kichaga kigumu kuandika

kichaga kigumu kuandika

Mbana rahisi kuliko kiingereza. Kinafaa kuwa lugha ya taifa; tukipata mtaalamu akatufundisha tutaelewa tu vizuri na tutapata maendeleo.Kiswahili kimebaki kwa ajili ya utapeli tu, au siyo?
 
chaloi kapisa. Kokundikulosha nomanya tiki
 
Niliamua tangu nikiwa kijana mzazi kwamba wanangu sio lazima wajue Kichagga. Ni vema tukafahamu kusema na kuandika Kiswahili, lugha ya taifa; na ndipo tutaweza kushiriki kikamilifu kulijenga.

Yumkini wameoa/olewa na WaTz waswahili tu. Hawapungukiwi na kitu kwa kutokujua Kichagga.
 
haya mbe 'kifaa'. Wamkuicho.
 
Niliamua tangu nikiwa kijana mzazi kwamba wanangu sio lazima wajue Kichagga. Ni vema tukafahamu kusema na kuandika Kiswahili, lugha ya taifa; na ndipo tutaweza kushiriki kikamilifu kulijenga.

Yumkini wameoa/olewa na WaTz waswahili tu. Hawapungukiwi na kitu kwa kutokujua Kichagga.

kukechesa na mila sa koru.
 
Hivi mods wetu mnafahamu kinachoendelea humu. Nafikiri kuna mmojawapo mchaga. Otherwise this thread is unmoderated.
Kuichi kichaga mods?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom