Pana sigara kubwa sana mdomoni kwake 😂😂😂😂😂.
Bure ^car-bee-sir^ weweAnashangaza sana, anasema Covid19 haipo & uchumi wa nchi unakua kwa kasi. Dakika mbili mbele utamsikia akisema, tufutiwe madeni na kupewa mikopo yenye riba ndogo na nchi wahisani ili kunusuru uchumi uliodorora kutokana na Covid19. Kesho yake utamsikia akisema, nchi hii ni tajiri na inajitegemea.! Itaendelea kuwa vigumu sana kumuelewa mtu asiyejielewa yeye mwenyewe.