Kibongobongo kumiliki milioni 100 kabla ya miaka 30

Kibongobongo kumiliki milioni 100 kabla ya miaka 30

Ni rahisi kama baba yako ni Jakaya au Rostam Azizi au ana affiliation na CCM Cartel ya mabilionea.

Kama umezaliwa pasipo na hela jiandae kuzeeka maskini mwenye nyumba ya 3 room na IST uwani. Wala sina haja ya kukupa moyo.
Maisha hayana formula pole mkuu, 😆😆😆😆😆
 
Hakuna lolote.

Watu wanalishana upepo tu hapa.

Kibongobongo kufikisha milioni mia chini ya miaka 30 ni ngumu kimtindo.

Katika vijana kumi unaweza kuta ni mmoja ndo mwenye hiyo pesa.

Tena huyo ni kijana wa mjini na mchakalikaji kwelikweli sio muuza madawa wala punda.

Kwenye nchi ambayo mtu mpaka anafika miaka 30 bado ana resit kutafuta C moja na D mbili kufikisha milioni mia moja sio mchezo.
Wanao resit ni wangapi sasa 😅😅😅😅
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Fu..**U
 
Ni kweli unaweza ukaamua ufirwe kwa miezi kadhaa ukawa hata na mara 3 ya hio hela. 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nimecheka kaa fala punguza makasiriko sio kila mtu ni kapuku tembelea kkoo uone vijana wachakarikaji

Nina mifano hai kabisa, anyway sipo hapa ku brag na watu wa mitandaoni baki na unayoamini 😅😅😅 pole
 
Hahahah braza mi sijawahi kukasirikia mtu humu 🤣 au we ni mgeni sana humu. Kariakoo watu wana mipunga wala sio utani.
 
Hahahah braza mi sijawahi kukasirikia mtu humu 🤣 au we ni mgeni sana humu. Kariakoo watu wana mipunga wala sio utani.
Sasa kumbe tena wengine ni vijana 28-35

Hapo kipi cha ajabu kuwa na 100m na hawajatokea hizo familia za vigogo wala nini 😀😀😀
 
Sasa kumbe tena wengine ni vijana 28-35

Hapo kipi cha ajabu kuwa na 100m na hawajatokea hizo familia za vigogo wala nini 😀😀😀
Kila mtu ana njia zake mkuu siwezi judge ila ukitokea kwenye ufukara ni ngumu sana kutoboa within first 30 years. Wengi wamefosi kupitia njia za panya.

First 20 years of life ni kupambana na shule tu ambayo hailipi. Uanze kujitafuta with zero Capital sio kitu rahisi.
 
Back
Top Bottom