Kibonde wa porini

Kibonde wa porini

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
serengeti-national-park-swala.jpg


DAH huyu mnyama huwa anaonewa sana mpk huwa namuonea huruma hakuna mnyama anayeweza kupambana nae wala kumtunushia msuli.
silaha yake ni kukimbia tu....
 
Kama ni dunia ni nchi za Afrika kusin mwa jangwa la sahara with exceptional of South Africa!
 
Kama ni dunia ni nchi za Afrika kusin mwa jangwa la sahara with exceptional of South Africa!
heheh sisi tunaonea wenyewe kwa wenyewe tu yaani huyo kiumbe hamna hata mmoja anayeweza kumuonea,analiwa almost na kila mnyama simb,chui,mamba n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom