Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,676
Surely hard indeed ila tusikate tamaaIt's so hard to make it happen Mkuu japo ni nzuri kusikiliza
Surely hard indeed ila tusikate tamaaIt's so hard to make it happen Mkuu japo ni nzuri kusikiliza
Ni ngumu maana huo ni umri wa kujifunza na purukushani hata ukizipata hazitadumuHabari Wanajukwaa,
Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi utakayotumia kwa mwanao atakaokuja ukiwa kama baba kumuwezesha kuweza kuja kuwa tajiri endapo atakapokuomba umuongoze.
Kwa mikakati ipi utakayotumia na ushauri upi utakaompa kijana wako kuweza kumiliki milioni mia moja kabla ya kufikisha umri wa miaka 30.
JamiiForums, home of great thinkers.
Wote kwa pamoja tujifunze.
Nakubaliana na wew kwa 100%Fene Utajiri haufundishwi labda kama kutoa Support kwa huyo mtu, Lakini kutoa (muongozo) guidelines kwenye mchakato wa Wealth Building ni ngumu na ni kwasababu mhusika ata miss some characters ambazo ndizo zinazo propell Mafaniko into further steps. Hustle build characters(Maisha yanamtengeneza mtu)
Nadhani la msingi unaloweza kumfanyia ni pale akiwa mdogo ajifunze vitu vitakavyo msaidia kutengeneza utajiri kutoka kwako Baba
Hata kilimo unaikunja hio vizur tuLabda uwe na kipaji.
-Muziki
-Michezo
-Maigizo etc
Hapo utapata Kina feisal,Dayamondi,Kanumba walishika 100 below 25.
Haya maneno husemwa na washkaji zangu wa Forex, NFT na crypto. Maneno kibao ila assets, cash in hand, cash at bank na spending vinawakataa.Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?
Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400
Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Ila watu wa forex Wana mikwara Sana.Haya maneno husemwa na washkaji zangu wa Forex, NFT na crypto. Maneno kibao ila assets, cash in hand, cash at bank na spending vinawakataa.
Wanataja hela nyingi alafu mkipiga story wanapeana machimbo ya WiFi ya bure.
Wanakodisha magari na kukaa juu ya bonet huku wamening'iniza sandals na kuandika quotes za kina Pablo Escobar na 50 Cent.
Muache afiwe sasa uone maajabu. Nauli ya kwenda kwao hana😂
Hapa kuna ukwel pia
Kibiashara vp haiwezekan unavyodhani?
Unadhani ni mtaji kiasi gani Kulima hizo hekari 100 mkuu? Bado ni Hela ndefu kwa watu waliopitia mfumo wa shule mpaka chuo kikuu.Sasa hio si poketi money tu hata ukilima Hela 100,za kunde au karanga kwa mapori yaliyojaa tele baada ya miezi 4 tu mbona unaipata tu
Binafsi 100M sijashika cash ila nikiuza kila nilicho nacho inafika hapo.
mtoto wangu qtajiongeza mwenyewe maana hata mimi sijachukua chochote kwa wazee
Sasa hivi 26Ulifikisha M100 ukiwa na umri gani?
Hahahaaa!! Na huu ndio ukweliHaya maneno husemwa na washkaji zangu wa Forex, NFT na crypto. Maneno kibao ila assets, cash in hand, cash at bank na spending vinawakataa.
Wanataja hela nyingi alafu mkipiga story wanapeana machimbo ya WiFi ya bure.
Wanakodisha magari na kukaa juu ya bonet huku wamening'iniza sandals na kuandika quotes za kina Pablo Escobar na 50 Cent.
Muache afiwe sasa uone maajabu. Nauli ya kwenda kwao hana[emoji23]
Ushanivunja nguvu na kunikatisha tamaaMilion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?
Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400
Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Hao uliowataja kwenye paragraph ya pili karudie tena kufanya homework yako, hamna wenye mpunga hapo.Inawezekana ukiwa mjanja na kufanya shughuli zenye kipato kikubwa .
Ukiweza kujibrand online mapema ukiwa na miaka 25 unaanza harakati za kujibrand online . mfano kuwa kama kina mwijaku, hamissa mobetto, baba levo unatengeneza net worth ya milioni 100 kabla ya miaka 30.
Zama hizi hela ipo kwenye entertainment industry. Online entertainment inakutajirisha fasta kama hauna aibu na unajua kufosi vipaji