Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,832
Sasa huyo mwanaume aliyeweka mtego wa fumanizi ndio kaambulia nini? Pressure tu na aibu ya mwaka!
alidhani anamkomesha mkewe kumbe kajikomoa mwenyewe.
Sasa huyo mwanaume aliyeweka mtego wa fumanizi ndio kaambulia nini? Pressure tu na aibu ya mwaka!
Ha ha ha Bibie nimeipenda hii....sasa sijui utanifutia masela au wewe mwenyewe?Sawa sasa mimi kama mke ukishanipiga ndo nichukulie kuwa meshaniadhibu na kesi imekwisha tunarudi kuendelea na maisha kama zamani? Sio unibonde halafu bado unipeleke Bakwata sijui au unipe talaka. Nitakutafuta mtaani nikulipizie kweli!!
naataka paja mie akinitoshi kipapatio
mwenzio ataka paja wampa kipapatio nexty??????????
Ha ha ha Bibie nimeipenda hii....sasa sijui utanifutia masela au wewe mwenyewe?
Ha ha ha Bibie nimeipenda hii....sasa sijui utanifutia masela au wewe mwenyewe?
ahaaaaaaaa usitake nicheke kweli hilo paja la nguvu ebu paparazi wafatilie kama bibie alipewatalaka baada ya skendo
hapo lazima na wasela tu
Ila raha ya kichapo ushiriki mwenyewe!! Sio kama nashabikia mtu kula kichapo ila kuna wakati asee Kichapo hakikwepeki labda tu uoe Mke bounser kichapo kitageukia kwako!!Etieee! bora umenipa akili maana kama yeye alikuja na wasaidizi ah nami natafuta wasaidizi wanisaidie kulipiza magumi alonipiga siku ya fumanizi.
subiri aliwe wako ndio utajua awa watu wanatunga
aku mi sitakagi hata kujuana nao
hizi sanamu za michelini mziangalie jamani
zinaitaji mashine ndefu na zilizotullia kama zetu
kuweni makini kuchagua;mi sioni kosa lake huyu dada
mpaka nione sura ya mumewe yawezekana ashushi vinavyosahili
mi nilikimbiaga bonge langu hiv hivi sikusubiri niletewe piche wai
kyruuuuuuuuuuuuuuuu
Ni kweli kabisa na hii inaonyesha jinsi gani baadhi ya wanaume walivyoselfish yeye anachowaza ni ngoja nimkomoe kwa kunisaliti, nimtoe gazetini watu wote wajue jinsi mke wangu asivyoheshimu ndoa. Hawazi watoto kama wapo watajisikiaje au hata ndugu wa huyo mwanamke.Usiombe yakukute!
Temea mate chini! Ila tu kumtoa gazetini was too much! Kama kuna watoto huyo Eliza bado ni mama yao!
Basi kazi ipo mtu mzima na akili yako umetimia mkamilifu ya nini kujidhalilidsha kwa sababu ya pesa? Si bora ufungue kigenge cha nyanya. Hili ni kubwa sana kwa kweli.Hii story ni feki na huyo mdada kwenye picha atakuwa amelipwa ili gazeti lipate story za udaku.