Kibonde kaharibu kazi ya MC Msofe

Kibonde kaharibu kazi ya MC Msofe

DJ mwenyewe magumashi tu kaombwa wimbo wa Sasa Kumekucha mpaka Lowassa kamaliza kuhutubia na hamu imeisha ndio anaupata wimbo yani iliboa kinoma kwa upande wa MC na DJ

Nyimbo haziombwi kama tuko bar.alitakiwa ajulishwe kama EL atakapopanda apige sasa kumekucha.unadhani uDJ ni kuimba kwaya?

Kibonde anamtambulisha Diamond halafu jukwaani wanaingia jambo squad
 
Sidhani kama hata alilipwa,maana anautaka sana ukuu wa wilaya pale alienda kujionyesha tu asisahaulike kwenye ufalme..hhaha
 
Majitu mengine bwana ni visa tu yaani wewe umeona kakosa kadogo tu kama hako ndio liwe genge la wahuni?box wewe kweli,obama mwenyewe huwa wanachemka ije el?
 
Mi jana yote nimebaki najiuliza chadema huwa wanatoa wapi vipaza sauti kwanini huu mkutano ulikuwa hausikiki vyema hata itv usiku sikusikia alichokuwa anasema lowasa
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Majitu mengine bwana ni visa tu yaani wewe umeona kakosa kadogo tu kama hako ndio liwe genge la wahuni?box wewe kweli,obama mwenyewe huwa wanachemka ije el?

Lowassa anaongea watu wanapitapita na kusimama hapo jukwaa kuu.

Halafu alisahau hata kuishukuru au kutambua mchango wa familia yake.
Mama Regina alitajwa na Kibonde tu!
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Ha ha ha pole sana Pasco hata birthday inafuata protokali.

Kutangaza nia ya kuchukua ofisi kuu ni tukio informal?? Kweli kupenda kubaya.

Achana na kupenda ndugu yangu, hata kipofu unaona ni chongo..😋
 
Last edited by a moderator:
Tcu ndio nini hv?

TCU ni mamlaka ya vyuo vikuu TAnzania, inahusika na kuwapangia wanafunzi vyuo hapa tanzania kirefu chake ni Tanzania Commision For Universities.
 


Mkuu jingalao, hakuna protokali yoyote iliyokiukwa kwa sababu tukio la kutangaza nia ni informal kama tuu unapomuimbia birthday mwanao nyumbani!. Matukio yenye kuhitaji kuzingatia protokali ni matukio rasmi, formal na sio hayo yasiyo rasmi yaani informal!.

M/K wa CCM hakupaswa kumkaribisha mtu yoyote kwa sababu tukio ni la Lowassa na wengine wote ni waalikwa tuu. Wingi wa watu haulifanyi tukio informal kugeuka formal!. Lile sio tukio la chama wala la serikali ni tukio la mtu binafsi Lowassa hivyo Kibonde was very right!.

tumia akili kwenye kupinga hojs badala ya ugali ulio nao. Yaani unadai lile tukio lilikua informal? pole rejea kwny maana halisi ya hilo neno na kama ndio basi hata lowassa angeweza kua wa kwanza fika uwanjani. Lowassa nae fulu kuchemka eti imbeni na kucheza wimbo wa late komba then baada ya kukumbushwa ndo tusimame kumkumbuka komba kwa DAKIKA TATU na wakafanya hivo within a minute. presida ni shida!!!!
 
you have a point

Yes he got some point, kwahiyo Lowasa ndo alitakiwa kumkaribisha Mwenyekiti kama ni hivo based on Seniority. Mimi nahisi, mwenyekiti kukubali mualiko na kukaa mbele tayari inaifanya shughuli ya Chama, ilibidi protocal za Chama zifuatwe. Angekuwepo Mkuu wa Mkoa protocali za serikali ingekuwepo. Kwahiyo, ni vigumu kutofautisha kofia ya kazi na ubinafsi. Huwezi kuvua nafasi(position) wala nafsi kwa kuogopa kuzichanganya.
 
huyo MC papaa musofe ndiye yule tunayemjua aliyekuwa na kesi au ni mwingine wa huko arachuga?
 
Haihusiki lakini inahusishwa!!!

Tumeshajionea wana Team lowassa wakiwa na frustration katika kipindi cha masaa 48 yaliyopita lakini hakuna aliyekiri kukwama.

Tumeshihudia tabia chafu ya Team lowasa kumdhihaki mwenyekiti ..eti EL alimsaidia JK kuingia madarakani na kwamba bila yeye JK angeshindwa!

Yaani EL aliamua na amedhamiria kumblackmail mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.

wafuasi wa EL wameonesha jeuri ya fedha na ubabe dhidi ya mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.

PENGINE EL hausiki bali tatizo ni team aliyoichagua kuitumia #Teamkibonde


Hili ni kosa kubwa lilofanywa na Team El ambalo watalijutia.

El amejitahidi kulirekebisha bila mafanikio na sasa tunaona revelation za wafuasi wake.

Teamlowassa wametumia fedha,hadaa na ubabe iki tu kujionesha kuwa wao ni zaidi ya chama na system na wananchi...huu ni upuuzi !

Kwa taarifa yenu ninyi Teammapesa ni wachache na sisi ni wengi.
Na mkimzidi mwenyekiti wako watu wa kumlinda kwa njia yoyote ile.

EL alikuwa mtulivu kama yeye lakini wapambe wake wamejikweza na malipo wanayoyapata ndio haya sasa....to BOW DOWN WHEN IT IS TOO LATE

RAIS mwinyi alijituliza akapewa nchi lakini ninyi Team mapesa mnajidai wajuaji sasa msubirini #ngariba awaketete.

Cc kingunge
 
Cha kushangaza wanaolalamika ni wafuasi wa Chadema kila siku nasema hawa wote wanaojifanya Chadema wote ni mapandikizì ya Lowassa.

Kama ambavyo ACT ni tawi la CCM kama ilivyo UVCCM, na UWT.
 
Majitu mengine bwana ni visa tu yaani wewe umeona kakosa kadogo tu kama hako ndio liwe genge la wahuni?box wewe kweli,obama mwenyewe huwa wanachemka ije el?

Kwani Obama ni Mungu?,yeye si ni Mwanadamu tu km sisi wengine?Kukosea ni kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom