Kiburi dawa yake ni Jeuri

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,229
Kiburi dawa yake ni jeuri tu.
demu kamtumia Boy friend wake
barua: Mambo Mpenzi? nimempata mchumba mwingne Handxome Boy, mwerevu ana pesa na ana mwili mzuri kukuzidi wewe kwa hiyo naomba unirudishie picha zangu.
Jamaa akamtumia bahasha ina picha 100 za madem tofauti kisha akaandika; Naomba
uchague picha yako halafu
nyingine unirudishie maana nimekusahau sura yako,
demu kazimia.


CHEZEA JEURI WEWE!
 
Back
Top Bottom