Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaa, lol!Kofia yake huwa inakatwa. Na ikikatwa haitakiw aivae tena ktk maisha yake
haya shem
ha haaa, lol!Kofia yake huwa inakatwa. Na ikikatwa haitakiw aivae tena ktk maisha yake
Hahahaha. Umeikumbuka?
kinaonekana kimetoka kudip somewhere!
Nafikiri huwa kimelewa muda wote ndiyo maana kimepoteza mawazo......
mvalisheni kofia jamani
umeona eeeh!Ila hii teknolojia kwakweli duh . . . !!!
Saa ingine mtu unaangalia tu unaishia kutikisa kichwa.
umeona eeeh!
yaani mimi nilipofungua nikaangalia kwanza nyuma yangu kama hakuna aliyeniona maana niliona aibu mbaya
sana yaani....We acha tu.
Nimekuja kucheka baadaye though.
Binadamu akili zetu siku hizi zimevurugwa!!!
ha haaa, lol!
haya shem