Kibonde wa porini

Kibonde wa porini

kama ni airline hii ni precision


mkuu mbona precision inajitahidi kidogo ujio wa fastjet umewapa challenge lakini bado hawajatoka kwenye reli,sema kama ndege hii ni air tanzania.
 
hata mi huwa namhurumia sana
Anasikitisha kwa kweli hna nguvu hana spidi sana,hata mapembe hata.kikubwa zaidi hana umoja bora kidogo wangekuwa hata na umoja mwenzao anaposhambuliwa wao wanachojua ni kukimbia tu,hata simba watoto huwa wanachukulia mazoezi kwa vibonde hivi
 
aisee kama ni dem hmu JF sijui atakuwa nani vile?? lols!
 
mkuu mbona precision inajitahidi kidogo ujio wa fastjet umewapa challenge lakini bado hawajatoka kwenye reli,sema kama ndege hii ni air tanzania.

Bora air Tanzania hawaruki kabisa
hawa jamaa wanacancell flights kila weekend
mi nishakaa sana airport nasubiria ndege za saa sita usiku
wapuuzi kabisa. mtu unaenda mpaka airport ndo unaambiwa flight imekuwa delayed/cancelled
wangekuwa na busara wangetuma email au kupiga simu
 
Nilijua uko na Ntuzu kwa wale wazee
unamaanisha wazee hawa?
etoo-is-too-old-humour.jpg
 
Bora air Tanzania hawaruki kabisa
hawa jamaa wanacancell flights kila weekend
mi nishakaa sana airport nasubiria ndege za saa sita usiku
wapuuzi kabisa. mtu unaenda mpaka airport ndo unaambiwa flight imekuwa delayed/cancelled
wangekuwa na busara wangetuma email au kupiga simu


pole mkuu ila air tanzania siku hizi zinaruka wanazo safari za mtwara,arusha na mwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom