Courtesy of Sugu kwenye Anti-Virus, Kibonde yumo kwenye mtandao wa grid ya taifa kwa hiyo nadhani ni stahiki kwake kupiga misosi kama hiyo b'se inasemekana hizo dawa ni powerful sana.
Mlikua nae angaza akati wa kupima? Msiongee tu kisa Sugu alisema. Mbona hata wewe huku wanasema unangoma.. Acheni upuuzi wa kuthibitisha kila kitu akati hamna hata chembe ya uhakika
Naishi na some Kenyan n other people from different parts in Africa, wao wanaamini kila MBONGO ni mmbea for some reason huwa nataka nikubaliane nao coz ya upuuzi kama huu. Wabongo wakipata neno tu au mtu akisema kitu wao wanachukua wanaenda kusema ka wanauhakika vile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.