Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
'mboju' vipi wala weye?Mie nashobokea kichwa especially kwa yule asokaangwa tena awe sato......yaillah weee!! Utamu mpaka kisogoni!
'mboju' vipi wala weye?Mie nashobokea kichwa especially kwa yule asokaangwa tena awe sato......yaillah weee!! Utamu mpaka kisogoni!
judgement una lako jambo wewe,sasa huyo samaki ukisha mla upande mmoja inakuwaje baada ya hapo?
Do you mean that's initial of some persons name ?
Stand for
Vitalis Nestory Mbeki ?
Kwa mtaaluma wa kula samaki wala.hamgeuzi babu eh!
simama ukaguliwe..Mmmmh mm!! nimekatiza tuuuu!!!