangaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom