Ogaranya
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 295
- 749
Oh sawa umri wako je? 😀😀Saiz ndo kwanza naitafuta laki na nusu ya pango hapa hata haijatimia,,, na uzee unanikaribia asa sijui hiyo 100 inakuaje hapo😃😃😃😃
Oh sawa umri wako je? 😀😀Saiz ndo kwanza naitafuta laki na nusu ya pango hapa hata haijatimia,,, na uzee unanikaribia asa sijui hiyo 100 inakuaje hapo😃😃😃😃
kwa ambaye amewekewa njia its very simple kwa mtafutaji mpya ni hela nyingi sana mkuuMilion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?
Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400
Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Wamejaaliwa kutia watu uchungu!!Ukisomq maoni ya wanajf unaweza kuona kama ulikuja duniani kutalii tu
no one is self made.Sasa wewe huenda ndio tututakuwa tumeelewana vizuri. Safari ya utajiri huanza na connections na assist za aina hio. Asikudanganye mtu aliuza mahindi ya mia mia akawa millionea 🤣🤣🤣
I
Ukilima nyanya ndani ya mwaka unapata hzio
Labda mleta mada aongeze umri hapo...ila hatakama nyie pambaneni mpate hizo hela me nikishakula milo mitatu inatosha 😃😃😃Oh sawa umri wako je? 😀😀
😂 acha kudanganya watu, usije ukasababisha vijana kupoteza tredimimi nina 26 lakn tayar nina 89M possibility mwakan ntakua na 100M at 27 age
MkuuMilion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?
Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400
Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
😂😂😂 Kwahali hii bora tukodishe bandariNi kweli unaweza ukaamua ufirwe kwa miezi kadhaa ukawa hata na mara 3 ya hio hela. 🤣🤣🤣
Vijana si wanaongelea hela kizembe😂😂😂 Kwahali hii bora tukodishe bandari
Ila ninachoamini vijana hapo kariakoo na Kahama wengi unaweza kuwapata umri huo!😂 acha kudanganya watu, usije ukasababisha vijana kupoteza tredi
ivi unaijua billion 10 yani million 10000, Iyo chain ya pesa ambayo utapata billion 10 kwa mwezi from zero yani hata kama ni marinda utapoteza yote na ukafia na 20MTime is illusion, unaweza kuwa huna hata senti ukiwa na miaka 30 lakin ukawa na zaid ya billion 10 ukiwa na miaka 40
Sema Kwa sisi akina self made ni ngumu ukipata 15k unatuma home 7k saba ilobaki ujibalance ww!Labda mleta mada aongeze umri hapo...ila hatakama nyie pambaneni mpate hizo hela me nikishakula milo mitatu inatosha 😃😃😃
MKUU HII KAULI YA TIME KUWA ILLUSION NAOMBA UFAFANUZI WAKE MAANA SIIELEWAGITime is illusion, unaweza kuwa huna hata senti ukiwa na miaka 30 lakin ukawa na zaid ya billion 10 ukiwa na miaka 40
Dont get it twisted 😁oya Extrovert na raraa reree hili neno ni mimi tu nimeliona??😂
Ubaya na uzuri wa pesa ndio huo 😀Time is illusion, unaweza kuwa huna hata senti ukiwa na miaka 30 lakin ukawa na zaid ya billion 10 ukiwa na miaka 40
kahama,kkoo,geita vijana wahivyo wapo lakin ni wale walio shikishwa cheniIla ninachoamini vijana hapo kariakoo na Kahama wengi unaweza kuwapata umri huo!