kichaga kigumu kuandika

kichaga kigumu kuandika

Hivi mods wetu mnafahamu kinachoendelea humu. Nafikiri kuna mmojawapo mchaga. Otherwise this thread is unmoderated.
Kuichi kichaga mods?

iha kuorhe muondu pfo. Lulahia mndu pfo. Ma invisibo naichi
 
Hivi mods wetu mnafahamu kinachoendelea humu. Nafikiri kuna mmojawapo mchaga. Otherwise this thread is unmoderated.
Kuichi kichaga mods?

haina haja ya mods kuwa na wasiwasi......kwa sababu.....sioni sababu ya kukosa heshima hapa.....mpaka tulipofika kila mtu ameonyesha ustaarabu wa hali ya juu....
in kesi ofu imegensi....tutamtafsiria mod huko huko kwenye Report Abuse......

Aika mshiki. Wandu wa wananzi loi.
 
Nimegundua hicho Kimarangu ni kama Kiswahili ila unatakiwa uvute maneno kama unaremba ndo kinakuwa Kichaga chenu "Aleee baaana" maana yake aisee wewe. Napendaga kutumia bana kwa gender zote kumbe niko sahihi. LANYOKO CHAMECHENI SANA
 
Omanya ngaamba kiikyo iha? Wandu wainyamara kichaka tikyi. Kuorhe kilya kya mtsinde pung'u!
 
Inyi ngikeri dasilamu. Ma halya B bar wekyekorha nguwe necha sana.... au halya kona bar kufui na mabibo hosteli.

Ma inyi ngikeri iha dar bana. Iho handu ngihaichi necha. Nyi indi mleu?
 
Omanya ngaamba kiikyo iha? Wandu wainyamara kichaka tikyi. Kuorhe kilya kya mtsinde pung'u!

Omanya si tunajisemeaga nikumanyile yaani nakujua kwahiyo kichaga itakuwa umejua, wandu si watu na KILYA si n KILE na KYA si ni CHA hayo mengine nikitulia nitamumalizia. MBUTAAA NKIKI WAI!!!!!!
 
Kigumu kuandika? Jaribuni kuchora basi, bila shaka itawezekana kama vile mnavyosogezaga mipaka ya mashamba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom