Kibosile amfumania mkewe akigawa tunda nje ya Ndoa!...check photos

Hii kali mno hapa sijui tumlaumu nani. Ila kutembeza kipigo kwa men peke yake sijakubaliana na hiyo hali
 
sasa mbona huyo baba hatajwi jina wala picha yake haipo,huu ni unyanyasaji na udhalilishaji wa wanawake
 
Very Classic contribution from very classic member in a very classic time. Habari ni ya kutunga kama nyingine nyingi tu za namna hiyo katika magazeti ya hawa jamaa
 
Qn5. Hao watu wanaofumania wanajua vipi muda na dakika ya fumanizi? Kwanini wasifumanie wakati wawili hao wakitoka? bali wanafumania dakika chache kabla ya kuanza kula tunda?

...yataka moyo! unachungulia muda wote wakichojoa nguo halafu bado uvumilie kuona jamaa anaanza kula tunda live?

hapana bana, wakishavua tu inatosha!
 
Hizo zabibu haziishi!
Amemuonea bure shemeji yetu. Angerudi safari na kuzikuta zabibu zake zipo tele! ale na kusaza!
 
BWABWA!, aaaaakh!

"Gazeti ‘Very Classic' kwa habari za kufichua maovu"

Hivi , huyo Hamis ni Kiboshole wa wapi?.

Hivi inakuaje mwanamkea aliyepata kipondo akaka kitandani ametulia tuli tena kama ana kemea jambo furani (asipigwe picha??) , Hivi, inakuwaje hata kitanda kisivurugike kama kulikuwa na purukushani la mumewe na wapamabe?,

Ahaaaa, inakuwaje bana hata huyo mgoni mwingine hayupo pichani wakati habari inasema "walifumaniwa wakiwa kitandani na matukio yote kurekodiwa?

Hivi, inakwaje BWABWA hiyo kameara iliyotumika ishingwe hata kuonyesha wapambe wa Hamisi wala hata dalili u za kuwepo kwa vurumai kwenye eneo la tukio!

Hivi nikiamini hii ni picha ni ya "dada poa fulani" ambae anaweza pia kuwa sio wa huko Sinza kuna kanusho?.

BWABWA na " magazeti classic ya kufichua maovu"....mbona hayo "maovu yenyewe yaweza kuwa ndani ya hilo gazeti kuliko tukio lenyewe??

Hii habari iweje iandikwe kama makanda wa video, ..."SAKATA LINAENDELEA.... kama si biashara za kiini macho za kina Shigongo na timu yake??.
 
BWABWA!, aaaaakh!

"Gazeti ‘Very Classic’ kwa habari za kufichua maovu"

hahaaaa

Ngoshwe kweli una mambo, yani umelijadili punga classic
 
Ndio maana ya magazeti ya udaku. Ni udaku kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom